Wanawake hawaolewi kwasababu wametaka

kasichana

Member
Oct 21, 2014
94
42
Nimewaza sana, na kufanya upembuzi yakinifu na Kugundua kuwa Wanawake Wengi hawaolewi kwasababu tu Wametaka iwe hivyo... Kwanini nasema hivyo:-

1. Kama wangetaka kuolewa basi wasingeweza kutoa unyumba bure bila masharti

2. Wengi wanataka wanaume waliofanikiwa sio wale watakaofanikiwa nao pamoja( hapa wanasubili kunyang'anya wachumba wa wenzao)

3. Wanapenda Kitonga sana mwisho wa siku wanaishia kupigwa miti na kila mtu( hivyo kuchafua cv zao kwa wanaume tarajiwa)

Hivyo kama wanawake wote wangeweka sharti la kutotoa unyumba mpk wanaolewa _Basi tungekuwa tunakula ubwabwa wa harusi kila uchao_ na wengi wangeolewa wakiwa na Bikra zao

Nawasilisha mtazamo
 
3. Wanapenda Kitonga sana mwisho wa siku wanaishia kupigwa miti na kila mtu( hivyo kuchafua cv zao kwa wanaume tarajiwa)
Kama wewe ni mwanamke na haujawai kupigwa miti plz nikuone hapa( Fanya kama unajikuna)
Mtoa mada sisi huku kwetu hatuna wanaume wenye miti, tuna wanaume wenye uume 🏃
 
Kama wewe ni mwanamke na haujawai kupigwa miti plz nikuone hapa( Fanya kama unajikuna)
Mtoa mada sisi huku kwetu hatuna wanaume wenye miti, tuna wanaume wenye uume
Unasema kwenu hakuna wanaopigwa miti ila unataka uwaone(unakijua unachosahihisha?)..... Akili za usiku
 
Kwani wanaobikiri wanaoa basi? Wasichana wengi sana wana uchungu sana kwa kuwa walitoa ubikira kwa mtu ambaye alimchezea akamwacha
 
Back
Top Bottom