Wanawake hawa tunawachukuliaje ktk mahusiano?

Kazi kwako mwanafunzi!

Tupo ktk Ulimwengu wa utandawazi.
Na kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe!
 
Tatizo i kukwambia vile anavyojisikia juu yako au tatizo ni kuingia kwenye 18 yake?
 
Mimi ni kijana katika moja ya vyuo vya elimu ya juu hapa dsm, katika moja ya mwaka wangu wa masomo alitokea bint mmoja naweza kusema anamwonekano mzuri na anaweza kuwa wife material akanitamkia wazi kuwa ananipenda sana ,nlikuwa namkwepa sana lakini mwisho wa siku akaniweka kwenye kumi na nane zake

Basi tayari kisha kupa mimba, chagua moja, kutoa au kuzaa
 
utakuja kutuambia...oooh katika mwaka wangu huu wa masomo niko nae hostel anataka nimle tunda vipi wakuuu nimpige mambo au nkatae?? Na kama mkiniambia nkubali je ntumie condom au nsitumie??? watoto mlozaliwa enzi za mkapa nyinyi!!!!
 
sasa tatizo nini hapo mkuu................??????
Mimi ni kijana katika moja ya vyuo vya elimu ya juu hapa dsm, katika moja ya mwaka wangu wa masomo alitokea bint mmoja naweza kusema anamwonekano mzuri na anaweza kuwa wife material akanitamkia wazi kuwa ananipenda sana ,nlikuwa namkwepa sana lakini mwisho wa siku akaniweka kwenye kumi na nane zake
 
utakuja kutuambia...oooh katika mwaka wangu huu wa masomo niko nae hostel anataka nimle tunda vipi wakuuu nimpige mambo au nkatae?? Na kama mkiniambia nkubali je ntumie condom au nsitumie??? watoto mlozaliwa enzi za mkapa nyinyi!!!!

Kaazi kweli kweli..
Binti kukupenda tu..mtu unakuja kuuliza?
Akikumwaga je????
 
Jaribu kufuatilia profile yake haraka haraka kabla ya kutoa maamuzi,wengine siyo kabisa!Lakini kuhusu kukuambia hiyo siyo ishu nauhakika wengi tu tunatokewa na wanawake iwe kwa kukuambia hivyo live au kwa kukutega,siku hizi haina kutongoza kaka karne ya 21 hii ni mwendo wa 50/50.
 
Moyo ni moyo tu, hakuna moyo wa kike au wa kiume, wanawake nao huwa wanapenda na kutamani kama sisi. Mchukulie kama vile wewe ndiyo ulimtongoza na umuheshimu na kumpenda, usifanye maamuzi ya kumkwaza kwa kigezo cha yeye ndiyo alinianza.
 
ndo wale waleeeeeeeee,nimkubali nisimkubali,halafu aje au asije,kisha niingize au nisiingize .ah hawa watto tunazaa siku hizi hawa!

masuala ya jando yarudishwe haraka
hii ni hatari sana
vijana wame change roles
the hunter wamekuwa 'the hunted' tena huku wanakimbia kimbia kwa woga
 
Inasikitisha sana, kijana wa chuo tena kwa kujinasibu lakini bado unaandika kisicho eleweka!

Sasa unataka nini kata ya haya!

1. Ushauri wa kumkataa?
2. Ushauri wa kumkubali?
3. Pongezi?

Soma kwa bidii zote
 
Back
Top Bottom