Wanaumeee

bado sijaona logic nyuma ya kauli hii.
labda niambie ni kwamba wanaume mmezaliwa ama mmeumbwa dhaifu??
Mwanaume aliumbwa strong. Baada ya Eva/Hawa kumshawishi Adam kula ile kitu hapo ndipo udhaifu ulipoanzia, Adam sasa akawa yeye ndio anaulizia ile kitu, na Eva/Hawa akaanza kuringaringa na kuleta mapozi.
 
aaaa wapi umechemka kama mwanaume ukweli anza na mie kama utaipata papuchi tena nakushauri uje na id hata zaidi 1000 uone kama utapata.
Tatizo mnachanganya kati ya wanawake na machangu.
Na wewe akenajo aliyekuambia nani mwanamke tu anatakiwa kuwa bikra???vitabu gani va dini vinaruhusu wanaume kuzini??au mila gani inaruhusu wanaume kudo kabla ya ndoa??
We hukuona zamani baada ya ndoa bi harus na bwana harusi wanasindikizwa na somo mpaka ndani kuelekezwa jinsi ya kufanya???maana kulikuwa na wanaume wengine hata shimo hawalijui.
Acheni hizo kila siku wanawake wanawake badilikeni basi.
Mkinyimwa mnaleta thread ooo wanawake wana roho ngumu sana.
Mkipewa ooo mtatoaje kabla ya harusi.
Basi tafuteni super glue tundu walifunge kabisa lipotee au lifanyiwe operation lizibwe.

Wanawake wote ni easy....we unaandika andika tu hapa lakini wataalamu anakupiga mistari lunch time jioni mwenyewe unatazama kibla
 
Last edited by a moderator:
Mwanaume aliumbwa strong. Baada ya Eva/Hawa kumshawishi Adam kula ile kitu hapo ndipo udhaifu ulipoanzia, Adam sasa akawa yeye ndio anaulizia ile kitu, na Eva/Hawa akaanza kuringaringa na kuleta mapozi.

kumbe ninyi ni dhaifu sio??
 
Kwanza topic ilikuwa kwa nini wanaume hawawezi kujitunza bikra...
Nyie mnasakizia wanawake nyooo mmeshatuona pipa la taka eee kila kitu kututupia.
Jibuni mada hapa je mnabakwa???

wafikishie hao,wametuziea vibayaaaaaa
 
Back
Top Bottom