Wanaume wenzangu njooni tuongee:- Mnawezaje kuishi na wanawake wenye midomo?

Mimi huwa naamua kukaa kimya tu ,sijibu chochote .Tatizo lake hamalizi kitu umeshaongea si basi.Jioni ukirudi ataongea ,usiku ataanza tena.Nikiona kazidi namuachia nyumba aongee peke yake akichoka atalala.
Ataongea weeeee.....
🤣🤣🤣

#YNWA
 
Sio wanawake wote mjue wana midomo, mimi hua sipendi maneno mengi au mtu kuongea anapayukapayuka napenda nikikosea niambie hapo umeenda sio na elewa na kurekebisha sio kuongea kutwa nzima aah napenda peace sipendi malumbano mimi ila kuna wanaume wanamidomo mwanamke akasome.
sio wote wenye midomo, napenda wanawake wa aina yako. Binafsi huwa sipendi mtu wa kunielekeza jambo kwa kupayuka na makelele mengi hata kama nimekosea kwa sababu kuna namna nzuri kabisa ya kunieleza nikaelewa. Sipendi kabisa KE mwenye maneno mengi.

wanaume wa hivyo wapo kina dokta kumbuka
 
☺️☺️☺️☺️🤗🤗🤗🤗🤗 Natumai na ww ni mpole sana mbele ya mwanaume msikilizaji sio,,,,,,,,,
My friend Mimi natumia akili nyingi sana Nikiwa na partner wangu,,,nasoma Sana mood yake before anything.,..Kama namsimulia jambo naangalia response yake Kama Yuko interested nayo au vipi Nikigundua hanipi attention najua kaboreka na switch story,Kama ninaongea jambo alilonikera pia naangalia mood yake,Kuna Ile Hali unaona huyu anajutia,na Kuna mood nyingine anakuwa na jazba,akiwa na jazba Mara nyingi huwa naachana na hayo maongezi,,(hamna kitu naogopa Kama ngumi ya mwanaume)
 
My friend Mimi natumia akili nyingi sana Nikiwa na partner wangu,,,nasoma Sana mood yake before anything.,..Kama namsimulia jambo naangalia response yake Kama Yuko interested nayo au vipi Nikigundua hanipi attention najua kaboreka na switch story,Kama ninaongea jambo alilonikera pia naangalia mood yake,Kuna Ile Hali unaona huyu anajutia,na Kuna mood nyingine anakuwa na jazba,akiwa na jazba Mara nyingi huwa naachana na hayo maongezi,,(hamna kitu naogopa Kama ngumu ya mwanaume)
Daaaah,,, upo vizuri sana mkuuuu

Wanawake wenye tabia kama zenu ni wachache sana aseee,, kuweza kumsoma mtu si jambo dogo

Ama kweli your partner kaokota dodo
 
Mleta mada hujakosea Hata kidogo, wanawake wana midomo sana na naamini Hii ni kero number one kwenye nyumba/ndoa nyingi. Wanaume wanakufa mapema sababu ya midomo mirefu ya kina mama. Wanaume wanakuwa walevi mbwa sababu ya midomo hiyo hiyo ya kina mama!

Unfortunately, kipimo chako cha kuivumilia hiyo midomo ndo kinaonyesha pia maturity yako kwenye ndoa!
 
Daaaah,,, upo vizuri sana mkuuuu

Wanawake wenye tabia kama zenu ni wachache sana aseee,, kuweza kumsoma mtu si jambo dogo

Ama kweli your partner kaokota dodo
Nililelewa kwa lugha za ishara Sana utotoni,,yaani nikizingua mbele za watu bi mkubwa haongei chochote akigonganisha macho tu na wewe unajua hapa kamaanisha acha,kula,kaa, so nimejikuta na hako katabia kakumsoma mood ya mtu.

Ila kikubwa kuongea ongea Sana mwisho mtu akuwashe makofi na hayo mambo Mimi ndio sitaki kuyasikia
 
Back
Top Bottom