Wanaume wenzangu hivi mkitoka out siku ya kwanza huwa mnapiga stori gani? Nimeachwa mara ya pili hii kwa kukosa 'interesting story'

Kulazimisha maneno mengi pia ni uongo.Labda muanze kusengenya watu n.k.Masaa matatu tunaongea nini kwanza..Labda kama tunafanya kitu, labda tunacheza draft au tunakula na stori za hapa na pale au tunaangalia movie au yeye mdada awe ananisimulia kitu....
Wakati mwingine kama chemistry imekaa mtajikuta mnafurahia na kuenjoy uwepo wenu...tabasamu amani, maneno machache..upendo upo..
Kama hamna chemistry na kuna mmoja anapanga kumkomoa mwenza...mtaropoka takataka zote ns habari zote lkn patakuwa hamna mwitikio wowote..
Tusiamini katika maneno mengi yenye mada zisizo na mpangilio..pawepo na maneno machache au kadiri mnavyojiskia bila mtu kujilazimisha.....
 
Hii inanikuta sasa ..

Kila nikitoka out "sio kwa nia ya kula mzigo" nazungumzia kufahamiana zaidi na pisi mpya utata kwenye kwenye kupiga stori..

Mara nyingi nabakia tu 'nambie mrembo'...'mambo mengine yanasemaje?'.. 'harakati zinasemaje'....

Yaani sina stori za kumvutia aendee kukaa na mimi hapo.. nabakia kurudia rudia Sana hayo maneno ya 'nambie'..

Baada ya hapo niliambiwa nisimtafute tena..
First date kula mzigo mzee alafu mpakie mkongo inatosha kabisa kukutafuta baadae
 
Mwanamme unatakiwa kuwa na maneno kuliko mtangazaji wa redio.

Halafu, unatakiwa kujua kumsoma mwanamke, anayependa maneno umpe maneno, asiyependa maneno usimpe maneno, mwingine anapenda mambo ya kuchekeshwa, uwe mcheshi, mwingine yuko serious ujue interests zake ziko wapi ili uende naye vizuri.

Tafuta kujua interests zake ziko wapi, ukiweza kuzijua, mtaongea vizuri tu.

Kuna mtangazaji mmoja wa televisheni za Marekani alikuwa anakwenda kumuhoji Fidel Castro Cuba, miaka ya mwanzo kabisa ya Castro kuchukua nchi Cuba.

Sasa, Castro alikuwa anajifanya mgumu sana kwenye mahojiano. Alikuwa very formal, alikuwa anataka mazungumzo yapitie kwa mkalimani kutoka Kiingereza kwenda Kihispania na vice versa.

Yule mtangazaji akaona hapa kutakuwa na ugumu sana wa kuwasiliana.

Akatafuta kujua Castro anapenda kitu gani? Akagundua Castro anapenda mchezo wa baseball.

Basi mtangazaji baada ya salamu tu, hakumuuliza Castro jambo la siasa wala uchumi, alianza kuuliza swali la baseball. Kwa kuwa Castro alipenda sana kuzungumzia baseball, alilainika mwenyewe akasahau itifaki za mazungumzo kupitia kwa mkalimani. Castro akajikuta anaongea Kiingereza moja kwa moja na yule mtangazaji.

Kuanzia hapo mtangazaji akapata urahisi wa kuuliza maswali yake mengine ya siasa moja kwa moja kwa Kiingereza.

Inabidi kuwa mjanja kujua kumsoma mtu na kufanya maongezi ya vitu anavyopenda.
Ukikuta interest zake ni biashara kubwa kubwa tena za kuisafiri kwenda dubai
 
Hii inanikuta sasa ..

Kila nikitoka out "sio kwa nia ya kula mzigo" nazungumzia kufahamiana zaidi na pisi mpya utata kwenye kwenye kupiga stori..

Mara nyingi nabakia tu 'nambie mrembo'...'mambo mengine yanasemaje?'.. 'harakati zinasemaje'....

Yaani sina stori za kumvutia aendee kukaa na mimi hapo.. nabakia kurudia rudia Sana hayo maneno ya 'nambie'..

Baada ya hapo niliambiwa nisimtafute tena..
Kama huwezi kuongea naye kwa mtoko wa masaa kadhaa tu utaongea naye nini akikukubalia kuishi nawe?

Ukiona hivyo ujue bado haustahili kupendwa na mwanamke endelea kupiga nyeto
 
Hii inanikuta sasa ..

Kila nikitoka out "sio kwa nia ya kula mzigo" nazungumzia kufahamiana zaidi na pisi mpya utata kwenye kwenye kupiga stori..

Mara nyingi nabakia tu 'nambie mrembo'...'mambo mengine yanasemaje?'.. 'harakati zinasemaje'....

Yaani sina stori za kumvutia aendee kukaa na mimi hapo.. nabakia kurudia rudia Sana hayo maneno ya 'nambie'..

Baada ya hapo niliambiwa nisimtafute tena..
Unakua umelewa?
 
Aisee ....balaaa. wee omba mzigo ukianzia hapo story zitakuja tuu.
 
Hii inanikuta sasa ..

Kila nikitoka out "sio kwa nia ya kula mzigo" nazungumzia kufahamiana zaidi na pisi mpya utata kwenye kwenye kupiga stori..

Mara nyingi nabakia tu 'nambie mrembo'...'mambo mengine yanasemaje?'.. 'harakati zinasemaje'....

Yaani sina stori za kumvutia aendee kukaa na mimi hapo.. nabakia kurudia rudia Sana hayo maneno ya 'nambie'..

Baada ya hapo niliambiwa nisimtafute tena..
Mi nadha concept apo ni kufahamiana na kama alikuacha kwa sababu hizo wala usijiskie vibaya kama mwanamke amekukubali huwa Wana good understanding na tena msichana kikawaida anatakiwa hata kama anakuacha anakupotezea lakini ukiona anakuambia straight away jua ni takataka na hakufai
 
Back
Top Bottom