Wanaume wenzangu hivi mkitoka out siku ya kwanza huwa mnapiga stori gani? Nimeachwa mara ya pili hii kwa kukosa 'interesting story'

Mwanamume hautakiwi kuongea sana

Uwe na maneno machache na maswali ambayo yatamfanya yeye ajieleze zaidi wewe ndiye unataka kumjua kama kichwani zimo au mjingamjinga tu wa kupiga hit and run

Kumbuka wewe ndio boss wa outing yeye ni mwalikwa tu

Hakikisha unakatiza outing yenu maongezi yakiwa yamenoga itamfanya akuwazie akilini mwake mpaka siku nyingine ya kumtoa outing

NB: Mwombe uchi tangu outing ya kwanza majibu yake yataamua kama utamtoa tena au unapiga chini hapohapo
 
Kwahiyo umeshindwa kumuuliza hata kwao wako wangapi??
Ww ni lijinga manzi mpk anakubali hizo outings means kakukubali hafu unaanzisha “NIAMBIE” mfyuuuu!!
Mi na bichwa langu ningekujibu hiyo niambie yako, “baba yako kafumaniwa na wameagiza mwenzao akanunue futa la baby care” fanya uwahi kabla mambo hayajaharibika
 
Kwahiyo umeshindwa kumuuliza hata kwao wako wangapi??
Ww ni lijinga manzi mpk anakubali hizo outings means kakukubali hafu unaanzisha “NIAMBIE” mfyuuuu!!
Mi na bichwa langu ningekujibu hiyo niambie yako, “baba yako kafumaniwa na wameagiza mwenzao akanunue futa la baby care” fanya uwahi kabla mambo hayajaharibika
Lamomy naomba Outing na wewe 😅😅
 
Hii inanikuta sasa ..

Kila nikitoka out "sio kwa nia ya kula mzigo" nazungumzia kufahamiana zaidi na pisi mpya utata kwenye kwenye kupiga stori..

Mara nyingi nabakia tu 'nambie mrembo'...'mambo mengine yanasemaje?'.. 'harakati zinasemaje'....

Yaani sina stori za kumvutia aendee kukaa na mimi hapo.. nabakia kurudia rudia Sana hayo maneno ya 'nambie'..

Baada ya hapo niliambiwa nisimtafute tena..
inategemea umechukua demu wa rika lipi,au wa tabia zipi.ukichukua wasichana wa kisasa wanataka uchati nao,masuala ya wasanii na maisha yao,ukichukua watu wazima,wanataka muongee,maisha,una mpango gani nae,je unataka kumla tu au vipi,ukichukua malaya wanaojiuza,hawana muda wa stori
 
Muulize anapendelea nini hobbies zake kama zinaendana na zako
Mbona story nyingi tu yaani hata ulizozisikia za kuchekesha huzijui
Ni rahisi kuteka hisia zake kwa maneno tu
Ngoja hapa labda kuna kitabu cha namna ya kuongea na dem
Najua hakuna wabunifu wala waogaji huko ila wenzetu kila kitu kipo
Kama ni mcheshi utaona raha na kama uso mkavu huyo mfuga kuku
 
Back
Top Bottom