Wanaume wenye tabia hii mbaya msikilizeni Rais Museveni ana ujumbe wenu murua kabisa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,721
109,155
Akizungumza leo katika kuazimisha Siku ya Wanawake duniani Rais wa Uganda Mzee Yoweri Museveni leo ameamua rasmi kuwatolea ' uvivu ' Wanaume wenye tabia ya ' Kupiga ' Wake zao ambapo amewatolea ' makavu ' bila kuwaonea aibu / haya.

" Wanaume wanaopiga Wake zao au Wanawake ni Wapumbavu na Waoga kwani hata katika Kitabu cha Biblia Takatifu cha Waefeso 5:25 imeandikwa kwamba Wanaume watawapenda Wake / Wanawake zao kwa upendo wao wote kama ambavyo Kristo alilipenda Kanisa na kujitoa mhanga kwa ajili yake " alisema Rais Museveni.

Nini maoni yako je Rais Museveni kwa hili yupo sahihi 100% au amekenguka kwa Uzee wake?

Chanzo cha Habari: Ikulu ya Uganda Leo.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom