KipimaPembe
JF-Expert Member
- Aug 5, 2007
- 1,285
- 696
Wanaume vile vile hutumia nguvu nyingi sana kuwalea wanawake ili wapewe nafasi ya ku-mate! Hii ni kweli kwa mammals, birds, hata reptiles na amphibians vile vile!
Lakini mbona kwa mnyma simba ni tofauti?Wanaume vile vile hutumia nguvu nyingi sana kuwalea wanawake ili wapewe nafasi ya ku-mate! Hii ni kweli kwa mammals, birds, hata reptiles na amphibians vile vile!
Lakini mbona kwa mnyma simba ni tofauti?
Simba jike ndiye muwindaji anayehakikisha familia hailali njaa hata kama kuwinda huko kunatishia uhai wake hususan pale anapokabiliana na mnyama kama nyati....................... Hii imekaa vipi mkuu?
Ningebahatika kuwa respondent katika huo utafiti nami ningongeza haya: wamawake pia wanachagia wanaume kufa mapema kwani huwapa presha sana pale ambapo kuna mapungufulani katika familia. hu demand sana.
Pia wakati fulani huwaongezea waume zao lishe kwa kuwajazia michuzi minono kuliko watoto yaani huwapendelea zaidi. siku akiwepo home mzee hukaangiza kwelikweli na kuwapa top layer. matokeo matatizzo ya afya kama presha, kisukari na hatimae hufa mapema. wanaume pia hujipendelea sana kwa kupata vilaji ziada wawapo out kama nyama choma, pombe na hata nyumba ndogo vyote hivi vina athari kwa afya ya wanaume
Sijui kwanini sikuuona uzi huu mapema, very informative na una ukweli kwa kiasi kikubwa.
Nafikiri wanaume wawe wanalia japo kwa uficho (chumbani) ili kupunguza mastress. Na pia ni vizuri wajue tunapenda zaidi mwanamume aliye hai kuliko hero ambaye ni the late!
Mkuu umenikuna sana na maoni yako..................Ni kweli simba jike ni wawindaji wazuri, lakini haina maana kuwa madume hawawindi. Simba dume ndo huwinda wanyama wakubwa sana na wana nguvu kuliko majike. Hata hivyo wao focus yao huwa ni kulinda eneo lao la kuwinda lisivamiwe na simba wengine hasa madume. Hii hutoa nafasi kwa majike kupata freedom ya kuwinda bila kuingiliwa. Yaani simba madume humiliki maeneo ambamo majike huishi na kuwinda. Madume hu-focus zaidi kwenye ulinzi of course na mating ili kuendeleza jamii ya simba iendelee kuwepo.
Kazi hiyo ya madume ni ngumu zaidi na huwafanya madume wawe wachache sana ila wenye nguvu zaidi. Kumbuka Simba dume akiishiwa nguvu mara nyingi majike humtimua katika kundi. Kwa hiyo madume position yao huwa wanaipigania!
Hali haiko tofauti sana kwa binadamu! Kila siku unasikia watu wakipiga makelele ooo vijijini wanaume hawafanyi kazi; hawalimi, wao kazi yao kunywa pombe tu, ila kinamama wakilima mazao wanaume huyamiliki, n.k. Wanaume hawa ni kama huo mfano wa simba! Lazima wana kitu kinachowafanya wale bure na kina mama wawatumikie!! Si bure.
Sijui kwanini sikuuona uzi huu mapema, very informative na una ukweli kwa kiasi kikubwa.
Nafikiri wanaume wawe wanalia japo kwa uficho (chumbani) ili kupunguza mastress. Na pia ni vizuri wajue tunapenda zaidi mwanamume aliye hai kuliko hero ambaye ni the late!
Kaunga nakupendaga kitu kimoja,uwezo wako wa kuushirikisha ubongo wako ktk tafakari kabla ya kutoa comments ni wa daraja la juu kabisa!