Je, Wanaume wengi hufa mapema kutokana na msongo wa mawazo (frustrations) unaosababishwa na wake zao?

Asprin jaman mbavu zangu. Nimecheka sana jamani.

therefore protein ikitoka hupati lolote kwao???

Nisaidie.
Unajua wamama wanavyoona sura zetu zinabadilika utafikiri tumepigwa na ngumi ya mwizi, hawajui tunapunguza muda wetu wa kuishi. Wao wanakata mauno tu. Tunapo Rest In peace wanalia hawajui wao ndo wametuua.:biggrin1::biggrin1:. Hebu jiulize mtu uko naye miaka kumi, unamminia protini tu.... tungekuwa tunazimiminia kwenye mapipa kungekuwa na haja ya ku import engine oil??

Sio nyie mnapenda kulisha wake zenu hiyo protin???
Tunawapenda. Ndio maana tumejitolea kupunguza uhai wetu kwa ajili yenu.
 
Unajua wamama wanavyoona sura zetu zinabadilika utafikiri tumepigwa na ngumi ya mwizi, hawajui tunapunguza muda wetu wa kuishi. Wao wanakata mauno tu. Tunapo Rest In peace wanalia hawajui wao ndo wametuua.:biggrin1::biggrin1:. Hebu jiulize mtu uko naye miaka kumi, unamminia protini tu.... tungekuwa tunazimiminia kwenye mapipa kungekuwa na haja ya ku import engine oil??

Tunawapenda. Ndio maana tumejitolea kupunguza uhai wetu kwa ajili yenu.

hahahahahaaa ungekuwa karibu faini ya kuumiza mbavu zangu ingekuhusu.

wewe ni jembe mkuuu umenimaliza kabisa.

leo ni full kufurahi na majibu yako.

Unajua zaman nilikuwa nasoma msg watu wakikusifia lkn sijawahi kutana na wewe ila leo umenimaliza Mkuu.

Pokea all my likes cause they are many.
 
Mkuu likes hazitoshi. Kama una kagelofrendi kalikuwa kanakuzengua na umeshakapiga chini, nitupie namba zake PM. Mi ndo mtaalam wa kuzoa vitu used. Kitaalam mi naitwa Tingatinga (siyo magufuli). Nina uzoefu na hii kazi kama Mugabe alivyo na uzoefu na uraisi. Sitakuangusha.

Ee Mungu mpofushe wife wangu BADILI TABIA asisome huu uzushi wa CCM kwenye hii post. Nsije kosa kura za Friends of Lowassa na chakula cha usiku wa manane wakati bundi wamelalana.
 
Lakini pia watu wanasahau wanaume wanao wanawake wadogo kwa umri.Unakuta mwanaume kampita mke wake miaka kumi sasa unategemea nani ataanza kufa kwa kigezo cha umri.

This makes sense.
Life expectancy ya mwanaume ipo chini kuliko ya mwanamke.
Na mwanaume anaoa akiwa na miaka mingi kuliko mwanamke.
Ukichanganya na madhoruba ya dunia hii ambayo mwanaume yupo likely kupata basi maisha yanakuwa mafupi.
 
Mkuu likes hazitoshi. Kama una kagelofrendi kalikuwa kanakuzengua na umeshakapiga chini, nitupie namba zake PM. Mi ndo mtaalam wa kuzoa vitu used. Kitaalam mi naitwa Tingatinga (siyo magufuli). Nina uzoefu na hii kazi kama Mugabe alivyo na uzoefu na uraisi. Sitakuangusha.

Ee Mungu mpofushe wife wangu BADILI TABIA asisome huu uzushi wa CCM kwenye hii post. Nsije kosa kura za Friends of Lowassa na chakula cha usiku wa manane wakati bundi wamelalana.

Mkuu huku kwetu tunasema wewe ni shidahhhh, naamini wewe kwa hekima zako hutakuwa zoa zoa kwa nilivyokutathmini.

Ila naomba tu hizo likes za leo zikutoshe tu ukinikosha tena wakati mwingine naahidi kuongeza likes.
 
Basi sawa. Ngoja nijaribu bahati yangu pande za Ukawa kule...
 
Maneno kurasa tatu, unatafuta weee palipoulizia namba za ac wala huoni, kiruuuuu, kataa umasikini.
Mdogo wangu cute b uko wapi? Kimbia umasikini mama.

Hahahaaaa usiwe na hofu na mimi dear yaani nachukia umaskini kama lowasa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom