Wanaume/wanawake mlichopendea kwa wenza wenu ni nini.....hepi furahi day....

tete'a'tete

JF-Expert Member
Feb 10, 2010
472
62
Hepi furahi day brodaaaaaz. & Sistaaaaaaaazz....

Hivi mwamaune akimwambia mwanamke ai mwanamke akimbwambia mwanauem amempenda huwa anaangaliaga nini??

Maana weingine wanabase sana kwenye sura wengine maumbo hebu nisaidieni...hili swala huwa najiulizaga sana...

na kila mmoja atoe mchango wake alimpendea nini mke/mume/girlfriend/mchumba/nyumba ndogo...

nawakilisha mimi nilimpendea sana vidole vyake vya miguuni....na huwa nikiviangalia nasisimka mwili mzima...

bye for now...
 
Back
Top Bottom