Wanaume wanaotoka nje ya ndoa

Na UKIMWI mtagawana wote, afterall UKIMWI ni wenu wote

Mungu ni Mungu wa haki.siku hizi hawafi wote.anakufa peke yake aliyehusika.mambo yamebadilika.
wanaume,loh! hata uwanyonye macho!!! loh! ni mbwa koko!!!! ogopa sana viumbe visivyoota matiti!!!! ogopa sana!!!
loh! ni hatari!
 
Kwanini wathink negatively all the time?raha ya mapenzi umpate wa kupendana naye,haijalishi ni mume ama mke wa mtu,ukimwi wapatikana kwa njia kibao ukiput aside ngono,mume wa mtu mtamu xana jaribu uone

Hakika "mume wa mtu" ni endangered species.
 
Hao waaminifu wako wapi?????? NEGRO PALEASEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

There are 2 kind of Hero!!!!!!!!

1. True heros genuinely!!!!!!!!!! Ila kuna tetesi hili kundi ni EXTINCT kwa karne hii ya digitali!!!!!!!!!

2. Who enjoy themselves and never get caught!!!!!!!!!!!!!! They get away with it!

SO DONT BE SO SURE INCASE YOU HAVENT CAUGHT HIM YET!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Lara 1,sometimes be positive about men,we are not rotten 100%as u think.
 
Najua, nitarushiwa kijembe kuwa nawapendelea wananwake! Any way, na mimi pia ni mwanamke! Nafikiri katika mambo yanamuuma mke, ni mume kutoka nje ya ndoa! Hata hawa watu wafanyweje jamani! Kama hawajaridhika si waache wasioe kwanza?Pamoja na hayo, nifikishe hongera zangu kwa good and committed husbands, ambao ni waaminifu kwa wake zao, keep it up!

Nani kakudanganya kuna mwanaume mwaminifu? Kama hujawahi mfuma mumeo shukuru tu, na usiwaze kumchunguza kwa maana utamfuma.
 
Kwanini wathink negatively all the time?raha ya mapenzi umpate wa kupendana naye,haijalishi ni mume ama mke wa mtu,ukimwi wapatikana kwa njia kibao ukiput aside ngono,mume wa mtu mtamu xana jaribu uone

Hakuna Ukimwi usidanganywe na propaganda za kimataifa.
 
ngoma droo Akitafuta mchepuko na Mie nachepuka mpaka siku tujikute tuna share mume na mke Ndo akili itamrudia
 
Back
Top Bottom