Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 41,982
- 55,727
- Thread starter
- #21
Mtoto wa kiume hajasahaulika, kilichotokea ni mabadiliko makubwa ya kimfumo wa maisha ambayo hayatoi fursa kubwa sana kwa wenye misuli na nguvu za mabavu kufanikiwa katika ulimwengu wa leo, ndio maana unaona wanawake na hata wanaume ambao zamani walichukuliwa wadhaifu sana mfano "mashoga" wanafanikiwa pakubwa.
Mtoto wa kiume anaonekana amesahaulika tena wakati mwingine akichukuliwa kana kwamba yeye ndiye mkandamizaji, hata haki zake za mtoto anaminywa kwa hoja eti 'woman first'.
Kama watoto wa kiume wamepata watetezi ni jambo jema Sana