Wanaume wa miaka hii ni hasara tupu

Wanaume wa siku hizi ni moja ya viumbe wa hovyo sana sijapata kuona.

Wanaume wa kizazi hiki wakishavaa pensi na t-shirt zao za form six, wakimiliki simu mbili kubwa na funguo za IST basi anajiona maisha yote kamaliza, mbwembwe kibao kwenye mabar wakibugia serengeti lite, akili kichwani zero vitambi kama mimba za panya hakuna jambo lolote wanaloweza kuwaza nje ya box.

Badilikeni wanaume kumiliki vitakataka hivyo usijione wewe ndio konki basi kutwa kutongoza na kukumbatia wahudumu wa bar.

Nimerudi hizo ndio salamu zangu.
Hahahh pole mkuu.. Wamekufanyaje
 
Wivu hakuna cha ukweli wowote waambie wazazi wako pia wanunue!
Mimi nina kijana wangu yupo kwenye 26 huwa anachukua ki Vista cha wife (mama yake) kwenda nacho bar nina uzoefu ndo maana nimeandika hivyo wacha uvuvuzela wako
 
Iv Bado hujaolewa tuu Dada angu?
Wanaume wa siku hizi ni moja ya viumbe wa hovyo sana sijapata kuona.

Wanaume wa kizazi hiki wakishavaa pensi na t-shirt zao za form six, wakimiliki simu mbili kubwa na funguo za IST basi anajiona maisha yote kamaliza, mbwembwe kibao kwenye mabar wakibugia serengeti lite, akili kichwani zero vitambi kama mimba za panya hakuna jambo lolote wanaloweza kuwaza nje ya box.

Badilikeni wanaume kumiliki vitakataka hivyo usijione wewe ndio konki basi kutwa kutongoza na kukumbatia wahudumu wa bar.

Nimerudi hizo ndio salamu zangu.
 
Wanaume wa siku hizi ni moja ya viumbe wa hovyo sana sijapata kuona.

Wanaume wa kizazi hiki wakishavaa pensi na t-shirt zao za form six, wakimiliki simu mbili kubwa na funguo za IST basi anajiona maisha yote kamaliza, mbwembwe kibao kwenye mabar wakibugia serengeti lite, akili kichwani zero vitambi kama mimba za panya hakuna jambo lolote wanaloweza kuwaza nje ya box.

Badilikeni wanaume kumiliki vitakataka hivyo usijione wewe ndio konki basi kutwa kutongoza na kukumbatia wahudumu wa bar.

Nimerudi hizo ndio salamu zangu.
Acha kutembea na watoto
 
Back
Top Bottom