Wanaume wa Dar mnatia aibu

Sijachelewa sana, Smart911 uwe unanitag

Smart911 awe anakutag !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!???????????!?????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
 
Hivi inaweza pita hata wiki,...hamjawataja wanaume wa Dar?...tuna mambo mengi sana na ya muhimu kujadili,kama vyuma kukaza n.k,....lete hoja
 
KWAHIYO "" KIATU CHANGU CHA LAKI 100K KIHARIBIKE KWAAJILI YA KUOGOPA KUITWA MWANAUME WA DAR ......AISEEEE AKILI ZENU MMEZIACHA WAPI NYINYI ....HAMUONI HAO WATU WALIOBEBWA JINSI WALIVYOPENDEZA..KWA HIYO MNATAKA HAIBA YAO IHARIBIKE WAKATI HELA ZA KUBEBWA WANAZO ........

wanaume wa mwanza pictr inawaonyesha kabisa kuwa Pesa hawana ...so waache wapambane na hali zao tu ""
miundombinu ya kwao mibovu zaidi kuliko hata ya dar...maji ya mvua tu yamefika mpka kwenye kifua ..hahaaaa

MTOA POST NENDA UKALE KWANZA .NAHISI UNANJAAt
 
Back
Top Bottom