Wanaume wa .com

upo kwenye pati alone anakuja mkaka anakuomba kampani anadai yuko single tena lonely sana wisho wa siku mnapeana number kesho yake anakupigia mchana inafika siku umetoka kwenye mahangaiko ni usiku saa tatu unasema ngoja nipimpigie yule kaka hata nirefresh mind loooh halooo ... halooo...sikuskii kesho uje ofsini. khaa asbui anapiga unauchuna unapiga tena usiku inazimwa kabisa..... kwani shida ni nini? au ushamba?kama una ndoa si utulie na ndoa jamani? khaaa.
Vipi kwani ulishampa kitumbua?
 
kwani akiwa na mke ndo anashindwa kuongea na simu? ama alitaka kumtapeli kibebii cha watu? kha!
bebii,next time ukibadilishana namba na mtu mpeane kabisaa terms of reference!
Na wewe kama unajua ni huyo jamaa ni mume wa mtu ya nini kumpigiapigia simu mkome
 
Pole kwa yaliyokusibu!
Lakini siyo vizuri kuwa wakwanza kuwapigia,,jitajidi kuwa special..watakutafuta wenyewe!
sikuanza kumtafuta mimi kila siku anapiga ila mchana so siku nikaapata nafasi usiku ndo nikamcall ndo ivo kigugumizi kwa saana
 
upo kwenye pati alone anakuja mkaka anakuomba kampani anadai yuko single tena lonely sana wisho wa siku mnapeana number kesho yake anakupigia mchana inafika siku umetoka kwenye mahangaiko ni usiku saa tatu unasema ngoja nipimpigie yule kaka hata nirefresh mind loooh halooo ... halooo...sikuskii kesho uje ofsini. khaa asbui anapiga unauchuna unapiga tena usiku inazimwa kabisa..... kwani shida ni nini? au ushamba?kama una ndoa si utulie na ndoa jamani? khaaa.

mimi watu huwa wananishangaza sana....hivi akisema kweli utamchinja?......kwani ulimwambia unamtaka?
 
Kama mazingira mliokutana ni coincident basi ulitakuwa usubiri coincidencies zingine,, pole
 
Kumbe ndio maana hukuwa wajibu msg zangu...bize kuhangaika na huyo single and married...lol
 
mimi watu huwa wananishangaza sana....hivi akisema kweli utamchinja?......kwani ulimwambia unamtaka?
hata nashangaa preta mi wala sikuwa na time nae kiivo? wala hata nisingemkubali kama hata angenanilii nilimtafuta basi tu kurefresh mind
 
ki ukweli mimi huwa nina tabia moja.....baada ya saa kumi....tegemea simu yangu kesho tena.....kwa rafiki wa aina hii....a a.....
nawajua sana hawa watu....cha kukushauri hapa we mdelete tuu....asije kukusababishia virus kwenye simu bure huyo.....
 
upo kwenye pati alone anakuja mkaka anakuomba kampani anadai yuko single tena lonely sana wisho wa siku mnapeana number kesho yake anakupigia mchana inafika siku umetoka kwenye mahangaiko ni usiku saa tatu unasema ngoja nipimpigie yule kaka hata nirefresh mind loooh halooo ... halooo...sikuskii kesho uje ofsini. khaa asbui anapiga unauchuna unapiga tena usiku inazimwa kabisa..... kwani shida ni nini? au ushamba?kama una ndoa si utulie na ndoa jamani? khaaa.

...lost in translation? alikuwa alone/single siku hiyo kwenye party, period.
 
wewe una akili sana,lol! kama mbwa wa pohttps://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/174413-wanaume-wa-com-2.html#post2521084lisi (ni compliment hiyo eeh..). ndo maana nikamuambia aombe terms of reference manake kuna ofc wanafungua saa mbili ila huduma zinaanza saa nne,lol!
Hukumuelewa alimaanisha hapo alipo yuko single,akirudi nyumbani anakuwa double
 
hata nashangaa preta mi wala sikuwa na time nae kiivo? wala hata nisingemkubali kama hata angenanilii nilimtafuta basi tu kurefresh mind
Baada ya kumkosa ulimtafuta nani mwingine wa kurefresh mind
 
ki ukweli mimi huwa nina tabia moja.....baada ya saa kumi....tegemea simu yangu kesho tena.....kwa rafiki wa aina hii....a a.....
nawajua sana hawa watu....cha kukushauri hapa we mdelete tuu....asije kukusababishia virus kwenye simu bure huyo.....
mi hata simtaki preta, hv kwanini wanaume wengi mchana wanapatikana usiku simu zinakuwa na matatizo? kwani kuoa ni ugonjwa hawataki watu wajue nini?
 
wewe una akili sana,lol! kama mbwa wa polisi (ni compliment hiyo eeh..). ndo maana nikamuambia aombe terms of reference manake kuna ofc wanafungua saa mbili ila huduma zinaanza saa nne,lol!
<br />
<br />
angesema basi yeye anapatikana mchana tu usiku yupo lindoni
 
mi hata simtaki preta, hv kwanini wanaume wengi mchana wanapatikana usiku simu zinakuwa na matatizo? kwani kuoa ni ugonjwa hawataki watu wajue nini?
Ndio maana hata ukienda kwenye ofisi unakuta kuna tangazo lifuatalo "Working Hours 9:00am to 5:00pm" akili zako changanya na za kuambiwa
 
Back
Top Bottom