Wanaume tuwe wastaarabu

SMART1

Senior Member
Nov 2, 2010
133
48
Sasa hii nini
 

Attachments

  • IMG00657-20110825-1615.jpg
    IMG00657-20110825-1615.jpg
    209.5 KB · Views: 310
  • IMG00658-20110825-1615.jpg
    IMG00658-20110825-1615.jpg
    214.9 KB · Views: 194
  • IMG00659-20110825-1615.jpg
    IMG00659-20110825-1615.jpg
    203.1 KB · Views: 179
aisee unatudhalilisha ndugu

Mkuu ila ndio ktulivyo na wala sio kwamba anatudhalilisha ]

mwanaume anaweza kusimama na nguzo ya umeme na akakojoa hana wasi wasi au akageukia hata barabarani wanakopita watu akamaliza shida zake
niliwahi kushuhudia pale mwenge kituo cha daladala jamaa kasimama na nguzo ya umeme tena kageukia kituo cha daladala watu wanapita wa kila aina na watoto wadogo akamaliza shida yake wala hakujali
 
Siku moja nlimwöna mshkaj manzese darajan. Ni aibu.
 
Pole ila ukiumwaga barabarani nakufotoa!!!!

Ni kweli mkuu. Hii ni tabia Mbaya sana. Tena Ikiwezekana ingebidi kuwe na kipindi maalu kwenye Luninga zetu ambapo picha za watu wana haribu mazingira namna hiyo zingeonyeshwa bila kuficha sura. Sio tu kwa wanao umwaga barabarani ila hata kwa wale wanaotupa taka taka hovyo. Utakuta mtu kavaa safi, anaendesha gari ya maana, halafu anatupa mifuko ya rambo barabarani. Je, huo ni uungwana?
 
we jamaa akili yako si sawa. Tena usicheze na mkojo. Ulivyo upload hz picha ni kana kwamba we hujawah fanya hii k2, au aga hufanyi. Booøosht.


Inawezekana ikawa sio sawa kulinganisha na huyo anaekojoa hadharani na kuharibu mazingira!!
Mbona mkiwa nje ya nchi tunajua kujiheshimu na kuheshimu mazingira kwa nini tusifanye hivi kwetu.
Charity begins at Home banaaaa!!!

Inaelekea ujinga wangu ukawa ni zaidi ya akili zako
 
we jamaa akili yako si sawa. Tena usicheze na mkojo. Ulivyo upload hz picha ni kana kwamba we hujawah fanya hii k2, au aga hufanyi. Booøosht.
hata kama anafanya sio hovyo hovyo namna hiyo mbona huwa tunasafiri kwa muda mrefu bila kujikojolea!! Au ndio bia za mchana sinamfanya mtu ashindwe kwenda chooni!!!?
 
Kwa nini wanaume tukimaliza haja ndogo kichakani,kichochoroni au sehemu yoyote ile tofauti na chooni tunatema mate?

Dada zetu pia wana utamaduni huo wa kutema mate?
 
Back
Top Bottom