Wanaume Tumieni Vizuri Uhuru Mnaopewa na Wenzenu

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,855
401
Tafadhali akina dada mniwie radhi lakini jambo hili nimekutana nalo mara kadhaa na hata marafiki zangu wamenithibitishia kwamba ni kweli. Kwa ujumla, wanawake wakiwa 'wamekolea' huwa hawajitambui kiasi kwamba ukimuuliza uvae ile kinga au usitumie utasikia ama anaguna na hafanyi chochote au mwingine atakwambia kwa sauti ya chini kwamba uamuzi ni wako. Kinachobaki hapo ni busara na hekima ya mwanaume.

Najua baadhi ya akina dada watanishambulia hapa lakini nimeweka thread hii kwa lengo la kuwakumbusha wanaume wautumie uhuru huo vizuri ili kulinda wenzi wao. Inawezekana hayo ndiyo maumbile yetu ya asili.
 
Ni kweli kabisa kamanda, mwingine utakuta anakuchimba bonge la mkwara eti bila hiyo 'hakiliki' kitu, lakini akisha 'andaliwa' kwa dk kama 20 hivi, anageuka kuwa zuzu na ukimuulizia kutumia hiyo 'kitu' sometime huwa hata hajitambui kama kuna kitu inaitwa ndomu. Na ndiyo maana Mkapa alishawahi kusema kwamba kwisha kwa ukimwi ni mpaka pale wanaume watakapoamua, vinginevyo ni kazi kweli kweli!
 
Wengine huwa hawatoi hata neno badala yake utaona anakuangalia kwa jicho na tabasamu la kufa mtu. Sanasana atakulaumu kwa nini unamchelewesha kuanza safari. Hawa viumbe wa ajabu sana. Utadhani siyo yule aliyekuwa anakupiga kalenda.
 
Kama analaumu usimpe tena hajui kama unafanya kazi ile inayokufanya uitwe mwanamme alaaaaaaa! mwambie utasusa....
 
Kama analaumu usimpe tena hajui kama unafanya kazi ile inayokufanya uitwe mwanamme alaaaaaaa! mwambie utasusa....
Tukisusa hiyo kazi mambo yote hayatakwenda. Wakikosa hiyo kitu wanafura kutwa nzima. Kama ni mwalimu, watoto shuleni watamkoma. Kama ni secretary au receptionist basi siku wageni wa ofisi watamkoma. Ni hasira tupu. Kwa hiyo, ili kuepusha yote hayo ni bora kuwapatia tu hata kama ni fundo moja tu linatosha.
 
Ni kweli kabisa kamanda, mwingine utakuta anakuchimba bonge la mkwara eti bila hiyo 'hakiliki' kitu, lakini akisha 'andaliwa' kwa dk kama 20 hivi, anageuka kuwa zuzu na ukimuulizia kutumia hiyo 'kitu' sometime huwa hata hajitambui kama kuna kitu inaitwa ndomu. Na ndiyo maana Mkapa alishawahi kusema kwamba kwisha kwa ukimwi ni mpaka pale wanaume watakapoamua, vinginevyo ni kazi kweli kweli!

Wakati wanaume wengine ndo kwanza wakishajua wameathirika wanasambaza kwa makusudi
 
Wengine huwa hawatoi hata neno badala yake utaona anakuangalia kwa jicho na tabasamu la kufa mtu. Sanasana atakulaumu kwa nini unamchelewesha kuanza safari. Hawa viumbe wa ajabu sana. Utadhani siyo yule aliyekuwa anakupiga kalenda.

Ujue mtu akishafanyiwa maandalizi akili zinakuwa zimeruka na kichwa hakifanyi kazi sana sana cha chini ndo kinauliza haja yake itimizwe mapema
 
Tafadhali akina dada mniwie radhi lakini jambo hili nimekutana nalo mara kadhaa na hata marafiki zangu wamenithibitishia kwamba ni kweli. Kwa ujumla, wanawake wakiwa 'wamekolea' huwa hawajitambui kiasi kwamba ukimuuliza uvae ile kinga au usitumie utasikia ama anaguna na hafanyi chochote au mwingine atakwambia kwa sauti ya chini kwamba uamuzi ni wako. Kinachobaki hapo ni busara na hekima ya mwanaume. Najua baadhi ya akina dada watanishambulia hapa lakini nimeweka thread hii kwa lengo la kuwakumbusha wanaume wautumie uhuru huo vizuri ili kulinda wenzi wao. Inawezekana hayo ndiyo maumbile yetu ya asili.
Asante sana kwa kutukumbusha!!!!
 
Wajibu uko pande zote. Wanawake na wanaume wanapaswa kutimiza wajibu wao wa kujilinda na kulimda wenzi wao, no matter wamekula denda na kuandaana kwa muda mrefu kiasi gani. Kama unaona mwenzie amezidiwa na unamchelewesha kupata 'kakitu', wewe usi-take advantage na kufanya kitu kinachoweza kumuumiza au kukuumiza wewe mwenyewe baadae. Tuwe waangalifu.
 
Ujue mtu akishafanyiwa maandalizi akili zinakuwa zimeruka na kichwa hakifanyi kazi sana sana cha chini ndo kinauliza haja yake itimizwe mapema

Du!Kwa hiyo wakati huo cha chini kinakuwa kinafanya kazi badala ya kichwa?Hii nimeipenda sana.
 
Back
Top Bottom