Wanaume stress tupu!!

Wanaume wengi ni kunguru wasiogugika!! Tena ni bora ujua mko wengi kuliko aku-fix eti uko peke yako!!!! Cha msingi mapenzi yapo na huduma unapata au madharau full? Wabaya ni wale ambao dharau ndo mwake akishapata jike lingini nje!! Kusagana si solution, nayo ni stress nyingine!! Hata wasagaji nao wana mabwana wa kike!!! Ha ha ha!!!

Tutake radhi! Kwanza 'wasiogugika!!' ndo nini?
 
Msalimie sana :majani7::majani7:, muulize dada yako FP inakuwaje anakuwa na tabasamu la nguvu hata usingizini? labda siri yake inaweza kukusaidia mlongo wake FP lol!
rafiki yangu BAK, nikiweka hadharani siri ya tabasamu langu hata nikiwa usingizini unaweza kuniona naanza kuwehuka, na nina uhakika kabisa utanikamata na kunipeleka rehab angalau nitibiwe kidogo.
Umeshawahi kupenda na kupendwa na ukawa na uhakika kabisa kuwa hapa napendwa? hiyo ndo situation niliyokuwa nayo mimi right now........yaani ukiona natabasamu usingizini ujue huyo mtu yupo mawazoni mwangu 24/7....kagoma kabisa kutoka kichwani mwangu......na mimi nimemruhusu tu atawale mawazo yangu
 
Last edited by a moderator:
rafiki yangu BAK na mi ni mtu wa cheko ile mbaya!nakupa ruhusa umuulize dada mkubwa kitu atakwambia halafu utasema mwenyewe!lol!siye kucheka raha ati!
ha haaaaaaaaaa, mlongo wangu, unataka kweli nimwage mchele kwa huyu rafiki BAK? ataweza kuingia mitini asiende kwa wadogo zetu tena na badala yake akatumia mbinu zetu kumfundisha mwingine halafu tukapata hasara.... tunamtaka atie timu mfaranyaki, na siyo ahamishie mbinu za mfaranyaki huko sijui wapi........ hakuna kuuza mechi mlongo wangu
 
Last edited by a moderator:
inawezekana wewe ndio tatizo....ila kama mwanamme wa ukweli anatakiwa kukujali na kukuthamini ,hata kama kuna mipango ya pembeni.....heshima na mapenzi yanatakiwa yawe palepale!!!kama ni mwanamke uliyekamilika , kusagwa kisim.i hakutakufikisha kwenye kilele kamili wakati wa mapenzi lazima utahisi kuna kitu kimekosekana ambacho ni mb.o.o ,sana sana utatafuta midoli nk....Jiangalie & Tafakari !
 
Hapana kwani hata mdada mwenzio nae atakupa stress dawa ni kukomaa tu kwani stress ni kila mwana wa Adam hivyo usijekwepa mkojo ukaenda kukanyaga kinyesi...ww tulizana na huyo anaekupa stress kikubwa usiwe mtu wa kufuatilia vitu vidogo vidogo.
 
nitafute mie nimetulia nikuondolee stress zako bibie,

huko unakotaka kwenda ni janga la kitaifa
 
wanaume stress tupu jaman unampenda mtu anakudanganya anakupenda kumbe mko kama 6 hivi mnatumika tu, mwenzenu nimechoka na hiii hali bora kuridhishana sisi kwa sisi kwa mwana dada alietayari ani PM tupeane maraha wenyewe tutapasuka vichwa bure atakae penda lakini sijawalazimisha mie, kwa mdada alietayari ani PM please tutafutane
Pole dada yangu, mie pia WANAWAKE wananitia Stress sana, nikaamua kupiga "PUNYETO"...... Madam mwenzangu umejitokeza na tatizo kama langu we are perfect match, ni PM Tusawazishane achana na kusagana!
 
Pole dada yangu, mie pia WANAWAKE wananitia Stress sana, nikaamua kupiga "PUNYETO"...... Madam mwenzangu umejitokeza na tatizo kama langu we are perfect match, ni PM Tusawazishane achana na kusagana!

hahaha kweli kabisa wanawake hawa miyayuaho kabisaaa yaani bora tuu ujipigie puchu...alafu utamu wajipimia...sio mara K baridi oh haina mnato lol
 
......Umeshawahi kupenda na kupendwa na ukawa na uhakika kabisa kuwa hapa napendwa? hiyo ndo situation niliyokuwa nayo mimi right now........yaani ukiona natabasamu usingizini ujue huyo mtu yupo mawazoni mwangu 24/7....kagoma kabisa kutoka kichwani mwangu......na mimi nimemruhusu tu atawale mawazo yangu
umempata wapi huyo akupaye tabasamu usingizini na mie nipate wa kwangu?
 
Mhhhh! Watu wenye NGEKEWA zao za kupendwa!!! Hongera zenu

rafiki yangu BAK, nikiweka hadharani siri ya tabasamu langu hata nikiwa usingizini unaweza kuniona naanza kuwehuka, na nina uhakika kabisa utanikamata na kunipeleka rehab angalau nitibiwe kidogo.
Umeshawahi kupenda na kupendwa na ukawa na uhakika kabisa kuwa hapa napendwa? hiyo ndo situation niliyokuwa nayo mimi right now........yaani ukiona natabasamu usingizini ujue huyo mtu yupo mawazoni mwangu 24/7....kagoma kabisa kutoka kichwani mwangu......na mimi nimemruhusu tu atawale mawazo yangu
 
Last edited by a moderator:
wanaume stress tupu jaman unampenda mtu anakudanganya anakupenda kumbe mko kama 6 hivi mnatumika tu, mwenzenu nimechoka na hiii hali bora kuridhishana sisi kwa sisi kwa mwana dada alietayari ani PM tupeane maraha wenyewe tutapasuka vichwa bure atakae penda lakini sijawalazimisha mie, kwa mdada alietayari ani PM please tutafutane

teh teh teh...the shortcut could easily become the long route in life.Angalia upya uamuzi wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom