Wanaume! Nimewaita, pimeni DNA watoto wenu wanapozaliwa

Niliwahi kuweka uzi hapa kuwa mpenzi wangu nilimkuta na mimba isiyoeleweka wakati nilitumia Condom kwa usahihi, akawa anataka kuitoa, nikamwambia hakuna kutoa la sivyo ningempeleka polisi, alichokuwa anakimbilia kuitoa alicheza rafu na alikubali mimba sio yangu baada ya kumbana aseme ukweli.

Sasa nyumba ya jirani yangu ana binti ambaye alikuwa anatabia za kuwapanga wanaume bila kujuana sasa, alipata mimba akajifungua lakini anachukua hela ya matunzo kutoka kwa wanaume watatu bila ya wao kujuana na wote wanatuma matumizi na kila mwanaume anakuja kwa kupangiwa muda na huyo binti na huu uhuni anaufanya kwasababu anaishi na mama yake tu na mama nae ni wale wale, Shangingi la zamani.

Nimechokaa wakuu baada ya kupata hizi habari, jamani ukiona unaishi na mwanamke haeleweki jua utakuja kulea damu isiyo yako, wanaume tuamke jamani tunapigwa vipanga na hawa wanawake, ukiona mtoto ulieambiwa ni wako kafikisha miaka miwili hana sura yako wala ya dada zako au shangazi zako hata ya mama yake haipo, kapime DNA.

Wanawake sasa hivi wanapanga wanaume bila kujuana, ikitokea mimba inapelekwa kote kote na anakula matumizi, ukiishi na mwanamke mcharuko na akizaa mtoto kapime DNA tu, now tupambane na hivi viumbe tuepuke kupigwa.

Haiwezekani mtu ulee mtoto sio wako kwa miaka 18, hiyo hela ni heri ungenunua tofali ujenge, hamna kitu kinauma kama kutoa milioni moja unamlipia mtoto shule alafu unakuta damu sio yako, mwanamke anakuchora tu.
Utaratibu wa kupima DNA ukoje? Nataka nikapime
 
ndo natoka kuchek DNA now
FB_IMG_1599841394678.jpg
 
Malaya ni mwanamke mwanaume ni (mzinzi)

Neno "Mzinzi" au "Mzinifu" ni la ujumla, lakini ndani yake limegawanyika makundi mawili ifuatavyo:-
a. "Malaya" ni Mwanaume au Mwanamke anayefanya uzinzi/uasherati kwa lengo la kukidhi kiu/tamaa yake ya kimwili katika ngono. Mzinzi wa aina hii yupo tayari kumlipa mtu ili amfanye (kama ni Mwaume) au afanywe (kama ni Mwanamke/Shoga) ili mradi kuiridhisha nafsi yake.

b. "Kahaba" ni Mwanaume au Mwanamke anayefanya uzinzi kwa malipo, yaani huyu haitaji kuridhishwa kwa kufikishwa kileleni bali kwa kupewa fedha nyingi na ikiwa ni Mwanamke huwa ukianza kuleta ufundi atakwambia "ufundi peleka kwa mkeo" na kama ni mwanaume ndio hao huitwa Marioo, hawa wapo tayari kunyonya hata njia za kutolea taka ili wasiachwe.

NOTE:
Nakubaliana na wewe kuwa jamii yetu imezoea kumuona Mwanamke kuwa ndiye malaya/kahaba, lakini ukichunguza tafsiri halisi ya neno "Malaya" utagundua hata wanaume malaya wapo pia.
 
Yaani ni nani alikuambia vipimo vya nje vitaruhusu kusambaratisha familia?

Kwa taarifa yako DNA Law ya Tz ni copy and paste kutoka huko Ulaya unakotaka kukimbilia

Kama majibu yakija +ve, wakati kiuhalisia ni -ve, hao wapimaji wa nje hawazingatii kwamba watashitakiwa kudaiwa fidia?
 
Kwa sisi waafrika hatuna DNA. DNA yetu ni kitanda hakizai haramu. DNA inawafaa wazungu kwa sababu wanandoa za mkataba. Ili kupunguza kubambikiwa watoto ambao watazaliwa mkataba wao wakaona watengeneze DNA. Na ukitaka kuona siku zako za kuishi zinapungua nenda kapime watoto wako DNA utakufa kabla ya wakati wako.
 
Na kimsingi mtoto wa halali ni wa dada yako, kwa sababu alibeba mimba ukiwa unamuona. Akina baba hatuna chetu.
Dash! Unamaanisha mtu akitaka mtoto halali, azae na dada yake wa damu? Inaruhusiwa wapi hii kitu?
 
Hio umetafsiri wewe kukidhi matakwa yako. I meant mwanamke ndio anayejua details za baba wa mtoto. Dada anayebeba mimba huwa inaonekana na hata anapokwenda kujifungua watu tunajua. Lkn who knows iwapo mwanamke unayesema umezaa naye hukuweka ww huo uzao?
 
Dash! Unamaanisha mtu akitaka mtoto halali, azae na dada yake wa damu? Inaruhusiwa wapi hii kitu?
Kule kwa Wamakonde na Wamakua wanatumia MATRILINEAL SYSTEM "mtoto ni mali ya mama". Nadhani umenielewa sasa
 
Niliwahi kuweka uzi hapa kuwa mpenzi wangu nilimkuta na mimba isiyoeleweka wakati nilitumia Condom kwa usahihi, akawa anataka kuitoa, nikamwambia hakuna kutoa la sivyo ningempeleka polisi, alichokuwa anakimbilia kuitoa alicheza rafu na alikubali mimba sio yangu baada ya kumbana aseme ukweli.

Sasa nyumba ya jirani yangu ana binti ambaye alikuwa anatabia za kuwapanga wanaume bila kujuana sasa, alipata mimba akajifungua lakini anachukua hela ya matunzo kutoka kwa wanaume watatu bila ya wao kujuana na wote wanatuma matumizi na kila mwanaume anakuja kwa kupangiwa muda na huyo binti na huu uhuni anaufanya kwasababu anaishi na mama yake tu na mama nae ni wale wale, Shangingi la zamani.

Nimechokaa wakuu baada ya kupata hizi habari, jamani ukiona unaishi na mwanamke haeleweki jua utakuja kulea damu isiyo yako, wanaume tuamke jamani tunapigwa vipanga na hawa wanawake, ukiona mtoto ulieambiwa ni wako kafikisha miaka miwili hana sura yako wala ya dada zako au shangazi zako hata ya mama yake haipo, kapime DNA.

Wanawake sasa hivi wanapanga wanaume bila kujuana, ikitokea mimba inapelekwa kote kote na anakula matumizi, ukiishi na mwanamke mcharuko na akizaa mtoto kapime DNA tu, now tupambane na hivi viumbe tuepuke kupigwa.

Haiwezekani mtu ulee mtoto sio wako kwa miaka 18, hiyo hela ni heri ungenunua tofali ujenge, hamna kitu kinauma kama kutoa milioni moja unamlipia mtoto shule alafu unakuta damu sio yako, mwanamke anakuchora tu.

Mie nalea Hakuna shida!

Kuna majamaa walikuwa wanapigana baada ya kufumaniana, pale same Mjini sheli nilikuwa nipo safarini nimeshuka naweka mafuta kuna Bar pembeni!

Mwanamke alikuwa hapo sijui anajiliza, nikauliza, mwanamke yupo wapi wadau wakanionyesha, nikawaambia wadau tuwaaamue!

Kukukakara ikatulia kila mmoja kashikwa eti ana hasira anatukana na anataka endeleza masumbwi, nikamwita huyo Dada anayejidai analia!

Nikamwambia kati ya Hawa yupi unampenda? Akasema “Mzigo ni wa wote, mie nawaona wote, kila mtu ana kula, akasema hata manager wa hapa sheli naye amekula, kila mtu anakula!

Ugomvi kwisha! Mzigo wa wote! Wakati mwingjne ni kuwauliza tu sasa ili ujue msimamo, sasa hivi jamaa wote wanakula mzigo wa wote!
 
Back
Top Bottom