Wanaume ni kama mbwa........................ wanapojihami!

Hivi wewe ni muandishi wa magazeti nini?

Afu mbwa anahusika nini na binadamu, wewe uko sawa lakini?

Mungu anasema Mnyama siku zote hana akili, kapewa matamanio tu.

Binadamu ana akili na anamatamanio.

Sasa huoni kama binadamu kamzidi mbwa akili yani hawako sawa....Kama wewe unataka kujitoa akili uwe kama mbwa sana hatuna shida.

Fanya heshima next time, usituite wanaume ma mbwa...hata kama ni joke.
 
Back
Top Bottom