wanaume muwape penzi la kutosha wake zenu

SASA NA WEWE MKE WA MTU KWANINI UNAKUBALI KUTEMBEA NJE?HIVI HAWA WANAWAKE WANA AKILI KWELI?AU AKILI ZAO NI ZA KUVUKIA BARABARA NA KWENDA SALOON NA KU POST HUMU MMU :shut-mouth:
 
Muuza ubuyu,sijui unacho mlaumu huyu babukijana ni nn..maana amekuambia kwamba hao wakeza watu ndo huwa wanamtaka awafanye ..na hata hivyo alikua akiwa sisitiza kwamba wameolewa ila walikua hawasikii...bwana babukijana..endelea kuwatia ukuni kama kawa..mwanawaneeee....!!!!!!!!!!!!
Mkuu ntaendelea si kwa kupenda bali kudumisha mahusiano na hao madada,mara nyingi huwa wana story za waume zao za kuumiza sana.na mwisho wa story ndio unajikuta unamuhudumia tu japo apooze machungu
 
La kukuuliza tu ni kuwa je wewe mke wako yuko salama haendi nje? Wanawake karibia wote wanatoka nje ila sababu si hiyo ya kutoridhishwa kimapenzi. Hii ni "oversimplification" ya tatizo kubwa.

Mojawapo ya sababu ya wanawake wengi kukukimbilia ni hii: Mila zetu zinafanya watu waone mapenzi ni kitu kibaya na kisichofaa kabla ya kuolewa. Kwa hiyo watu hufanya mapenzi kwa siri sana. Anapoolewa na kujikuta anatakiwa awe na mapenzi ya wazi, hupoteza mvuto wa mapenzi. Kumbuka mdudu aliyezoea giza hupenda giza siku zote. Hawa ndo tunawasikia wakisifia kila siku eti mapenzi ya kuiba matamu. Sababu yake ni hiyo!

Kwa hiyo hata wewe kama hujaoa, usioe kabisa. Kwani ukioa tu, miaka miwili mitatu tu tayari na wa kwako atakuwa naye anatembea nje!!
 
SASA NA WEWE MKE WA MTU KWANINI UNAKUBALI KUTEMBEA NJE?HIVI HAWA WANAWAKE WANA AKILI KWELI?AU AKILI ZAO NI ZA KUVUKIA BARABARA NA KWENDA SALOON NA KU POST HUMU MMU :shut-mouth:
Sasa kama wewe mwenyewe haujitumia na hautimizi majukumu yako ndani ya ndoa yako unategemea nini?

Umepewa ushauri na umesikia kutoka kwa mtoa maada,sasa chagua kusuka au kunyoa!

Heri ya mwaka mpya!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Asalamu alekumu wana jf,heri ya mwaka mpya
Mada ya leo ni hii

Katika miaka ya nyuma nimekuwa na mahusiano na wanawake mbalimbali na tukaachana kwa sababu tofauti zisizopingika.baada ya hapo wengi wao wameendelea kuwa marafiki zangu na tunawasiliana mpaka sasa.wengi wao pia wameolewa au wana ma-bf,tatizo linakuja kwamba karibia wote huwa nikionana nao wanahitaji penzi!zamani nilikua mwoga sana wa wake za watu lakini nikajikuta nafanya hiyo zambi.hao mabinti mi huwa sina morale nao ila nawachukulia poa,sasa inapokuja swala la wao kudai penzi wakati ni wake za watu huwa nashangaa sana.na pia nawakumbusha kuwa una mume ww lakini hawajali.mwishoni naishia kuwatafuna ingawa sipendi.sababu kubwa ninayodhani inasababisha wafanye hivyo nahisi ni nyie wanaume kutowapa penzi inavyotakiwa.mnaendekeza sana pombe,mnapenda sana kuangalia mechi na kukaa baa kula vitimoto huku wake zenu wanaliwa huko mitaani.inabidi tubadilike maana hiyo tabia ndio inasababisha matatizo ktk mahusiano.muwapende wake zenu na msiwachukulie km baiskeli.vinginevyo kina babu k tupo around na tutaendelea kuwahudumia wake zenu mpaka mtakapo badili tabia
Muwe na mwaka mpya wa uchungu mkilifikiria hili.
babu kijana, ujumbe wako mzuri ila kilichodhihirisha upumbavu wako ni hapo kwenye bold, red and italics! Think twice kijana uzuri tunakufahamu physically hivyo huwezi kuleta shida sana!!
 
Last edited by a moderator:
Asalamu alekumu wana jf,heri ya mwaka mpya
Mada ya leo ni hii

Katika miaka ya nyuma nimekuwa na mahusiano na wanawake mbalimbali na tukaachana kwa sababu tofauti zisizopingika.baada ya hapo wengi wao wameendelea kuwa marafiki zangu na tunawasiliana mpaka sasa.wengi wao pia wameolewa au wana ma-bf,tatizo linakuja kwamba karibia wote huwa nikionana nao wanahitaji penzi!zamani nilikua mwoga sana wa wake za watu lakini nikajikuta nafanya hiyo zambi.hao mabinti mi huwa sina morale nao ila nawachukulia poa,sasa inapokuja swala la wao kudai penzi wakati ni wake za watu huwa nashangaa sana.na pia nawakumbusha kuwa una mume ww lakini hawajali.mwishoni naishia kuwatafuna ingawa sipendi.sababu kubwa ninayodhani inasababisha wafanye hivyo nahisi ni nyie wanaume kutowapa penzi inavyotakiwa.mnaendekeza sana pombe,mnapenda sana kuangalia mechi na kukaa baa kula vitimoto huku wake zenu wanaliwa huko mitaani.inabidi tubadilike maana hiyo tabia ndio inasababisha matatizo ktk mahusiano.muwapende wake zenu na msiwachukulie km baiskeli.vinginevyo kina babu k tupo around na tutaendelea kuwahudumia wake zenu mpaka mtakapo badili tabia
Muwe na mwaka mpya wa uchungu mkilifikiria hili.

Uzi ni huo huo usilegeze. Wewe mwenye mke unamuonea huruma mkeo kisa ana mshono?

Subiri akutane nami cjui habari ya mshono ni unyama unyamani tu.
 
Ukweli mtupu huo. Hata kama ni mimi ningewapuliza kisawasawa. Vijana wanaoa kwa ushabiki ili waonekane nao wameoa wakati hawatimizi maana ya ndoa. Pumbavu zao wanaotafuniwa wake zao. Na wajifunze waache ushabiki wa mipira ya usiku wa manane.
 
Duuuuuu.Wewe ni ndugu yake na Mwita Maranya ???
Na kwa nini umkekete wakati wewe ndio umesababisha kwa kuendekeza computer na kutomhudumia??

Yaani hapa anayekeketwa ni huyo atayethubutu kujipendekeza kwa mke wangu...yaani namkeketa O718 yake bila ganzi
 
Last edited by a moderator:
Mpumbavu mkubwa sana wewe babukijana! Yaani unajivunia kutia wake za watu kwa kisingizio eti waume zao hawawatimizii, shenzi kabisa! Koma ndugu yangu kama unajipenda ili huu mwaka 2013 uuanze vizuri la sivyo maisha yako yapo hatarini! Mwanamalundi nakuomba uje huku umsaidie huyu anayejifanya babukijana make mie napata kichefu chefu! Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
muuza ubuyu! acha hasira zisizo na maana!
Huo ni uqeli na lazima usemwe! babukijana hapendi kuwavua chupi wake za watu; wanamlazimisha.
Ni wake wangapi wanagongwa nje sababu za waume kutojali mahitaji ya mitombo ya wake zao?

Naunga mkono hoja. Na mke wa mtu akijipendekeza qa Bazazi ni lazima aliwe.
Matokeo mengine ni ajali kazini.
Mwanajeshi anajiunga na jeshi huku akijua likizuka la kuzuka; Yeye ni halali wa Risasi.
Aidha askari muoga sio askari. Mke wa mtu akijipitisha chapa qa qenda mbele.

Bazazi Nimesema!
 
Sawasawa,ukiona anakasirika jua ndo walewale.hapo lazima ajirekebishe akiendelea kuzembea wenzie wataendelea kumsaidia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom