Wanaume mliohamishiwa Dodoma mmetuachia wake zenu makazini wanatusumbua sana

Hawa ni aina ya wanaume ambao wanawaonea wivu wenzao waliopata shavu la kuhamia Dodoma, so kinafanyika ni kuwastress kwa mtindo kama huu ili wakose Amani huko Dodoma waliko. Chapeni kazi msisikilize maneno ya wenye wivu. Hamna lolote.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kwahiyo hao wake za mawaziri mnawafanyaje??
Mleta uzi sijui kama alifanya uchambuzi yakinifu. Hivi Dar na Dodoma ni masaa mangapi mtu kusafiri kumwona mwenzi wake? Mbona wenye wenza kila siku za wikendi wanatembeleana tu? Mtu mwenye tabia za hivyo hata muwe mnaishi naye masaa 24 akitaka kufanya uzinzi huwezi kumzuia atafanya tu. Mleta uzi ujue kuwa tendo la ndoa linaweza kufanyika mara moja au mbili kwa mwezi au kutofanyika na kutokuwepo madhara ya kimwili. Na wenza wanaweza kutembeleana tu bila sababu kutokana na umbali Dar to Dom kuwa mfupi na usafiri wa masaa yote. Nina jamaa zangu wana rotate kwa mtindo huu kutembeleana. Kwa hiyo asikatishe tamaa watumishi kuhamia Dodoma. Wewe ni kati ya wale ambao wameathirika serikali kuhamishia shughuli zake huko. Hivyo vibanda/vyumba fugia kuku na kitimoto uongeze kipato badala ya kuleta uzi wa kukatisha tamaa. Watumishi fanyeni kazi pasipo kusikiliza mawazo ya huyu na wenzake wa sampuli hii.Au inawezekana kuna ndugu yako ameenda Dodoma kutafuta fursa za maisha na wewe kutofahamu lolote ukajua amehamishiwa Dodoma kumbe mchoma chips ukadhani ni mtumishi ukaibuka na uzi wako kwa ku-generalize?
 
Mkuu nipe mmoja wapo kati ya hao tuwasaidie majukumu wanaume wenzetu maana wao najua wanaponea kwa mademu zetu wa udom
Wengine watakuwa dada zenu jamani kaah, au ukute ndo mama mzazi utafanyaje ukimletewa?
 
Ni bahati mbaya tu kwa miaka mingi sasa tumekuwa na viongozi wasio na maadili. Huko nyuma mtumishi akihamishwa na nafasi ya mkewe ilikuwa ikifikiriwa na hata kupangiwa kazi mbadala. Nchi inapita kwenye mtihani mkubwa sana.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Jidanganye hivyo hivyo mi nakukamulia mkeo. Sema dar dom si mbal. Wakati mi najilia tu mkeo.angalia fursa za dom mi naangalia ulizo acha dar....

Mleta uzi sijui kama alifanya uchambuzi yakinifu. Hivi Dar na Dodoma ni masaa mangapi mtu kusafiri kumwona mwenzi wake? Mbona wenye wenza kila siku za wikendi wanatembeleana tu? Mtu mwenye tabia za hivyo hata muwe mnaishi naye masaa 24 akitaka kufanya uzinzi huwezi kumzuia atafanya tu. Mleta uzi ujue kuwa tendo la ndoa linaweza kufanyika mara moja au mbili kwa mwezi au kutofanyika na kutokuwepo madhara ya kimwili. Na wenza wanaweza kutembeleana tu bila sababu kutokana na umbali Dar to Dom kuwa mfupi na usafiri wa masaa yote. Nina jamaa zangu wana rotate kwa mtindo huu kutembeleana. Kwa hiyo asikatishe tamaa watumishi kuhamia Dodoma. Wewe ni kati ya wale ambao wameathirika serikali kuhamishia shughuli zake huko. Hivyo vibanda/vyumba fugia kuku na kitimoto uongeze kipato badala ya kuleta uzi wa kukatisha tamaa. Watumishi fanyeni kazi pasipo kusikiliza mawazo ya huyu na wenzake wa sampuli hii.Au inawezekana kuna ndugu yako ameenda Dodoma kutafuta fursa za maisha na wewe kutofahamu lolote ukajua amehamishiwa Dodoma kumbe mchoma chips ukadhani ni mtumishi ukaibuka na uzi wako kwa ku-generalize?
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Gafla mwanamke anatuma picha ya nguo ya ndani kwenye whatssp
Ukituma picha ya mshangao anakujibu kwa picha ya aibu ameziba macho kwa mikono sasa hapo nini kinaendelea
unamalizia kwa kumwambia uko wapi nije nikuvishe hiyo nguo
Anakujibu kwa kukupa location ya hotel
Basi mzee unaenda kula mzigo
Rahisi kabisa hivyo tu eti
Unaota?
 
Nitatoa mtu kibiongo khakhaakhaa
Ukiona manyoyaaaaaaa????
Yani we ipo siku utanirudia ukishatendwa huko.. Angalia mwenzako anakuambia kuwa analazimishwa huko.
Bwa ha ha ha.!
We niite snitch ila badae utajua tu kuwa mm sii snitvmch
 
Jidanganye hivyo hivyo mi nakukamulia mkeo. Sema dar dom si mbal. Wakati mi najilia tu mkeo.angalia fursa za dom mi naangalia ulizo acha dar....
Mimi sio mtumishi na wala sijaajiriwa, njoo hapa ubungo msewe karibu na kanisa la roman uliza duka la mkinga utaonyeshwa na utaletwa, ndio nipo hapo nasanya visenti vyenu.Unalia hali ngumu, jishughulishe wewe acha mawazo ya kitoto nakuwaza reproductive organs za kike,kutamka hivyo ni kutodhamini viungo hivyo na utu, kwani dadayo, mamayo, shangaziyo, mtotoyo, binamuyo nk wana experience ya mahitaji hayo kama unavyowaza kwa wengine wakati sivyo na huenda mkeo au kahawara chako wanafyetuliwa na mnaishi wote muda wote. Watumishi mkachape kazi Dodoma achaneni na hawa waliopo nyuma ya keyboard na I'd fake za kukatisha tamaa wengine.Kuwa na mawazo chanya daima ndugu.
 
Ni wamama wawili sasa nmeona wamebadilika sana hapa kazini. Kila mtu kwa nafasi yake analalamika kuwa sasa ana hard time mahitaj ya kimwili hapati na mumewe yupo dodoma.

Ushawishi wao ni mkubwa. Huyu mmoja amefikia hatua kbisa ananambia " leo am so horny yaani ukinigusa tu wazungu haoo" akija ofisin kwangu ananitega sana kila wakat anataka tuzungumzie hbr za nyanjo/sex.

Na jimama lingine nalo linanambia linekuwa likiniangalia sana na kuona nipo serious so linapenda sana tupeane kampan hasa kipind hiki ni mpweke mumewe kaenda dodoma. Ananambia anajua nimeoa na ndo maana anataka atulie nami.tukapime tuwe tunakamuana tu kishkaj.ye hata sh yangu moja.

Nashauri waume mliohamia dodoma chukueni wake zenu. Wanatusumbua sana huku makazini na mitaani. Na wao wanaamini nanyi dodoma mnafanya hivyo hivyo.
Mbombo ngafu!!
 
Back
Top Bottom