Wanaume hamuwezi kunitongoza bila kuniuliza una mtoto au unafanya kazi gani?

Haina shida ukizoea kawaida tu...
Unajichanganya na watu maisha yanasonga
Kuwa realistic my dia.

kuwa single ni mtihani sana. Sema maneno ya kufariji ndio yanawafanya watu wawe single ila wakiwa vyumban mwao wanahisi kabisa kuna ubavu unakosekana. Labda kama hujawahi kuwa kwenye mahusiano tangu uzaliwe.
 
Sawa
 
Nasema mnachokitafuta mtakipata

Hivi unampenda D kama nilivyo au unataka ugundue nini?

Ujue siwaelewi unanitongoza unataka kazi yangu ndo unipende au ukisikia nina mtoto na mtongozo uishie hapohapo.

Mnaniacha njiapanda kwa kweliii.

Wanaume naombeni mseme huwa mnatongoza mnaangalia nini haswa ?
Au mitongozo imebadilika.

Location : Kihangaiko Msata .
Sio kwamba wanataka kujua kazi yako bali wanaijua ila wanataka uhakika zaidi.
 
Nasema mnachokitafuta mtakipata

Hivi unampenda D kama nilivyo au unataka ugundue nini?

Ujue siwaelewi unanitongoza unataka kazi yangu ndo unipende au ukisikia nina mtoto na mtongozo uishie hapohapo.

Mnaniacha njiapanda kwa kweliii.

Wanaume naombeni mseme huwa mnatongoza mnaangalia nini haswa ?
Au mitongozo imebadilika.

Location : Kihangaiko Msata .
Haa...haaa..... huwa hatuna mahitaji ya kudumu kwa kila mwanamke mfano kwangu mimi kwa sasa nataka mwanamke mwenye mtoto tena aliyeumizwa na mwanaume ambaye naamini anaweza kuwa na adabu kwa jinsi unavyo mtunza mtoto wake na kuwa faraja kwake.
hivyo hawezi kukupigia simu saa nne kwa kuwa anajua haki za wanandoa na kingine ameshapevuka katika mahusiano hivyo anaadabu.
 
Basi vizur kumbe ila maswali hayo yananiboa
Haa...haaa..... huwa hatuna mahitaji ya kudumu kwa kila mwanamke mfano kwangu mimi kwa sasa nataka mwanamke mwenye mtoto tena aliyeumizwa na mwanaume ambaye naamini anaweza kuwa na adabu kwa jinsi unavyo mtunza mtoto wake na kuwa faraja kwake.
hivyo hawezi kukupigia simu saa nne kwa kuwa anajua haki za wanandoa na kingine ameshapevuka katika mahusiano hivyo anaadabu.
 
hahah ,tena una hahatai maana unaulizwa kwanza ili mtongozoja ajue hitaji lake,sio akae kimya umpe msibo baadae ajue huna kazi na una mtoto juu,jua hutomwona tena, na mzigo atakuwa keshagonga ni hayo tu.
 
Nasema mnachokitafuta mtakipata

Hivi unampenda D kama nilivyo au unataka ugundue nini?

Ujue siwaelewi unanitongoza unataka kazi yangu ndo unipende au ukisikia nina mtoto na mtongozo uishie hapohapo.

Mnaniacha njiapanda kwa kweliii.

Wanaume naombeni mseme huwa mnatongoza mnaangalia nini haswa ?
Au mitongozo imebadilika.

Location : Kihangaiko Msata .
Siuwambie tu kama una watoto nane na wajukuu wanne!
 
Nasema mnachokitafuta mtakipata

Hivi unampenda D kama nilivyo au unataka ugundue nini?

Ujue siwaelewi unanitongoza unataka kazi yangu ndo unipende au ukisikia nina mtoto na mtongozo uishie hapohapo.

Mnaniacha njiapanda kwa kweliii.

Wanaume naombeni mseme huwa mnatongoza mnaangalia nini haswa ?
Au mitongozo imebadilika.

Location : Kihangaiko Msata .
Huwaga tunapima kina cha maji.
 
Msitupangie namna ya kutongoza.
 
Back
Top Bottom