Mu-Israeli
JF-Expert Member
- Mar 21, 2012
- 2,454
- 975
Binamu BelindaJacob , hehehehe, ukiwaga na shem, lazima tushingofenike, hata Mtambuzi mwenyewe huwaga anashingofenika mwanzo mwisho.....Nda tulivyo ivoshingo feni, ha ha ha... tena kaka fulani anaitwa Bramo ndiyo amezidisha kwenye hili..hapitwi kushangaa kina Eva
halafu tulivyo wapuuzi si ajabu jamaa hapa anasema cheki wowowo hilo wakati kiasili kiwowowo cha huyo dada huku kwetu ni kama cha mtoto wa darasa la nne.tuna uchu sana sisi.Mwanamke kutazamwa bana!! Wala hakuna ubaya atii!!
hapa anameza mate utafikiri ameona rost ya kitimoto na kachumbari.Ngoja na wewe zamu yako kuna siku nitakuchungulia........................LOL
duh!hata hawa kweli mapenzi hayana madaraka.