nziriye
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 1,050
- 361
hayawi hayawi yamekuwa,vijana wa chuo kikuu cha dsm wanapo ktk maandamano ya amani kuelekea ikulu kupeleka malalamiko yako kwa mh.mkwere labda anaweza wasikiliza na madai yao,wanakwenda na hoja mbili..mosi,je raisi anajua dai lao waliloomba kupandishiwa hela toka 5000tsh to 10000tshs,pili,kama hajasikia ndio wanampa taarifa...tatu-kuhusu dowans hamna haja ya kuilipa kwani inaongoza matumizi na bei ya vitu buuuuure.,waungwana wanajf hv ni kweli mkwere yupo ikulu kweli au yupo nje ya nchi ?...muda huu wapo mwenge,aluuuuta continua....