Wanapeleka wapi ?

MONTESQUIEU

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
847
80
Hivi hawa mgambo wa city wakichukua vitu vya wamachinga vinaishia wapi?
Na kwanini wachukue vitu.... Na sio watu?

Mara nyingi nimepita kariakoo naona mgambo wamebeba mali za watu mbalimbali na hakuna watu waliokamatwa...

Hii imekaaje?
 
Back
Top Bottom