salimkabora
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,441
- 651
uwezo wake ni wakusukuma tv,taa 5,radio na kuchaji simu,pindi ukitaka kuongeza uwezo itakughalim ununue tena kulingana na maitaj utakayo itaji mda huo
Nina airconditioners mbili kila moja 1800b.t.u, fridge moja, tv moja, feni 3, computer 2, na taa 8 kila moja 100w nijulishe gharama yake kama haizidi milioni mbili tukafunge sasa hivi hapa Dar