Wanaosambaza ukimwi/wauwaji wa albino wanyongwe hadharani

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,150
Ndugu wapendwa .hivi majuzi chama cha maalbino tanzania wamependekeza wale wote watakaokutwa na hatia ya kuu maalbino wanyongwe hadharani ndugu zao wakiwaona ..hii yawezekana itakuwa fundisho kwa jamii.....
Nimeona niombe kama serikali itakubaliana na hili basi tunaomba wale wote watakaokutwa na hatia ya kuambukiza ukimwi nao wanyongwe hadharani ili iwe fundisho kwa jamii....inasikitika sana kuona vitoto vyetu vikiteketea na ukimwi umri wa miaka 15 na kufikia wazazi kuulizana kulikoni na kuamua kupima...huku majibu yakiwatanabaisha hawana ukimwi....
haya mambo tunaomba serikali muwe makini vinginevyo mnatengeneza vizazi vyenye kuathirika millele.......

Nawatakieni heri chama cha maalbino na maombi yenu
 
Back
Top Bottom