Ilikua uwanja wataifa. Kulikua kunampira wasimba nayanga. Watu waliku wengi sana. Ila kunawatu walikua wapo nje hawana kiingilio nawanatamani kuingia ndani. Ndipo jamaa mmoja akaamua kujitosa akazunguka nyuma akaruka ukuta. Ile anatua tuu ndani anakutana uso kwa uso na polisi. Jamaa akaona imeshakua soo.akaona afanye kitu chakumsaidia. Kabla yule polisi hajamuuliza kitu yeakamfata haraka nakumnong'oneza "eti afande watu wanaoruka ukuta wanakaa wapi?" Polisi akabaki kazubaa tuu.