baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 2,742
- 4,522
Inategemea na viwanda.du noma sana, ila vipi kwa tz hii kipnd JPm alipokuwa anasema tz ya viwanda ?, na pia viwanda vilivyopo vya akin mo na bakhresa je wao hawapati ushindani mkuu?
-kwenye Mafuta wakati huo huo wa JPM, MO alikuwa na conflict na Serikali alikua akileta mafuta toka Indonesia ambayo ni almost yalikua tayari, yanafanyiwa process ndogo tu hapa. Sio mafuta tu kwa MO analeta Tambi, Biskuti na bidhaa nyingi ambazo ni ready made na kuja kuwa branded hapa. So hii ni njia ya kwanza wanakuwa na viwanda ambavyo kazi kubwa imefanywa nje hapa wanakuja kumaliza tu.
- kuna viwanda ambavyo vinalindwa na Serikali kama vile sukari, ukinunua nje sukari ni bei rahisi ili kulinda wafanyabiashara wa ndani huruhusiwi kuleta sukari bila kibali maalum, ndio maana wanaweza kusurvive, sio sukari tu kuna Cement na viwanda vingi tu ambavyo serikali hairuhusu kutoa nje bila kibali maalum.