Wanaomtetea Mrusi dhidi ya uvamizi wake nchini Ukraine, Someni hii

Hakuna makombora yoyote ya Marekani au NATO yaliyowekwa Ukraine.
Kwa bahati mbaya wakati wa Cuban missile crisis kijana Nondo alikuwa hajazaliwa, na hajajishughulisha kutafuta taarifa zake!!
Kusema ukweli Nondo kajiaibisha na hastahili jina LA Nondo ila anafaa aitwe Fito!!
Kwa akili ya fito kwa kuw Mexico ni sovereign state basi inaweza kumkaribisha mchina aweke makombora yake hapo!! Na anadhani marekani itakubali hilo!!
Kuna siasa za super powers!! Zikiweka mstari mwekundu ukiuvuka unapigwa na hakuna wa kuingilia kati!!
 
1.Hakuna maslahi yoyote ya Urusi yaliyotishwa na Ukraine hadi kumfanya Putin kuivamia hiyo nchi.Tayari kuna nchi tano zinazopakana na Urusi ambazo ziko NATO hizo ndizo zingekuwa zinatishia zaidi maslahi yake. Ndio maana unaona maandamano ya kuipinga hiyo vita ndani ya Urusi. Sio rai wengi wa Urusi wala jeshi lao wanaolewa kwa nini Putin ameivamia Ukraine.

2.Russia haijaanza kuivamia Ukraine leo, imeanza zamani sana hata kabla haijawa superpower na mara zote Ukraine imekataa kuwa chini ya Himaya ya Russia. Putin anajaribu tena kutengeneza hiyo Himaya.Nchi nyingine zilizowahi kuvamiwa na Putin ni Chechnya 1999 na Georgia 2008.

3.Hakuna Eastern block, Eastern block ilianguka mwaka 1990 na nchi 14 zilijitoa kwenye hiyo block kwa maandamano na mwishowe kura za kuikataa USSR na Russia. Nyingi ya hizo nchi zilipiga hatua kuwa za kidemokrasia na kuungana na Ulaya Magharibi katika EU na NATO. Imebaki Belarus tu ambayo dikteta wake anaharibu uchaguzi kwa usaidizi wa Russia kuendeleza utawala kidikteta uliokataliwa na raia.

4.Hii sio vita Russia kulinda maslahi yake yanayotishiwa na Ukraine, ni vita ya kutanua Himaya kama vita za Empires za kale karne ya 19 kurudi nyuma. Putin ana ndoto Ukraine sio nchi kamili kwamba ni sehemu ya Russia tu. Akiwa na Ukraine na Belarus kwapani kwake anaona kutimia kwa ndoto yake ya kuifanya Russia ya sasa kama aina fulani Umoja wa Kisoviet wa kale.
Popoma mwingine huyu
Nchi 6 zinazopakana na Russia tayari ziko NATO, Hizo ni Norway, Estonia, Latvia, Lithuania, Poland na Uturuki.

Urusi akiweza kuikalia Ukraine kimabavu atakutana na nchi nyingine 5 za NATO

Sweden na Finland baada ya kuona uvamizi wa Ukraine na Georgia sasa zinafikiria kujiunga na NATO, kwa sababu ni wazi kama Ukraine isingechelewa kujiunga na NATO leo hii isengevamiwa.

Katika mazingira yote hayo hiyo buffer zone anayoitaka Russia iko wapi? Atavamia nchi zote zinazomzunguka na kuweka serikali ya kidekteta kama ya Belarus ili aweze kuipata hiyo buffer zone?
Mbona NATO wanajitosha sana. Tatizo la msingi ni nini la kutaka kujitanua zaidi??
 
Jibu hili nilikuwa nina mjibu kaka Yericko Nyerere katika hoja zake ambazo ziliegemea kumtetea Mrusi dhidi ya Ukraine.

Nina tamani kwa yeyote anayemtetea Mrusi apate kusoma ili ndio apime hoja zake za kumtetea Mrusi dhidi Ukraine na hoja hizi chini .

Mnakosea sana suppress Sovereignty na Territorial integrity ya Ukraine.

Ukraine ni nchi huru (Sovereign State) na Mrusi anajua hilo ,huko nyuma Russia na viongozi wake waliitambua Ukraine kama nchi huru na yenye mipaka yake inayopaswa heshimiwa tangu Budapest Memorandum kati ya Russia chini ya Boris Yeltsin na Ukraine chini ya Leonid Kuchman , Brokered by US under Bill Clinton.

Sasa leo nawashanga Kaka Yericko kutokana na Aggression ya Putin , mnaona Ukraine haina wajibu wa kujilinda na kulinda nchi yake na uhuru wake eti kwenye maslahi ya mipaka na Sovereignty ya nchi katika siasa za kimataifa sio chochote isipokuwa maslahi ya nchi husika , No No ! .Na lazima tupinge haya katika International Geopolitics. (Sovereignty and territorial integrity ya nchi yeyote should be respected Yericko.

Mnakosea sana Ukraine ni nchi huru jamani ili na yenyewe iwe salama dhidi ya vitisho vya Russia lazima wajiunge na NATO .

Russia ni Muoga tuu na hofu imemjaa anajua Ukrain akijunga na NATO basi Crimea zitarudishwa kuwa sehemu ya Ukraine hata hao Separatists wa Donbas (The Donetsk and Luhansk ) watapigwa ili kurudi.

Na Russia inaogopa kwamba Ukraine ikijiunga tuu na NATO ndio basi tena Russia hataweza tena kuitisha Ukraine , sababu Ukraine ikiwa Sehemu ya NATO mkataba wa Washington treaty article 5 inasema kuhusu Collective Defense pale ambapo Mwanachama mmoja wa NATO akivamiwa yaani wote wanaingia vitani dhidi ya aliyemvamia Mwanachama mwenzao, hivyo Russia hataki baadaye kwa chokochoko zake na uonezi kupigana na NATO sababu atagongwa na ndiyo itakuwa vita ya tatu ya Dunia.

Watu wanasema Ukraine amegeuka Makubaliano ya Minsk Il , Sio kweli Russia ndiye ameyavunja hayo makubaliano na ameyaita "Non-existent " yaani ambayo hayapo baada ya kuitambua Donbos hii hii Februari 2022 na baada ya kupeleka majeshi badala ya kuyatoa (Withdrawal) sababu aliona kabisa amevunja mkataba wa Minsk ll ya 2015.

Lakini jiulizeni,

Karibia nchi zote ambazo ni Former Soviet , zimejiunga NATO , Poland , Hungary, Czech ,Joined 1999 .

Estonia, Latvia , Lithuania, Bulgaria , Romania, Slovakia, Slovenia joined NATO 2004.

CROATIA and Albania Joined 2009 .

Why UKRAINE iwe NONGWA ????? Kwanini UKRAINE iwe NONGWA ????

The "Putinism "ndiyo inayofanya leo Ukraine watu wanakufa ,kuangamizwa na kuuwawa ni namna tuu Putin anavyowaza na kuitazama Ukraine,Putin hajawahi kuitizam Ukraine kama nchi.Marais wengi wa Urusi kabla yake walikuwa wanaitizama UKRAINE kama nchi ila Putin hajawahi fanya hivyo.Mfano Mwaka 2008 ,Putin aliwahi kumwambia George.W Bush aliyekuwa Rais wa Marekani.

"Ukraine is an artificial state whose territory was often changed in the course of 20the Century , Russian and Ukrainian people is practically one people with common historical roots and common destiny , we have common religion, common faith , we have a similar culture , language, tradition and mentality. The Ukraine can have a future alongside Russia not out side Russia Sphere of influence in Europe" .

Maneno haya ni wazi yanaoneshs Russia haitambui Ukraine kama nchi huru na akisema ili Ukraine iweze kuishi ni lazima iwe upande wa Russia . Russia kupitia Putin amekuwa kila mara akiitisha Ukraine , akitaka kuweka viongozi awatakao yeye Ukraine.Hii haiwezekani sababu Ukraine ina mamlaka yake sio koloni la Russia.

Ukraine wamekuwa wakiishi kwa hofu , hivyo inachofanya Ukraine ni kutafuta sehemu salama ili iepukane na vitisho vya Russia , ndio maana kwa muda mrefu UKRAINE ikaona njia salama kuwa na dhamira ya kujiunga NATO .

Oooh , UKRAINE iwe nchi kati isiwe na upande , ndio salama yake .

Sawa ila unawekaje masharti kwa nchi huru ?.

Ukraine inaweza yenyewe kujiamulia kuwa Bufffer state (Neutral Country) kulingana na Geopolitical Crisis iliyopo ila sio kwa masharti yawekwao na Urusi dhidi ya Ukraine.Tuelewe UKRAINE is the Sovereign Country is neither part of Russia nor Russia's Colony.Ni kuheshimu Sovereignty ya nchi tuu kulingana na sheria za kimataifa Simple!! , UKRAINE aachwe ajiunge na NATO.

Ooohhh UKRAINE itatumiwa na NATO na nchi za Magharibi dhidi ya Russia sio hoja hiyo.

Sababu huwezi kumuwazia vibaya mwenzako kabla , yaani UKRAINE kujiunga na NATO hatafuti chochote zaidi ya kujiweka sehemu salama dhidi ya vitisho vya Russia lakini pia kuimarisha mahusiano na nchi za Magharibi kiuchumi.

Russia yeye anawaza vingine kwamba Ukraine kujiunga NATO ni njia ya Nchi za Magharibi kutaka kuitumia Ukraine dhidi yake kama yeye Russia alivyoitimia Cuba dhidi ya Marekani kwa kuweka zile Missiles .Ni hofu na woga tuu sio lolote ,

Ukraine iachwe ijiamulie yenyewe.

Ila ikiwa itashindikana kabisa , Ukraine iamue yenyewe sio kwa kulazimishwa kuwa the buffer State yaani Neutral Country kati ya Russia na nchi za Magharibi. Ingawa vitisho na kurimotiwa na Russia kutaendelea ndani ya Ukraine ikiwa Ukraine atakuwa Buffer State.

Kuna watu wanamlaumu Rais wa UKRAINE Zelensky kwa kutaka kujiunga NATO , kwamba amefanya watu wake kufa.

Tuelewe jamani
Zelenskiy ameingia 2019 .

Nyuma alikuwa Poroshenko kama Rais ambapo tayari Bunge la Ukraine lilikuwa tayari limefanya maamuzi 2016 soon baada ya Russia kuvamia UKRAINE na kuchukua Crimea na ku engineer Separatists wa Donbas kujitenga.Bunge la Ukraine lilipiga kura na kujiondoa katika status ya Aligned (Kuwa Neutral yaani nchi kati ) ambayo Rais Viktor Yanukovych alikuwa ameiweka Ukraine katika Status hiyo.

Na movement ya Ukraine kuingia NATO and EU ni mpango wa watu na wananchi wa Ukraine wenyewe wa muda mrefu sana ni hivyo tuu haujatumia ila wananchi wengi wa UKRAINE (Euromaida) wanahitaji nchi yao iwe EU na pia iwe NATO.

Ndio maana Rais wa Ukraine Viktor Yanukovych aliondolewa 2014 sababu kubwa alikataa ku sain EU Association Agreement ambayo ilikuwa ni Trajectory ya UKRAINE kuanza kuingia NATO badala yake akakimbilia kutangaza kujiunga Eurasian Economic Union ya Urusi .

Wananchi wapenzi wakamtoa .So anachofanya Rais Zelenskiy kina baraka zote za wananchi na Bunge katika kulinda Maslahi ya nchi na watu wake wa Ukraine,alivyoingia Zelensky 2019 alifanya kufufua na kuendeleza tuu yale ambayo ni matakwa ya wananchi wa Ukraine,sasa kosa la Rais Zelenskiy lipo wapi? ,Kosa lake ni kulinda Sovereignty ya nchi yake aliyoapa kulinda ? ,Kosa lake ni kulinda uhuru wa vyombo vya nchi yao kuamua ?,kosa lake ni kulinda uhuru na matakwa ya wananchi wake ? ,Kosa lake ni kulinda nchi yake na watu wake kwa kujitetea dhidi ya uchokozi ,uoenezi wa Russia dhidi ya UKRAINE kosa la Zelenskiy au Ukraine ni lipi?

Kwanini msione kosa la Russia kwa kuvunja makubaliano ya Budapest Memorandum juu ya Urusi kupitia aliyekuwa Rais Boris kuitambua Ukraine kama nchi huru , mbona hamuoni kosa la Russia kuvamia Crimea 2014 na kujipa umiliki wa Black huku akizuia na kuteka meli za Ukraine zinazopita ,mbona hamuoni kosa la Russia alivyochochea watu Donbas (Luhansk na Donetsk) kujitenga ?, Mbona hamuoni kosa la Russia kuvunja makubaliano ya Minsk ll ya 2015 yanayokataza kujipanua na kuingiza majeshi hivyo kutaka (Withdrawal) Russia anaendelea kujipanua na kuingiza majeshi,mbona hamuoni kosa la Russia kuipiga Ukraine bila sababu yeyote ? ,Anauwa watu ,anauwa watoto anawapa hasara Ukraine akiita Operation ya Kijeshi , Operesheni ya kijeshi ?? ,Raia wanauwawa,anaripua Maeneo ya Umma Hospital ,maeneo ya makazi ya watu alafu anaita Operesheni ya kijeshi ?

Mnaosema hii ni Operesheni ya kijeshi (Military Operation) muache mnakosea saana ,Hii sio Military Operation dhidi ya UKRAINE hii ni vita ,hii ni "Massacre".

Military Operation au Surgical Strike ,- Ni military strike yenye lengo la kuharibu Miundombinu ya kijeshi na kupiga katika maeneo maalumu ya kijeshi (Legitimate Milltary target ) without Collateral Damage ( bila kusababisha vifo na majeraha hasa Raia, Civilians) au pia kutokupia karibu na maeneo ya makazi ya watu near by areas of civilians .

Anachofanya Putin, hii sio Military Operation tena sababu tumeona Civilians wakiuwawa ,Makazi ya watu na Hospital yakiharibiwa , Civilians wakiwa majeraha .

Unawezaje kusema hii ni Military Operation , Military Operation ni Jeshi kwa Jeshi ,hit on Millary base ,hit on Lethal and Non Lethat weapons usidhuru civilians wala Makazi yao .

HII YA PUTIN NI VITA isiyofuata sheria ya vita.

Vita ni intense Armed Conflict kati ya makundi kadhaa yenye uhasama .

Inaweza kuwa nchi na nchi au makundi ndani ya nchi.

Kuna aina 3 za vita.

1.International armed conflicts.(Those involving armed forces from two or more states (international armed conflicts).

2.Non-international armed conflicts (The War between groups,parties within a single state).

Ingawa wengine wameongeza na internationalized Armed Conflict.

Katika sheria za kimataifa kuna Sheria inayoongoza vita , Inaitwa JUS IN BELLO au LAW OF THE WAR au INTERNATIONAL HUMANITARIAN LAW .

Hii sheria inaelezea namna vita inavyopaswa kupiganwa , ili kuzuia Harm kwa Civilians na pande zote lazima waheshimu taratibu,sheria na kanuni hizi ,mfano hutakiwi kupiga Majengo ya makazi ya watu , Hospital ,shule au sehemu yeyote ya Civilians inaweza kutokea civilians kufa ila lazima proportionality kuzingatiwa ili kuzuia harm zaidi.

Lakini pia inaelezea zaidi kwamba kabla hujapigana unapaswa uwe na strong justification ya kupigana (Right to wage war ) huitwa JUS AD BELLUM yaani Criteria za kupigana vita ,kabla kuna paswa kuwe na njia zingine non- military methods zimechukuliwa ili kuzuia vita. Kama Diplomatic option, sanctions ,, known as last resort.

Kutokuzingatia hizi sheria na kanuni katika katika vita unakuwa imetenda kosa , "War Crime " hivyo kupaswa kushtakiwa ktk mahakama ya ICC.

Russia wanalisha Propaganda watu,ooh UKRAINE inatumika kuhifadhi wanajeshi wa NATO , sijui vifaa vya NATO vipo katika kambi za jeshi ndani ya Ukraine hii ni hujuma dhidi ya Usalama wa Russia ! This is purely Propaganda.

Sio jambo la kushangaa wanajeshi wa NATO kuwepo katika kambi za Ukraine au kuwepo ndani ya nchi ya UKRAINE.

Nchi za Ulaya na Marekani tangu 1997 zimekuwa zikifanya mazoezi ya pamoja na hii sio kwa UKRAINE tuu, mwaka 1994 ,NATO ktk kikao Chao cha Brussels Summit waliidhinisha Program ya Partnership for Peace (PfP) kwa nchi zote za ulaya Mashariki hata Urusi ili kufanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi yaani the Joint Military Exercise na mwaka 1996 UKRAIN ilijunga.

Hivyo kila mwaka kuna program inaitwa Rapid Trident

Rapid Trident is the culminating event of
an annual training exercise to prepare Ukrainian Land Force units for the challenges of real
world situations and deployments.”

Lakini mmesahau kwamba UKRAINE ni Mwanachama wa Joint Multinational Training Group .

Sasa watu wanashangaa nini , NATO kuwepo UKRAIN ktk kambi ni kawaida na wanatoa mafunzo na sio kwa UKRAINE tuu ni kwa nchi nyingi pia ambazo ni member wa PfP.

Leo hii RUSSIA anauwa watu wasio na hatia ila kuna watu wanaona ni sawa tuu ,sababu vita hii wanaitazama katika jicho la Proxy War ,yaani vita kati ya Russia na Marekani pamoja na washirika wake kutoka nchi za Magharibi.Hawaangalii vita hii kama ni Uvamizi wa Russia dhidi ya nchi huru ya Ukraine ,dhidi ya wananchi wa Ukraine wasio na hatia.

Mtu sababu hampendi Marekani basi basi kwake anaona ndio sababu na uhalali wa yeye kuona Russia yupo sahihi ,No No No tupinge uonezo huu popote. Kam tulipinga uonezi huu Syria ,kama tulipinga uonezi huu Libya ,kama tulipinga uonezi huu Iraq ,kama tunapinga kila siku uonezi dhidi ya Wapalestina tuendelee kupinga uonezi huu dhidi ya Ukraine bila kujali nani anaonea na nani anaonewa .Tupinge uonezi na ukatili dhidi ya Mnyonge ,dhidi ya nchi yeyote inayoonewa .Mtupinge yeyote anaye onea awe Mrusi ,awe Marekani au nchi yeyote ya Ulaya au nchi yenye nguvu tupinge .Tumtetee anaye onewa siku zote .

Tusimame na UKRAINE. Nina Simama na UKRAINE.

Abdul Nondo.
Mimi pia nasimama na Ukraine.
 
Popoma mwingine huyu

Mbona NATO wanajitosha sana. Tatizo la msingi ni nini la kutaka kujitanua zaidi??
NATO ndio inataka kujitanua au mataifa mengine ndio yanaomba kujiunga na NATO?

Unafikiri kama Ukraine ingejiunga na NATO mapema kama wenzao Poland leo hii wangevamiwa ?
 
Ungesema tu kwa kifupi hayo mazungumzo ya Biden na Xi yalihusu nini kila mmoja kwenye huu uzi aweze kuona ni ulimwengu gani huo wa tofauti tunaoingia zaidi ya ule wa kushindana kutengeneza silaha, kukuza bajeti za majeshi na nchi nyingine kukimbilia kujiunga NATO kwa ulinzi zaidi.
Kwa hiyo kwa kufanya hayo uliyoorodhesha hapo, ndio "kutafuta uongozi" na siyo "kutawala"?

Habari utaipata tu katika muda, kama hutaki kujishughulisha kuitafuta mwenyewe.
 
Nchi 6 zinazopakana na Russia tayari ziko NATO, Hizo ni Norway, Estonia, Latvia, Lithuania, Poland na Uturuki.

Urusi akiweza kuikalia Ukraine kimabavu atakutana na nchi nyingine 5 za NATO

Sweden na Finland baada ya kuona uvamizi wa Ukraine na Georgia sasa zinafikiria kujiunga na NATO, kwa sababu ni wazi kama Ukraine isingechelewa kujiunga na NATO leo hii isengevamiwa.

Katika mazingira yote hayo hiyo buffer zone anayoitaka Russia iko wapi? Atavamia nchi zote zinazomzunguka na kuweka serikali ya kidekteta kama ya Belarus ili aweze kuipata hiyo buffer zone?
Unachosahau kukizungumzia, au hutaki tu maksudi kukisemea ni nia ya hiyo NATO kwa Urusi. Katika mawazo yako unaona kwamba hao NATO hawana 'desgns' zao zozote na shirikisho la Urusi, ni wazi tatizo hulijui lilipo.
 
Hujasoma nyaraka yoyote, umesikiliza propoganda tu. Putin mwenywe hajasema kuna nyaraka zozote zimevunjwa, sababu aliyotoa kuivamia Ukraine ni kuwaondoa WANAZI kitu ambacho ni propoganda tupu kwa sababu Zelenskyy ni Myahudi.
Ujue JF inasomwa na watu wengi sana na ambao wanakuheshimu kama mdadavuaji wa mambo ya msingi na mimi nikiwemo. Kwa heshima hiyo hiyo ninaomba usituvunje moyo.

Mkuu, ukipata nafasi, fanya kazi ile ile niliyomuomba mleta mada ya kutafuta taarifa sahihi kutoka vyanzo vinavyoaminika. Asante.
 
Jibu hili nilikuwa nina mjibu kaka Yericko Nyerere katika hoja zake ambazo ziliegemea kumtetea Mrusi dhidi ya Ukraine.

Nina tamani kwa yeyote anayemtetea Mrusi apate kusoma ili ndio apime hoja zake za kumtetea Mrusi dhidi Ukraine na hoja hizi chini .

Mnakosea sana suppress Sovereignty na Territorial integrity ya Ukraine.

Ukraine ni nchi huru (Sovereign State) na Mrusi anajua hilo ,huko nyuma Russia na viongozi wake waliitambua Ukraine kama nchi huru na yenye mipaka yake inayopaswa heshimiwa tangu Budapest Memorandum kati ya Russia chini ya Boris Yeltsin na Ukraine chini ya Leonid Kuchman , Brokered by US under Bill Clinton.

Sasa leo nawashanga Kaka Yericko kutokana na Aggression ya Putin , mnaona Ukraine haina wajibu wa kujilinda na kulinda nchi yake na uhuru wake eti kwenye maslahi ya mipaka na Sovereignty ya nchi katika siasa za kimataifa sio chochote isipokuwa maslahi ya nchi husika , No No ! .Na lazima tupinge haya katika International Geopolitics. (Sovereignty and territorial integrity ya nchi yeyote should be respected Yericko.

Mnakosea sana Ukraine ni nchi huru jamani ili na yenyewe iwe salama dhidi ya vitisho vya Russia lazima wajiunge na NATO .

Russia ni Muoga tuu na hofu imemjaa anajua Ukrain akijunga na NATO basi Crimea zitarudishwa kuwa sehemu ya Ukraine hata hao Separatists wa Donbas (The Donetsk and Luhansk ) watapigwa ili kurudi.

Na Russia inaogopa kwamba Ukraine ikijiunga tuu na NATO ndio basi tena Russia hataweza tena kuitisha Ukraine , sababu Ukraine ikiwa Sehemu ya NATO mkataba wa Washington treaty article 5 inasema kuhusu Collective Defense pale ambapo Mwanachama mmoja wa NATO akivamiwa yaani wote wanaingia vitani dhidi ya aliyemvamia Mwanachama mwenzao, hivyo Russia hataki baadaye kwa chokochoko zake na uonezi kupigana na NATO sababu atagongwa na ndiyo itakuwa vita ya tatu ya Dunia.

Watu wanasema Ukraine amegeuka Makubaliano ya Minsk Il , Sio kweli Russia ndiye ameyavunja hayo makubaliano na ameyaita "Non-existent " yaani ambayo hayapo baada ya kuitambua Donbos hii hii Februari 2022 na baada ya kupeleka majeshi badala ya kuyatoa (Withdrawal) sababu aliona kabisa amevunja mkataba wa Minsk ll ya 2015.

Lakini jiulizeni,

Karibia nchi zote ambazo ni Former Soviet , zimejiunga NATO , Poland , Hungary, Czech ,Joined 1999 .

Estonia, Latvia , Lithuania, Bulgaria , Romania, Slovakia, Slovenia joined NATO 2004.

CROATIA and Albania Joined 2009 .

Why UKRAINE iwe NONGWA ????? Kwanini UKRAINE iwe NONGWA ????

The "Putinism "ndiyo inayofanya leo Ukraine watu wanakufa ,kuangamizwa na kuuwawa ni namna tuu Putin anavyowaza na kuitazama Ukraine,Putin hajawahi kuitizam Ukraine kama nchi.Marais wengi wa Urusi kabla yake walikuwa wanaitizama UKRAINE kama nchi ila Putin hajawahi fanya hivyo.Mfano Mwaka 2008 ,Putin aliwahi kumwambia George.W Bush aliyekuwa Rais wa Marekani.

"Ukraine is an artificial state whose territory was often changed in the course of 20the Century , Russian and Ukrainian people is practically one people with common historical roots and common destiny , we have common religion, common faith , we have a similar culture , language, tradition and mentality. The Ukraine can have a future alongside Russia not out side Russia Sphere of influence in Europe" .

Maneno haya ni wazi yanaoneshs Russia haitambui Ukraine kama nchi huru na akisema ili Ukraine iweze kuishi ni lazima iwe upande wa Russia . Russia kupitia Putin amekuwa kila mara akiitisha Ukraine , akitaka kuweka viongozi awatakao yeye Ukraine.Hii haiwezekani sababu Ukraine ina mamlaka yake sio koloni la Russia.

Ukraine wamekuwa wakiishi kwa hofu , hivyo inachofanya Ukraine ni kutafuta sehemu salama ili iepukane na vitisho vya Russia , ndio maana kwa muda mrefu UKRAINE ikaona njia salama kuwa na dhamira ya kujiunga NATO .

Oooh , UKRAINE iwe nchi kati isiwe na upande , ndio salama yake .

Sawa ila unawekaje masharti kwa nchi huru ?.

Ukraine inaweza yenyewe kujiamulia kuwa Bufffer state (Neutral Country) kulingana na Geopolitical Crisis iliyopo ila sio kwa masharti yawekwao na Urusi dhidi ya Ukraine.Tuelewe UKRAINE is the Sovereign Country is neither part of Russia nor Russia's Colony.Ni kuheshimu Sovereignty ya nchi tuu kulingana na sheria za kimataifa Simple!! , UKRAINE aachwe ajiunge na NATO.

Ooohhh UKRAINE itatumiwa na NATO na nchi za Magharibi dhidi ya Russia sio hoja hiyo.

Sababu huwezi kumuwazia vibaya mwenzako kabla , yaani UKRAINE kujiunga na NATO hatafuti chochote zaidi ya kujiweka sehemu salama dhidi ya vitisho vya Russia lakini pia kuimarisha mahusiano na nchi za Magharibi kiuchumi.

Russia yeye anawaza vingine kwamba Ukraine kujiunga NATO ni njia ya Nchi za Magharibi kutaka kuitumia Ukraine dhidi yake kama yeye Russia alivyoitimia Cuba dhidi ya Marekani kwa kuweka zile Missiles .Ni hofu na woga tuu sio lolote ,

Ukraine iachwe ijiamulie yenyewe.

Ila ikiwa itashindikana kabisa , Ukraine iamue yenyewe sio kwa kulazimishwa kuwa the buffer State yaani Neutral Country kati ya Russia na nchi za Magharibi. Ingawa vitisho na kurimotiwa na Russia kutaendelea ndani ya Ukraine ikiwa Ukraine atakuwa Buffer State.

Kuna watu wanamlaumu Rais wa UKRAINE Zelensky kwa kutaka kujiunga NATO , kwamba amefanya watu wake kufa.

Tuelewe jamani
Zelenskiy ameingia 2019 .

Nyuma alikuwa Poroshenko kama Rais ambapo tayari Bunge la Ukraine lilikuwa tayari limefanya maamuzi 2016 soon baada ya Russia kuvamia UKRAINE na kuchukua Crimea na ku engineer Separatists wa Donbas kujitenga.Bunge la Ukraine lilipiga kura na kujiondoa katika status ya Aligned (Kuwa Neutral yaani nchi kati ) ambayo Rais Viktor Yanukovych alikuwa ameiweka Ukraine katika Status hiyo.

Na movement ya Ukraine kuingia NATO and EU ni mpango wa watu na wananchi wa Ukraine wenyewe wa muda mrefu sana ni hivyo tuu haujatumia ila wananchi wengi wa UKRAINE (Euromaida) wanahitaji nchi yao iwe EU na pia iwe NATO.

Ndio maana Rais wa Ukraine Viktor Yanukovych aliondolewa 2014 sababu kubwa alikataa ku sain EU Association Agreement ambayo ilikuwa ni Trajectory ya UKRAINE kuanza kuingia NATO badala yake akakimbilia kutangaza kujiunga Eurasian Economic Union ya Urusi .

Wananchi wapenzi wakamtoa .So anachofanya Rais Zelenskiy kina baraka zote za wananchi na Bunge katika kulinda Maslahi ya nchi na watu wake wa Ukraine,alivyoingia Zelensky 2019 alifanya kufufua na kuendeleza tuu yale ambayo ni matakwa ya wananchi wa Ukraine,sasa kosa la Rais Zelenskiy lipo wapi? ,Kosa lake ni kulinda Sovereignty ya nchi yake aliyoapa kulinda ? ,Kosa lake ni kulinda uhuru wa vyombo vya nchi yao kuamua ?,kosa lake ni kulinda uhuru na matakwa ya wananchi wake ? ,Kosa lake ni kulinda nchi yake na watu wake kwa kujitetea dhidi ya uchokozi ,uoenezi wa Russia dhidi ya UKRAINE kosa la Zelenskiy au Ukraine ni lipi?

Kwanini msione kosa la Russia kwa kuvunja makubaliano ya Budapest Memorandum juu ya Urusi kupitia aliyekuwa Rais Boris kuitambua Ukraine kama nchi huru , mbona hamuoni kosa la Russia kuvamia Crimea 2014 na kujipa umiliki wa Black huku akizuia na kuteka meli za Ukraine zinazopita ,mbona hamuoni kosa la Russia alivyochochea watu Donbas (Luhansk na Donetsk) kujitenga ?, Mbona hamuoni kosa la Russia kuvunja makubaliano ya Minsk ll ya 2015 yanayokataza kujipanua na kuingiza majeshi hivyo kutaka (Withdrawal) Russia anaendelea kujipanua na kuingiza majeshi,mbona hamuoni kosa la Russia kuipiga Ukraine bila sababu yeyote ? ,Anauwa watu ,anauwa watoto anawapa hasara Ukraine akiita Operation ya Kijeshi , Operesheni ya kijeshi ?? ,Raia wanauwawa,anaripua Maeneo ya Umma Hospital ,maeneo ya makazi ya watu alafu anaita Operesheni ya kijeshi ?

Mnaosema hii ni Operesheni ya kijeshi (Military Operation) muache mnakosea saana ,Hii sio Military Operation dhidi ya UKRAINE hii ni vita ,hii ni "Massacre".

Military Operation au Surgical Strike ,- Ni military strike yenye lengo la kuharibu Miundombinu ya kijeshi na kupiga katika maeneo maalumu ya kijeshi (Legitimate Milltary target ) without Collateral Damage ( bila kusababisha vifo na majeraha hasa Raia, Civilians) au pia kutokupia karibu na maeneo ya makazi ya watu near by areas of civilians .

Anachofanya Putin, hii sio Military Operation tena sababu tumeona Civilians wakiuwawa ,Makazi ya watu na Hospital yakiharibiwa , Civilians wakiwa majeraha .

Unawezaje kusema hii ni Military Operation , Military Operation ni Jeshi kwa Jeshi ,hit on Millary base ,hit on Lethal and Non Lethat weapons usidhuru civilians wala Makazi yao .

HII YA PUTIN NI VITA isiyofuata sheria ya vita.

Vita ni intense Armed Conflict kati ya makundi kadhaa yenye uhasama .

Inaweza kuwa nchi na nchi au makundi ndani ya nchi.

Kuna aina 3 za vita.

1.International armed conflicts.(Those involving armed forces from two or more states (international armed conflicts).

2.Non-international armed conflicts (The War between groups,parties within a single state).

Ingawa wengine wameongeza na internationalized Armed Conflict.

Katika sheria za kimataifa kuna Sheria inayoongoza vita , Inaitwa JUS IN BELLO au LAW OF THE WAR au INTERNATIONAL HUMANITARIAN LAW .

Hii sheria inaelezea namna vita inavyopaswa kupiganwa , ili kuzuia Harm kwa Civilians na pande zote lazima waheshimu taratibu,sheria na kanuni hizi ,mfano hutakiwi kupiga Majengo ya makazi ya watu , Hospital ,shule au sehemu yeyote ya Civilians inaweza kutokea civilians kufa ila lazima proportionality kuzingatiwa ili kuzuia harm zaidi.

Lakini pia inaelezea zaidi kwamba kabla hujapigana unapaswa uwe na strong justification ya kupigana (Right to wage war ) huitwa JUS AD BELLUM yaani Criteria za kupigana vita ,kabla kuna paswa kuwe na njia zingine non- military methods zimechukuliwa ili kuzuia vita. Kama Diplomatic option, sanctions ,, known as last resort.

Kutokuzingatia hizi sheria na kanuni katika katika vita unakuwa imetenda kosa , "War Crime " hivyo kupaswa kushtakiwa ktk mahakama ya ICC.

Russia wanalisha Propaganda watu,ooh UKRAINE inatumika kuhifadhi wanajeshi wa NATO , sijui vifaa vya NATO vipo katika kambi za jeshi ndani ya Ukraine hii ni hujuma dhidi ya Usalama wa Russia ! This is purely Propaganda.

Sio jambo la kushangaa wanajeshi wa NATO kuwepo katika kambi za Ukraine au kuwepo ndani ya nchi ya UKRAINE.

Nchi za Ulaya na Marekani tangu 1997 zimekuwa zikifanya mazoezi ya pamoja na hii sio kwa UKRAINE tuu, mwaka 1994 ,NATO ktk kikao Chao cha Brussels Summit waliidhinisha Program ya Partnership for Peace (PfP) kwa nchi zote za ulaya Mashariki hata Urusi ili kufanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi yaani the Joint Military Exercise na mwaka 1996 UKRAIN ilijunga.

Hivyo kila mwaka kuna program inaitwa Rapid Trident

Rapid Trident is the culminating event of
an annual training exercise to prepare Ukrainian Land Force units for the challenges of real
world situations and deployments.”

Lakini mmesahau kwamba UKRAINE ni Mwanachama wa Joint Multinational Training Group .

Sasa watu wanashangaa nini , NATO kuwepo UKRAIN ktk kambi ni kawaida na wanatoa mafunzo na sio kwa UKRAINE tuu ni kwa nchi nyingi pia ambazo ni member wa PfP.

Leo hii RUSSIA anauwa watu wasio na hatia ila kuna watu wanaona ni sawa tuu ,sababu vita hii wanaitazama katika jicho la Proxy War ,yaani vita kati ya Russia na Marekani pamoja na washirika wake kutoka nchi za Magharibi.Hawaangalii vita hii kama ni Uvamizi wa Russia dhidi ya nchi huru ya Ukraine ,dhidi ya wananchi wa Ukraine wasio na hatia.

Mtu sababu hampendi Marekani basi basi kwake anaona ndio sababu na uhalali wa yeye kuona Russia yupo sahihi ,No No No tupinge uonezo huu popote. Kam tulipinga uonezi huu Syria ,kama tulipinga uonezi huu Libya ,kama tulipinga uonezi huu Iraq ,kama tunapinga kila siku uonezi dhidi ya Wapalestina tuendelee kupinga uonezi huu dhidi ya Ukraine bila kujali nani anaonea na nani anaonewa .Tupinge uonezi na ukatili dhidi ya Mnyonge ,dhidi ya nchi yeyote inayoonewa .Mtupinge yeyote anaye onea awe Mrusi ,awe Marekani au nchi yeyote ya Ulaya au nchi yenye nguvu tupinge .Tumtetee anaye onewa siku zote .

Tusimame na UKRAINE. Nina Simama na UKRAINE.

Abdul Nondo.
Ni Ustaarabu & Professional ofcourse, ku aknowldge your sources for your writings
 
Kuna baadhi ya geographical location ya jirani yako unaona kabisa ni hatari kwako lazima upambane kumtoa hapo ni kama Israel kukalia GOLAN HEIGHTS.

Au Tanganyika kwa Zenji

Ukikua utaelewa
Acha kupotosha. Nyerere kuvamia Zanzibar siyo sababu za ulinzi. Ni uchu wake tuu wa kutawala sehemu kubwa na fikra zake za Pan Africanism. Maana alitaka Kenya na Uganda pia ijiunge lakini Kenyatta akamshtukia akampiga chini. Na kama Israel inatumia Golan Heights kama ngome ya ulinzi isingehamishia watu wake kule, ingeweka wanajeshi tuu. Maana WaIsrael waliohamia Golan Heights wanaweza kushambuliwa na watu walioko Syria.
 
Umezisikiliza sababu alizozitoa Putin kuivamia Ukraine?
Tofauti iko hapo.
Nimeuliza maana kwa anayejua historia atafahamu kuwa USA haikuwa tayari USSR kuweka silaha zake CUBA.... kwanini leo hii Russia majirani wake wote waingie kwenye umoja ambao ulianzishwa ili kuidhibiti?
 
Acha kupotosha. Nyerere kuvamia Zanzibar siyo sababu za ulinzi. Ni uchu wake tuu wa kutawala sehemu kubwa na fikra zake za Pan Africanism. Maana alitaka Kenya na Uganda pia ijiunge lakini Kenyatta akamshtukia akampiga chini. Na kama Israel inatumia Golan Heights kama ngome ya ulinzi isingehamishia watu wake kule, ingeweka wanajeshi tuu. Maana WaIsrael waliohamia Golan Heights wanaweza kushambuliwa na watu walioko Syria.
Tatizo la historia kutowekwa wazi, inaacha uwanja wa watu kutafsiri watakavyo. Muungano ilikuwa lazima uwe, kwa Karume kumhakikishia usalama wa serikali yake na kwa Tanganyika kuhakikisha usalama wa pwani yake.
 
Ukifikishwa mahakamani umeiba kuku hivi ndivyo utakavyojitetea? Kwamba ni halali wewe kuiba kuku kwa sababu kuna majambazi wengi mitaani wanaofahamika na hawajafikishwa mbele ya sheria!
LOOooo!
Angalia mawazo haya mkuu Yoda!
 
Jibu hili nilikuwa nina mjibu kaka Yericko Nyerere katika hoja zake ambazo ziliegemea kumtetea Mrusi dhidi ya Ukraine.

Nina tamani kwa yeyote anayemtetea Mrusi apate kusoma ili ndio apime hoja zake za kumtetea Mrusi dhidi Ukraine na hoja hizi chini .

Mnakosea sana suppress Sovereignty na Territorial integrity ya Ukraine.

Ukraine ni nchi huru (Sovereign State) na Mrusi anajua hilo ,huko nyuma Russia na viongozi wake waliitambua Ukraine kama nchi huru na yenye mipaka yake inayopaswa heshimiwa tangu Budapest Memorandum kati ya Russia chini ya Boris Yeltsin na Ukraine chini ya Leonid Kuchman , Brokered by US under Bill Clinton.

Sasa leo nawashanga Kaka Yericko kutokana na Aggression ya Putin , mnaona Ukraine haina wajibu wa kujilinda na kulinda nchi yake na uhuru wake eti kwenye maslahi ya mipaka na Sovereignty ya nchi katika siasa za kimataifa sio chochote isipokuwa maslahi ya nchi husika , No No ! .Na lazima tupinge haya katika International Geopolitics. (Sovereignty and territorial integrity ya nchi yeyote should be respected Yericko.

Mnakosea sana Ukraine ni nchi huru jamani ili na yenyewe iwe salama dhidi ya vitisho vya Russia lazima wajiunge na NATO .

Russia ni Muoga tuu na hofu imemjaa anajua Ukrain akijunga na NATO basi Crimea zitarudishwa kuwa sehemu ya Ukraine hata hao Separatists wa Donbas (The Donetsk and Luhansk ) watapigwa ili kurudi.

Na Russia inaogopa kwamba Ukraine ikijiunga tuu na NATO ndio basi tena Russia hataweza tena kuitisha Ukraine , sababu Ukraine ikiwa Sehemu ya NATO mkataba wa Washington treaty article 5 inasema kuhusu Collective Defense pale ambapo Mwanachama mmoja wa NATO akivamiwa yaani wote wanaingia vitani dhidi ya aliyemvamia Mwanachama mwenzao, hivyo Russia hataki baadaye kwa chokochoko zake na uonezi kupigana na NATO sababu atagongwa na ndiyo itakuwa vita ya tatu ya Dunia.

Watu wanasema Ukraine amegeuka Makubaliano ya Minsk Il , Sio kweli Russia ndiye ameyavunja hayo makubaliano na ameyaita "Non-existent " yaani ambayo hayapo baada ya kuitambua Donbos hii hii Februari 2022 na baada ya kupeleka majeshi badala ya kuyatoa (Withdrawal) sababu aliona kabisa amevunja mkataba wa Minsk ll ya 2015.

Lakini jiulizeni,

Karibia nchi zote ambazo ni Former Soviet , zimejiunga NATO , Poland , Hungary, Czech ,Joined 1999 .

Estonia, Latvia , Lithuania, Bulgaria , Romania, Slovakia, Slovenia joined NATO 2004.

CROATIA and Albania Joined 2009 .

Why UKRAINE iwe NONGWA ????? Kwanini UKRAINE iwe NONGWA ????

The "Putinism "ndiyo inayofanya leo Ukraine watu wanakufa ,kuangamizwa na kuuwawa ni namna tuu Putin anavyowaza na kuitazama Ukraine,Putin hajawahi kuitizam Ukraine kama nchi.Marais wengi wa Urusi kabla yake walikuwa wanaitizama UKRAINE kama nchi ila Putin hajawahi fanya hivyo.Mfano Mwaka 2008 ,Putin aliwahi kumwambia George.W Bush aliyekuwa Rais wa Marekani.

"Ukraine is an artificial state whose territory was often changed in the course of 20the Century , Russian and Ukrainian people is practically one people with common historical roots and common destiny , we have common religion, common faith , we have a similar culture , language, tradition and mentality. The Ukraine can have a future alongside Russia not out side Russia Sphere of influence in Europe" .

Maneno haya ni wazi yanaoneshs Russia haitambui Ukraine kama nchi huru na akisema ili Ukraine iweze kuishi ni lazima iwe upande wa Russia . Russia kupitia Putin amekuwa kila mara akiitisha Ukraine , akitaka kuweka viongozi awatakao yeye Ukraine.Hii haiwezekani sababu Ukraine ina mamlaka yake sio koloni la Russia.

Ukraine wamekuwa wakiishi kwa hofu , hivyo inachofanya Ukraine ni kutafuta sehemu salama ili iepukane na vitisho vya Russia , ndio maana kwa muda mrefu UKRAINE ikaona njia salama kuwa na dhamira ya kujiunga NATO .

Oooh , UKRAINE iwe nchi kati isiwe na upande , ndio salama yake .

Sawa ila unawekaje masharti kwa nchi huru ?.

Ukraine inaweza yenyewe kujiamulia kuwa Bufffer state (Neutral Country) kulingana na Geopolitical Crisis iliyopo ila sio kwa masharti yawekwao na Urusi dhidi ya Ukraine.Tuelewe UKRAINE is the Sovereign Country is neither part of Russia nor Russia's Colony.Ni kuheshimu Sovereignty ya nchi tuu kulingana na sheria za kimataifa Simple!! , UKRAINE aachwe ajiunge na NATO.

Ooohhh UKRAINE itatumiwa na NATO na nchi za Magharibi dhidi ya Russia sio hoja hiyo.

Sababu huwezi kumuwazia vibaya mwenzako kabla , yaani UKRAINE kujiunga na NATO hatafuti chochote zaidi ya kujiweka sehemu salama dhidi ya vitisho vya Russia lakini pia kuimarisha mahusiano na nchi za Magharibi kiuchumi.

Russia yeye anawaza vingine kwamba Ukraine kujiunga NATO ni njia ya Nchi za Magharibi kutaka kuitumia Ukraine dhidi yake kama yeye Russia alivyoitimia Cuba dhidi ya Marekani kwa kuweka zile Missiles .Ni hofu na woga tuu sio lolote ,

Ukraine iachwe ijiamulie yenyewe.

Ila ikiwa itashindikana kabisa , Ukraine iamue yenyewe sio kwa kulazimishwa kuwa the buffer State yaani Neutral Country kati ya Russia na nchi za Magharibi. Ingawa vitisho na kurimotiwa na Russia kutaendelea ndani ya Ukraine ikiwa Ukraine atakuwa Buffer State.

Kuna watu wanamlaumu Rais wa UKRAINE Zelensky kwa kutaka kujiunga NATO , kwamba amefanya watu wake kufa.

Tuelewe jamani
Zelenskiy ameingia 2019 .

Nyuma alikuwa Poroshenko kama Rais ambapo tayari Bunge la Ukraine lilikuwa tayari limefanya maamuzi 2016 soon baada ya Russia kuvamia UKRAINE na kuchukua Crimea na ku engineer Separatists wa Donbas kujitenga.Bunge la Ukraine lilipiga kura na kujiondoa katika status ya Aligned (Kuwa Neutral yaani nchi kati ) ambayo Rais Viktor Yanukovych alikuwa ameiweka Ukraine katika Status hiyo.

Na movement ya Ukraine kuingia NATO and EU ni mpango wa watu na wananchi wa Ukraine wenyewe wa muda mrefu sana ni hivyo tuu haujatumia ila wananchi wengi wa UKRAINE (Euromaida) wanahitaji nchi yao iwe EU na pia iwe NATO.

Ndio maana Rais wa Ukraine Viktor Yanukovych aliondolewa 2014 sababu kubwa alikataa ku sain EU Association Agreement ambayo ilikuwa ni Trajectory ya UKRAINE kuanza kuingia NATO badala yake akakimbilia kutangaza kujiunga Eurasian Economic Union ya Urusi .

Wananchi wapenzi wakamtoa .So anachofanya Rais Zelenskiy kina baraka zote za wananchi na Bunge katika kulinda Maslahi ya nchi na watu wake wa Ukraine,alivyoingia Zelensky 2019 alifanya kufufua na kuendeleza tuu yale ambayo ni matakwa ya wananchi wa Ukraine,sasa kosa la Rais Zelenskiy lipo wapi? ,Kosa lake ni kulinda Sovereignty ya nchi yake aliyoapa kulinda ? ,Kosa lake ni kulinda uhuru wa vyombo vya nchi yao kuamua ?,kosa lake ni kulinda uhuru na matakwa ya wananchi wake ? ,Kosa lake ni kulinda nchi yake na watu wake kwa kujitetea dhidi ya uchokozi ,uoenezi wa Russia dhidi ya UKRAINE kosa la Zelenskiy au Ukraine ni lipi?

Kwanini msione kosa la Russia kwa kuvunja makubaliano ya Budapest Memorandum juu ya Urusi kupitia aliyekuwa Rais Boris kuitambua Ukraine kama nchi huru , mbona hamuoni kosa la Russia kuvamia Crimea 2014 na kujipa umiliki wa Black huku akizuia na kuteka meli za Ukraine zinazopita ,mbona hamuoni kosa la Russia alivyochochea watu Donbas (Luhansk na Donetsk) kujitenga ?, Mbona hamuoni kosa la Russia kuvunja makubaliano ya Minsk ll ya 2015 yanayokataza kujipanua na kuingiza majeshi hivyo kutaka (Withdrawal) Russia anaendelea kujipanua na kuingiza majeshi,mbona hamuoni kosa la Russia kuipiga Ukraine bila sababu yeyote ? ,Anauwa watu ,anauwa watoto anawapa hasara Ukraine akiita Operation ya Kijeshi , Operesheni ya kijeshi ?? ,Raia wanauwawa,anaripua Maeneo ya Umma Hospital ,maeneo ya makazi ya watu alafu anaita Operesheni ya kijeshi ?

Mnaosema hii ni Operesheni ya kijeshi (Military Operation) muache mnakosea saana ,Hii sio Military Operation dhidi ya UKRAINE hii ni vita ,hii ni "Massacre".

Military Operation au Surgical Strike ,- Ni military strike yenye lengo la kuharibu Miundombinu ya kijeshi na kupiga katika maeneo maalumu ya kijeshi (Legitimate Milltary target ) without Collateral Damage ( bila kusababisha vifo na majeraha hasa Raia, Civilians) au pia kutokupia karibu na maeneo ya makazi ya watu near by areas of civilians .

Anachofanya Putin, hii sio Military Operation tena sababu tumeona Civilians wakiuwawa ,Makazi ya watu na Hospital yakiharibiwa , Civilians wakiwa majeraha .

Unawezaje kusema hii ni Military Operation , Military Operation ni Jeshi kwa Jeshi ,hit on Millary base ,hit on Lethal and Non Lethat weapons usidhuru civilians wala Makazi yao .

HII YA PUTIN NI VITA isiyofuata sheria ya vita.

Vita ni intense Armed Conflict kati ya makundi kadhaa yenye uhasama .

Inaweza kuwa nchi na nchi au makundi ndani ya nchi.

Kuna aina 3 za vita.

1.International armed conflicts.(Those involving armed forces from two or more states (international armed conflicts).

2.Non-international armed conflicts (The War between groups,parties within a single state).

Ingawa wengine wameongeza na internationalized Armed Conflict.

Katika sheria za kimataifa kuna Sheria inayoongoza vita , Inaitwa JUS IN BELLO au LAW OF THE WAR au INTERNATIONAL HUMANITARIAN LAW .

Hii sheria inaelezea namna vita inavyopaswa kupiganwa , ili kuzuia Harm kwa Civilians na pande zote lazima waheshimu taratibu,sheria na kanuni hizi ,mfano hutakiwi kupiga Majengo ya makazi ya watu , Hospital ,shule au sehemu yeyote ya Civilians inaweza kutokea civilians kufa ila lazima proportionality kuzingatiwa ili kuzuia harm zaidi.

Lakini pia inaelezea zaidi kwamba kabla hujapigana unapaswa uwe na strong justification ya kupigana (Right to wage war ) huitwa JUS AD BELLUM yaani Criteria za kupigana vita ,kabla kuna paswa kuwe na njia zingine non- military methods zimechukuliwa ili kuzuia vita. Kama Diplomatic option, sanctions ,, known as last resort.

Kutokuzingatia hizi sheria na kanuni katika katika vita unakuwa imetenda kosa , "War Crime " hivyo kupaswa kushtakiwa ktk mahakama ya ICC.

Russia wanalisha Propaganda watu,ooh UKRAINE inatumika kuhifadhi wanajeshi wa NATO , sijui vifaa vya NATO vipo katika kambi za jeshi ndani ya Ukraine hii ni hujuma dhidi ya Usalama wa Russia ! This is purely Propaganda.

Sio jambo la kushangaa wanajeshi wa NATO kuwepo katika kambi za Ukraine au kuwepo ndani ya nchi ya UKRAINE.

Nchi za Ulaya na Marekani tangu 1997 zimekuwa zikifanya mazoezi ya pamoja na hii sio kwa UKRAINE tuu, mwaka 1994 ,NATO ktk kikao Chao cha Brussels Summit waliidhinisha Program ya Partnership for Peace (PfP) kwa nchi zote za ulaya Mashariki hata Urusi ili kufanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi yaani the Joint Military Exercise na mwaka 1996 UKRAIN ilijunga.

Hivyo kila mwaka kuna program inaitwa Rapid Trident

Rapid Trident is the culminating event of
an annual training exercise to prepare Ukrainian Land Force units for the challenges of real
world situations and deployments.”

Lakini mmesahau kwamba UKRAINE ni Mwanachama wa Joint Multinational Training Group .

Sasa watu wanashangaa nini , NATO kuwepo UKRAIN ktk kambi ni kawaida na wanatoa mafunzo na sio kwa UKRAINE tuu ni kwa nchi nyingi pia ambazo ni member wa PfP.

Leo hii RUSSIA anauwa watu wasio na hatia ila kuna watu wanaona ni sawa tuu ,sababu vita hii wanaitazama katika jicho la Proxy War ,yaani vita kati ya Russia na Marekani pamoja na washirika wake kutoka nchi za Magharibi.Hawaangalii vita hii kama ni Uvamizi wa Russia dhidi ya nchi huru ya Ukraine ,dhidi ya wananchi wa Ukraine wasio na hatia.

Mtu sababu hampendi Marekani basi basi kwake anaona ndio sababu na uhalali wa yeye kuona Russia yupo sahihi ,No No No tupinge uonezo huu popote. Kam tulipinga uonezi huu Syria ,kama tulipinga uonezi huu Libya ,kama tulipinga uonezi huu Iraq ,kama tunapinga kila siku uonezi dhidi ya Wapalestina tuendelee kupinga uonezi huu dhidi ya Ukraine bila kujali nani anaonea na nani anaonewa .Tupinge uonezi na ukatili dhidi ya Mnyonge ,dhidi ya nchi yeyote inayoonewa .Mtupinge yeyote anaye onea awe Mrusi ,awe Marekani au nchi yeyote ya Ulaya au nchi yenye nguvu tupinge .Tumtetee anaye onewa siku zote .

Tusimame na UKRAINE. Nina Simama na UKRAINE.

Abdul Nondo.
Ndugu Nondo, niliwahi kukwambia humu kuwa ukitaka kuwa mchambuzi ( political analyst) mzuri wa siasa inabidi kusoma sana.
Sasa humo umeandika ujinga mwingi, na kwa kweli umejianika. Niseme vitu vichache.

USSR iliundwa iliundwa na makundi matatu ya jamuhuri za kisoviet, zile zilizokuwa Central Asia, russian speaking ( Russia, Ukraine & Belarus) na baltics republics ( Latvia, Estonia and Lithuania). Sasa Poland, Slovenia, Hungary na nyingine umetaja hapo hazijawahi kabisa kuwa soviet republics! Yes, kuna baadhi zilikuwa signatories wa Warsaw Pact lakini sio sehemu ya USSR.
Usichanganye baltics na balcan states, Croatia, kwa mfano, ni balcan state. Kuwa under the influence ya USSR haimaniishi hizo nchi zilikuwa soviet republics!

Halafu, geopolitics is just that, geopolitics! Aisee! Hakuna international geopolitics! Unatoa wapi huu ujinga wewe? Unaposema geopolitics tayari unacheza kwenye realm of international relations and politics! There is no point of using adjective word 'international' to qualify the noun 'geopolitics'

Ila wewe! Sasa military operation sio sawa sawa na surgical strike or attack! Unatuaibisha graduates wa UDSM! Sitaki kuelezea hili. Ila hujui chochote kuhusu military au national security. Nenda kasome.
 
Huu uzi una ujinga mwingi mno. Jamani, Cuban missile crisis ya 1962 haikuwa ishu ya Russia versus USA! Sijui kama kumbukumbu zangu siko sahihi sana, ni hivi USSR ilijenga launching pads na ku deploy ballistic missiles zilizoelekezwa uelekeo wa US.
Sasa Russia inatoka wapi hapo?
 
Tatizo la historia kutowekwa wazi, inaacha uwanja wa watu kutafsiri watakavyo. Muungano ilikuwa lazima uwe, kwa Karume kumhakikishia usalama wa serikali yake na kwa Tanganyika kuhakikisha usalama wa pwani yake.
Uliopo ni vamizi siyo muungano. Na Nyerere kutaka Tanganyika iungane pia na Kenya na Uganda inaonyesha wazi alikuwa tuu na uchu wa madaraka. Maana kama kuna adui atakayeweza kupitia Zanzibar anaweza pia kupitia Kenya au Msumbiji akaja kuwazuru.
 
Back
Top Bottom