Wanaombeza Rais Samia kumtumbua Mkuu wa Wilaya hawajielewi

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Rais Samia mimi Sifi Leo nakupongeza sana kwa uamuzi wako wa Jana ila nimeumia kwanini mkuu wa mkoa kabakia maana naye yupo kwenye mnyororo huo huo.

Rais Samia mimi nilikuelewa yakuwa kuna pesa za miradi mikubwa ulikuwa umezitoa ziende kwenye maeneo pasipo kuangalia eneo hilo lina WanaCCM wangapi, Wana cuf wangapi (ingawa imekufa hii), Act wangapi(vibaraka hawa), chadema wangapi(miamba ya siasa) hii.

Bahati mbaya mkurugenzi na DC wake na mkuu wa mkoa wakakaa kikao wakapindisha malengo kwa madai yakuwa mradi ulipelekwa pale paliko na upinzani.

Wakaona bora wapeleke CCM waliko wengi na walijua ulipelekwa waliko CCM wengi hata wakipiga hakuna wa kuhoji maana

Sababu ya Kwanza ambae angehoji angeambiwa yakuwa mradi haukuwa wao walipendelewa so wasijiishebedue wote wangekaa kimnya na ndiyo yaliyojili MH raisi

Pili wangeambiwa tumeinyima mipinzani tumewapa nyinyi alafu mnaleta unoko mkome.

Rais Samia Hayati Magufuli alikuwa anasema wakishindwa CCM watupu nchi itaendelea sasa Mimi nauliza chadema wako wapi mbona mambo ni yale?

EPUKA aibu maana kauli ya mwendazake bado iko masikioni mwetu kabisa tutakuoji haya mpo.nyinyi Peke yenu nini kinaendelea sasa?

Mnao msema Rais Samia Kwa tumbua ya Jana ni kuwa hamwelewi ukweli MH Rais Mimi Sifi Leo nilikuelewa wembe ni ule ule.

Ila ulipo mpelekea DC aliyekuwa Moshi vijijini wakoje huko maana?
 
Back
Top Bottom