Wanaokwepa kulipia kodi ya fire wapatikana

mopaozi

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
3,301
520
Ni baada ya TrA kuchukua jukumu la kukusanya kodi hiyo wakati wa kurenew m/vehicle licence unalipia na fire ili upate licence safi sanaaa kodi itakayopatikana kuimarisha huduma za zimamoto hadi vijijini inatarajiwa 10bilioni kukusanywa big uppp
 
Ni baada ya TrA kuchukua jukumu la kukusanya kodi hiyo wakati wa kurenew m/vehicle licence unalipia na fire ili upate licence safi sanaaa kodi itakayopatikana kuimarisha huduma za zimamoto hadi vijijini inatarajiwa 10bilioni kukusanywa big uppp source} ITv newzz
 
Nilishatakafigi ya kwamba watakuja kufanyaga hivi hivi na imekuwa kweli!

Serikali ya kibabe na uhuni ful!
 
hiyo poa sana ilikuwa tabu sana kukata hiyo fire kwanza ukienda huko fire ni mizinguo tu!
kwa upande wangu naona ni maamuzi mazuri ya kulipia motor v na fire kwenye ofisi za t.r.a
 
Hii swaafi sana itatupunguzia safari za kwenda fire na kukumbuka. Bora kodi zote zinazohusu magari waziweke hapo hapo na ukilipia mara moja basi, watagawana wenyewe huko.

Ni hatua nzuri.
 
Na ukichelewa kulipia unalipa fine hukohuko na si kwa traffic
 
ni baada ya tra kuchukua jukumu la kukusanya kodi hiyo wakati wa kurenew m/vehicle licence unalipia na fire ili upate licence safi sanaaa kodi itakayopatikana kuimarisha huduma za zimamoto hadi vijijini inatarajiwa 10bilioni kukusanywa big uppp

hivi hoja hapa ni ipi? Kukusanya kodi au kuwa na vifaa vya zima moto vinavyofanya kazi.
 
hivi hoja hapa ni ipi? Kukusanya kodi au kuwa na vifaa vya zima moto vinavyofanya kazi.

Unauliza vifaa? hujui namna serikali ilivochemka,,imebaki kukimbizana na machinga kama chanzo chake cha mapato imeacha migodi,mikataba,magogo,wanyama/utalii wanasafirishwa tu nje
 
Nashinndwa kuelewa hii serikali,kwa gari la biashara kwenye kioo tu,kuna:-- mapato,m/vehicle,sumatra,TLB,nenda kwa usalama,fire,Insurance,kama ni la tourism TALA lazima, jamani huu ni uwizi sasa,haya kweli ni maisha bora,
Kwanini wasiige mfano wa kenya,kweli tunakuza uchumi kwa njia,hii,
Afu bado bajeti inakuwa tegemezi hayo ni magari tu.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Jamani mimi gari ninayotumia sticker ya fire imeisha since 2011 lakini bado sijabadilisha sasa wakinikamata sasa hivi ndo itakuwaje.,na je sasa hivi ni lazima kuibadilisha na watanitoza fine kiasi gani labda?
 
Ni baada ya TrA kuchukua jukumu la kukusanya kodi hiyo wakati wa kurenew m/vehicle licence unalipia na fire ili upate licence safi sanaaa kodi itakayopatikana kuimarisha huduma za zimamoto hadi vijijini inatarajiwa 10bilioni kukusanywa big uppp

hivi sisi tunalipa kodi ngapi?
 
bado kodi ya kichwa tu.....
na ukichelewa kulipa kichwa kitakwatwa.......


uzuri ni kuwa kulipia tra huduma hii itarahisisha, ubaya ni kuwa unaweza kuwa na stika bila fire extinguisher, ila kwa kuwa lengo la serikali ni kupata fedha (ya kusafiria), then mission accomplished!!!!! loh..........
 
Serikali dhai fu u u u u u u u u u u u inafany mambo kwa ujanja janja wa ki ji nga stika ya faya nitakuwa nayo je fire wataikagua vp?
 
na fire extinguisher watatoa au ni sticker tuu?walivyowajinga wanaweza uza sticker tuu

Yes, ni sticker tu, tena 20,000, hakuna fire kit na lazma ilipwe 1 July expire date 30 June, regardless umelipa lini. Huu ni wizi wa kishenzi kabisa ever,iweje ulipie huduma usiyotumia. Huu upole wetu watz ipo siku watatuambia watujimai kwanza ili tuendeshe magari,
 
Hivi hiii imeanza lini?

Miye sina kwenye mkweche wangu...... na nimerenew license last month mbona hawakusema?
Sitaki usumbufu naomba kueleweshwa ili nikalipe tu.
 
Back
Top Bottom