Wanaokuja kwa kasi....Rutashubanyuma, Dena Amsi...wanatisha..

dc hapa mbona hivi vipi tenaaa mbona mtoto analalamika sana umemfanya nini

hapo sasa nimekuelewa umeongea kiutu uzima nadhani ataelewa sasa

TF kulikoni wanionea wivu mtoto wa watu?

DA na TF,

Naomba msisahau..babu anawapenda sana wajukuu zake na wish yake ni kuwaona wana vitu 3 tu...vingine vitakuja baadaye,

FURAHA, AMANI na RAHA.....Kuna anayetamani kingine...Babu atawapatia ila hakuna zaidi ya hayo!
 
Haya bwana
 
Hawa jamaa inaonekana wanakuja kwa kasi sana......naomba tuwapashie wafuatao, kama kuna watu sijaowaona msisite kunistua! They deserve a big clap!!!!

Mkuu Ruta ana wastani wa karibia posts 31 kwa siku.....Kweli anatisha!

Dena ana wastani wa posts 12 kwa siku....si haba ila namwomba akumbuke kutumia kidude cha thanks (blue)!

DC

MMU analysist....Ret. Maj Gen (47).....
 
Babuee...how am i fairing!??
Na je, wingi wa post ndo ubora wa mtu!?
 
Back
Top Bottom