Nimekutana na gari la serikali linafaulisha masanduku ya kura tena yaliyokwisha pigwa kasulu,yaani sijui vijana wa ukawa wamelala huku au nn,imeniuma sana ila naomba Mungu awaaibishe licha ya mipango yote ya sisimu kuiba kura kwa lowasa kushinda
Dah niko kituoni naelekea kumkata mzee El hali nu shwari me ndo niko mlangoni ni mtu wa kwanza kwenye kituo kura yangu nampa Magufuli na Mbunge wa CCM na Diwani Wa CCM
Kila la kheri makamanda, natamani baada ya kuntoa mkoloni mweusi liandaliwe bonge la party kwa wanabadiliko wote wa jf kupongezana, ukombozi si mchezo.
Nimekutana na gari la serikali linafaulisha masanduku ya kura tena yaliyokwisha pigwa kasulu,yaani sijui vijana wa ukawa wamelala huku au nn,imeniuma sana ila naomba Mungu awaaibishe licha ya mipango yote ya sisimu kuiba kura kwa lowasa kushinda
jambo jema kwangu ni almost wasimamiz wotekatan ni watumish wenzangu ambao ni makamanda hatar! wameniakikishia kuwa hakuna bao la mkono katka vituo vyao litakalofungwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.