Wanaokebehi juhudi za BoT kulinda hela zetu za kigeni wajifunze haya

Anyway, kinachotusumbua ni Propaganda na Siasa hata mambo ambayo hayahitaji Propaganda. Nchi ya Ghana ambayo Mtoa mada amerejea nilikuwepo mwaka 2013 kwa muda wa siku 20, nilikuwa nabadilisha Dollar kwa Pesawa bila shida yoyote iwe Benki au Burea De Change, wanachokuomba ni Passport yako tu; Uganda hivyo hivyo; Kenya ni hivyo hivyo. Nilienda Esotini, Namibia na South Afrika nako nilikuwa nabadilisha pesa kwenye Bureau De Change ndani ya yale Malls, nilinunua Camera na vitu vingine, siku ya kuondoka kuna pesa TRA yao walinirudishia Uwanja wa Ndege baada ya kuwapatia risiti. Uganda ndo usiseme Bereau zimejaa kila mahali. Aidha, unaposema kuwa unashauriwa kubadilisha pesa mpakani, vipi kama umeenda kwa ndege, utarudi kwenda mpakani ?
Pale unapogonga pasipoti yako uingiapo kwenye nchi ndiyo mpaka.
 
Na Yahya Msangi..

Nimeona kwenye mitandao watu wakikebehi juhudi za BOT kulinda hela zetu za kigeni. Nadhani wameomba jeshi lilinde maduka ya FOREX (BUREAU DE CHANGE)?

Unajua ukiwa mjinga unaweza kupinga hata uamuzi wenye manufaa kwako.

Nimeona huenda ni kutokujua dunia ikoje! Au huenda Tanzania tulizembea mno hadi watu wakazoea ujinga. Au ni zile siasa majitaka za upande ule?

Nitatoa mifano ya nchi 2 za Afrika ili watu wajue jinsi wenzetu walivyoanza toka enzi kudhibiti maduka ya kubadili fedha.

GHANA
Nchini Ghana hairuhudiwi KUTUMA fedha nje! Money Gram, Western Union, WARI na taasisi nyinginezo zipo. Lakini zinatumika KUPOKEA fedha tu! Hata ungekoroma au uwe na shida kiasi gani hutaweza kutuma fedha nje kwa kupitia kina Western Union. Kila MTU na kila taasisi inatakiwa kutumia Benki kutuma fedha nje ya Ghana. Na utatakiwa uonyeshe ushahidi Wa maandishi unatuma hela kwa shughuli gani? Sababu isipokuwa nzuri huruhusiwi. Benki itataka uipe kibali cha kukuruhusu kutuma hela nje! Mlolongo Wa kupata hicho Kigali utachoka!

TOGO
Nchini Togo hakuna Bureau de Change. Ukitaka kubadili hela unaenda sokoni kwa MONEY CHANGERS. Ni biashara imeajiri vijana wengi mno. Wametumia biashara hii Ku create employment. Wanaruhusu kutuma fedha nje lakini wameweka limit. Kwa wiki huruhusiwi kutuma nje zaidi ya XOF 500,000 (kama Tshs 800000). Tena unatakiwa kutoa sababu. Ukitaka kutuma zaidi unatakiwa update kibali maalum. Na ukituma kila wiki watakuja kukuhoji kulikoni?

Wenzetu wanadhibiti FOREX NA hela yao! Sisi tuliacha huru mno tukaibiwa sanaaaa!!! Huenda wezi ndio haohao wanatumia wanasiasa uchwara kupinga juhudi za BOT. Serikali ikaze buti Tumechelewa mno! Anayekoroma NA akorome.
Hiyo ndio njia ya masikini wote kujilinda. Ina maana nikitaka kununua gari jipya aina ya range rover nitalilipia kwa miezi mingapi kama utaratibu ndio huo wa kulipa si zaidi ya sh. 800000 kwa week! Umasikini ndio ugonjwa unaoleta haya yote. Huu ugonjwa huwezi kuuona kwenye nchi zilizotajirika na pia kwenye nchi zinazojua nini maana ya kufanya biashara kimataifa.
 
Watu wengine pengine hawaelewi hoja za walalamikaji! Hivi mbona TRA wanafanya Kazi zao Bila msururu wa Polisi au Jeshi?
Watu wanahoji kulikoni Wanajeshi kwenye issue za Bure De Change?
Je hapa kuwa na Polisi? Je hapakuwa na Mgambo?. JWTZ inategemewa kutumika at last ! (Kwenye Kazi au shughuli tete- A very serious Emegency)
 
Na Yahya Msangi..

Nimeona kwenye mitandao watu wakikebehi juhudi za BOT kulinda hela zetu za kigeni. Nadhani wameomba jeshi lilinde maduka ya FOREX (BUREAU DE CHANGE)?

Unajua ukiwa mjinga unaweza kupinga hata uamuzi wenye manufaa kwako.

Nimeona huenda ni kutokujua dunia ikoje! Au huenda Tanzania tulizembea mno hadi watu wakazoea ujinga. Au ni zile siasa majitaka za upande ule?

Nitatoa mifano ya nchi 2 za Afrika ili watu wajue jinsi wenzetu walivyoanza toka enzi kudhibiti maduka ya kubadili fedha.

GHANA
Nchini Ghana hairuhudiwi KUTUMA fedha nje! Money Gram, Western Union, WARI na taasisi nyinginezo zipo. Lakini zinatumika KUPOKEA fedha tu! Hata ungekoroma au uwe na shida kiasi gani hutaweza kutuma fedha nje kwa kupitia kina Western Union. Kila MTU na kila taasisi inatakiwa kutumia Benki kutuma fedha nje ya Ghana. Na utatakiwa uonyeshe ushahidi Wa maandishi unatuma hela kwa shughuli gani? Sababu isipokuwa nzuri huruhusiwi. Benki itataka uipe kibali cha kukuruhusu kutuma hela nje! Mlolongo Wa kupata hicho Kigali utachoka!

TOGO
Nchini Togo hakuna Bureau de Change. Ukitaka kubadili hela unaenda sokoni kwa MONEY CHANGERS. Ni biashara imeajiri vijana wengi mno. Wametumia biashara hii Ku create employment. Wanaruhusu kutuma fedha nje lakini wameweka limit. Kwa wiki huruhusiwi kutuma nje zaidi ya XOF 500,000 (kama Tshs 800000). Tena unatakiwa kutoa sababu. Ukitaka kutuma zaidi unatakiwa update kibali maalum. Na ukituma kila wiki watakuja kukuhoji kulikoni?

Wenzetu wanadhibiti FOREX NA hela yao! Sisi tuliacha huru mno tukaibiwa sanaaaa!!! Huenda wezi ndio haohao wanatumia wanasiasa uchwara kupinga juhudi za BOT. Serikali ikaze buti Tumechelewa mno! Anayekoroma NA akorome.
Unazungumzia Ghana ya Nkwame Nkuruma? Au Ghana ya sasa 2018?.. The World is changing Mkuu!... Na wenzio wala hawakua na nia unayoisema wewe, , hizo bureau si zipo ki utaratubu na sizimesajiliwa?.. In case kuna Short coming watunge sheria mpya ifahamike sio kuviziana
 
Mkuu hebu achana na mambo ya 1995, ongelea ya 2018 itakuwa mzuka zaidi
Siwezi kuongelea ya 2018 sasa kwa sababu yanatendeka sasa na tunayaona, nimefafanua tu.... Kinachofanyika sasa kama unataka kusikia kauli yangu ni udhibiti wa uingiaji na matumizi ya pesa za kigeni ili sarafu na fedha zetu zitumike ipasavyo katika kufanya malipo na manunuzi. Pamoja na kwamba hutaki kusikia yaliyotokea huko nyuma, nikufahamishe tu kwamba Edward Moringe Sokoine, aliishalifanya hili mwaka 1983 ingawa baadaye tulikuja kupata "RUKSA".
 
Anyway, kinachotusumbua ni Propaganda na Siasa hata mambo ambayo hayahitaji Propaganda. Nchi ya Ghana ambayo Mtoa mada amerejea nilikuwepo mwaka 2013 kwa muda wa siku 20, nilikuwa nabadilisha Dollar kwa Pesawa bila shida yoyote iwe Benki au Burea De Change, wanachokuomba ni Passport yako tu; Uganda hivyo hivyo; Kenya ni hivyo hivyo. Nilienda Esotini, Namibia na South Afrika nako nilikuwa nabadilisha pesa kwenye Bureau De Change ndani ya yale Malls, nilinunua Camera na vitu vingine, siku ya kuondoka kuna pesa TRA yao walinirudishia Uwanja wa Ndege baada ya kuwapatia risiti. Uganda ndo usiseme Bereau zimejaa kila mahali. Aidha, unaposema kuwa unashauriwa kubadilisha pesa mpakani, vipi kama umeenda kwa ndege, utarudi kwenda mpakani ?
Hata uwanja wa ndege ni mpakani mkuu
 
Fact mkuu nadhani wengi hawa lijui hili, mtu ana ongea tuu kwa hisia pasipo kujua ukweli wa mambo upo vipi.
Hii shida ilinikuta mkuu unaenda benki wanakuambia uweke hela kwenye akaunti yako ndo utume hela yani unatengeneza loss ya around 50,000-70,000 kwa conversion za chini
 
Na Yahya Msangi..

Nimeona kwenye mitandao watu wakikebehi juhudi za BOT kulinda hela zetu za kigeni. Nadhani wameomba jeshi lilinde maduka ya FOREX (BUREAU DE CHANGE)?

Unajua ukiwa mjinga unaweza kupinga hata uamuzi wenye manufaa kwako.

Nimeona huenda ni kutokujua dunia ikoje! Au huenda Tanzania tulizembea mno hadi watu wakazoea ujinga. Au ni zile siasa majitaka za upande ule?

Nitatoa mifano ya nchi 2 za Afrika ili watu wajue jinsi wenzetu walivyoanza toka enzi kudhibiti maduka ya kubadili fedha.

GHANA
Nchini Ghana hairuhudiwi KUTUMA fedha nje! Money Gram, Western Union, WARI na taasisi nyinginezo zipo. Lakini zinatumika KUPOKEA fedha tu! Hata ungekoroma au uwe na shida kiasi gani hutaweza kutuma fedha nje kwa kupitia kina Western Union. Kila MTU na kila taasisi inatakiwa kutumia Benki kutuma fedha nje ya Ghana. Na utatakiwa uonyeshe ushahidi Wa maandishi unatuma hela kwa shughuli gani? Sababu isipokuwa nzuri huruhusiwi. Benki itataka uipe kibali cha kukuruhusu kutuma hela nje! Mlolongo Wa kupata hicho Kigali utachoka!

TOGO
Nchini Togo hakuna Bureau de Change. Ukitaka kubadili hela unaenda sokoni kwa MONEY CHANGERS. Ni biashara imeajiri vijana wengi mno. Wametumia biashara hii Ku create employment. Wanaruhusu kutuma fedha nje lakini wameweka limit. Kwa wiki huruhusiwi kutuma nje zaidi ya XOF 500,000 (kama Tshs 800000). Tena unatakiwa kutoa sababu. Ukitaka kutuma zaidi unatakiwa update kibali maalum. Na ukituma kila wiki watakuja kukuhoji kulikoni?

Wenzetu wanadhibiti FOREX NA hela yao! Sisi tuliacha huru mno tukaibiwa sanaaaa!!! Huenda wezi ndio haohao wanatumia wanasiasa uchwara kupinga juhudi za BOT. Serikali ikaze buti Tumechelewa mno! Anayekoroma NA akorome.
Usilinganishe kaanchi kadogo kama togo, idadi yake haifikii hata watu waishio jijini darisalama. Sasa kama hayo uliyoyaeleza yangekuwa yamewainua kiuchumi hao uliowasema ungekuwa sahihi! Hizo zote ziko hoiiii. ..togo ndiyo ovyoooo!
 
Baadhi ya mambo yanayofanyika yanaonesha kama ni dhahiri shahiri kwamba nchi haina dira wala sera. Tutakwenda kwa kubahatisha na kutesa wananchi mpaka kiama. Ndicho ninachowez kusema. Kwa upande mwingine wanaotumia jeshi la wananchi kama jeshi la polisi, haifahamiki nia yao ni nini.
 
You are a rogue ,failed samples.money changers nenda pale Namanga kwa wasomali, au Isbania Sarari upigwe fake currencies and unpredictable rates.
 
usichokijua ni kuwa nyingi ya dola wanazokuwa nazo hawa bureau de change huwa wamezitoa nchi za jirani kama vile Congo nk. kwahiyo hakuna athari sana kufanya waliyokuwa wanayafanya
 
Na Yahya Msangi..

Nimeona kwenye mitandao watu wakikebehi juhudi za BOT kulinda hela zetu za kigeni. Nadhani wameomba jeshi lilinde maduka ya FOREX (BUREAU DE CHANGE)?

Unajua ukiwa mjinga unaweza kupinga hata uamuzi wenye manufaa kwako.

Nimeona huenda ni kutokujua dunia ikoje! Au huenda Tanzania tulizembea mno hadi watu wakazoea ujinga. Au ni zile siasa majitaka za upande ule?

Nitatoa mifano ya nchi 2 za Afrika ili watu wajue jinsi wenzetu walivyoanza toka enzi kudhibiti maduka ya kubadili fedha.

GHANA
Nchini Ghana hairuhudiwi KUTUMA fedha nje! Money Gram, Western Union, WARI na taasisi nyinginezo zipo. Lakini zinatumika KUPOKEA fedha tu! Hata ungekoroma au uwe na shida kiasi gani hutaweza kutuma fedha nje kwa kupitia kina Western Union. Kila MTU na kila taasisi inatakiwa kutumia Benki kutuma fedha nje ya Ghana. Na utatakiwa uonyeshe ushahidi Wa maandishi unatuma hela kwa shughuli gani? Sababu isipokuwa nzuri huruhusiwi. Benki itataka uipe kibali cha kukuruhusu kutuma hela nje! Mlolongo Wa kupata hicho Kigali utachoka!

TOGO
Nchini Togo hakuna Bureau de Change. Ukitaka kubadili hela unaenda sokoni kwa MONEY CHANGERS. Ni biashara imeajiri vijana wengi mno. Wametumia biashara hii Ku create employment. Wanaruhusu kutuma fedha nje lakini wameweka limit. Kwa wiki huruhusiwi kutuma nje zaidi ya XOF 500,000 (kama Tshs 800000). Tena unatakiwa kutoa sababu. Ukitaka kutuma zaidi unatakiwa update kibali maalum. Na ukituma kila wiki watakuja kukuhoji kulikoni?

Wenzetu wanadhibiti FOREX NA hela yao! Sisi tuliacha huru mno tukaibiwa sanaaaa!!! Huenda wezi ndio haohao wanatumia wanasiasa uchwara kupinga juhudi za BOT. Serikali ikaze buti Tumechelewa mno! Anayekoroma NA akorome.
Sasa hizo nchi ulizotaja tuambie uchumi wao unakuwa kwa kiwango gani ili nasi tuige mfano huo?
 
Siwezi kuongelea ya 2018 sasa kwa sababu yanatendeka sasa na tunayaona, nimefafanua tu.... Kinachofanyika sasa kama unataka kusikia kauli yangu ni udhibiti wa uingiaji na matumizi ya pesa za kigeni ili sarafu na fedha zetu zitumike ipasavyo katika kufanya malipo na manunuzi. Pamoja na kwamba hutaki kusikia yaliyotokea huko nyuma, nikufahamishe tu kwamba Edward Moringe Sokoine, aliishalifanya hili mwaka 1983 ingawa baadaye tulikuja kupata "RUKSA".
Sasa kama unataka kuilinda pesa yako sii kuvamia maduka au kuyafunga kwanza jitahidi kuuza Mali kwa wingi nje pili zibiti matumizi ya fedha za kigeni ndani ya nchi ya nchi kulazimisha mauzo yoyote ndani ya nchi itumike hela za nchi yako tatizo kwa sasa kwa taarifa yako hata kodi pale TRA longroom tunalipa kwa dola wakati zama pale Long room ilikuwa lazima ubadili dola kuwa Tsh siyo Kufunga maduka
 
Back
Top Bottom