Wanaohangaika kutoboa katika forex tukutane hapa

KingmarVa

Member
Feb 9, 2020
12
5
Salute wana JF

Ni matumaini yangu kwamba kila mtu anayetaka kufanya biashara fulan bas hufanya kwa lengo la kupata faida. Leo nataka niongee kuhusu wale tunaofanya biashara ya forex. Najua kwmba watu wengi hukimbilia katika hii biashara kwa kile wanachoamin kwamba watapata utajiri wa haraka haraka (get rich quick). Ukweli ni tofauti na ilvyo dhana ya wengi.., forex sio get rich quick sheme kama watu wengi hasa newbie wa hii biashara wanavyodhani. Ni biashara kama biashara nyingine na inayohitaji nidhamu ya hali ya juu.

Mimi binafsi naeza sema kua mwanzo niliingia katika hii biashara kichwa kichwa, si unajua ile unaona watu wanapost kiasi kikubwa cha fedha na mm nikasema Yes, biashara si ndo hii bhna yan ela za kizembe na rahis kama hzi na kujikuta nimeingia katika hii biashara kichwa kichwa

Kiukwel mwanzon nilianza kupiga viela ela (kuna kile kitu kinaitwa bigginers luck hahahhaha) na kujiona nimekua master naweza kulifanya soko kama navotaka. Wiki mbili baadae nikapoteza faida zote nilizotengeneza sokoni pamoja na mtaji wangu wote kupotea. Kiukwel niliumia sana lakin mtoto wa kiume nikapiga moyo konde nikatafuta ela nyingine nikaanza kazi. Matokeo yalikua ni yale yale nilipoteza ela zangu zote tena ndan ya mda wa siku mbili tu😀😀 wale wenzangu watanielewa nikisema (kuburn account) bila shaka maumivu yake pia mnayajua.

Sikukata tamaa japokua nilikua naunguza account kila leo na pamoja na kubadilisha strategy kila siku lakini haikusaidia kitu. Baada ya kipindi kama cha mwaka mmoja hvi nikawa nimepata hasara za kutosha na kiukwl nilianza kuchoshwa na ile hali. Nilikuja kukutana na account ya mtu mmoja instagram (steve mauro) ambaye kwa mara ya kwnza alinifanya nilitazame soko kwa jicho lingine la tofauti. Hapo ndipo nikaamua kujitoa kwa dhati kutafuta elimu ya soko kwnza badala ya kukimbilia sokoni bila mpango.

Miezi kama sita au saba hvi baada ya kujifunza kwa kina huku nikiwa natumia account ya demo ndipo nilianza kuona mwnga katika kile nilichokua nataka nifanye, account yangu ya demo ilikua kwa kasi, na hapo ndipo nikaamua kuingia rasmi tena katika real account. Matokeo yake nilianza kuyaona, faida niliipata na acount yangu ikaanza kukua.

Siwezi sema mm ni tajir sana kama watu wengi wanaofanya forex wanavyojinadi, lakin kiukwel nimepiga hatua kubwa sana katika maisha yangu. Ninauwezo wa kujitegemea mwnyw na bila shaka ni mwananchi mwnye uchumi wa kati..😊😊. Nawasaidia ndugu zangu ambao bado wanaendelea na masomo yao.., ( kikwel mm niliamua niache, na hii ni historia nyngne tna).

Lengo kuu la kuandika uzi huu kwanza ni kuwatia moyo vijana wote wanaopambana katika maisha haijalishi ni biashara gan unafanya lakin kikubwa usikate tamaa.. wakati wako unakuja. Muamini Mungu muweza yote na fanya juhudi ya kile ukifanyacho.

Pili ningependa kuwasaidia vijana wenzangu ambao pengine wapo katika wakati nilioupitia mm na hawajui nn cha kufanya, hata kama ni msaada wa mawazo nawakaribisha wote ndugu zangu katika bwana

Vile vile kwa atakayekua anahitaji kujifunza juu ya biashara ya forex anaweza kunitafuta telegram @Marketwizard1 na whatsapp kupitia namba 0692529737.

*nilishawah kuandika uzi kama huu kwa bahati mbya ukafutika, vile vile naomba radhi kwa matatizo yoyote ya kisarufi yaliyojitokeza*

"WHAT DOES IT BENEFIT A MAN TO GAIN THE WHOLE WORLD AND LOOSE HIS OWN SOUL???"
 
Uganda wamelizwa, naona huku watu bado wana hamu ya kuibiwa
 
Mbona Ulichokiandika Ni Tangazo.

Segments Zinazolipa Zaidi Kwenye Forex Kwa Uchunguzi Wangu, Naona Ni:

1- Kufundisha Watu Forex

2- Kujifanya Una-tredia Watu Baada Ya Kukusanya Pesa Zao.

Trading Forex Doen't Pay Off
 
Salute wana JF

Ni matumaini yangu kwamba kila mtu anayetaka kufanya biashara fulan bas hufanya kwa lengo la kupata faida. Leo nataka niongee kuhusu wale tunaofanya biashara ya forex. Najua kwmba watu wengi hukimbilia katika hii biashara kwa kile wanachoamin kwamba watapata utajiri wa haraka haraka (get rich quick). Ukweli ni tofauti na ilvyo dhana ya wengi.., forex sio get rich quick sheme kama watu wengi hasa newbie wa hii biashara wanavyodhani. Ni biashara kama biashara nyingine na inayohitaji nidhamu ya hali ya juu.

Mimi binafsi naeza sema kua mwanzo niliingia katika hii biashara kichwa kichwa, si unajua ile unaona watu wanapost kiasi kikubwa cha fedha na mm nikasema Yes, biashara si ndo hii bhna yan ela za kizembe na rahis kama hzi na kujikuta nimeingia katika hii biashara kichwa kichwa

Kiukwel mwanzon nilianza kupiga viela ela (kuna kile kitu kinaitwa bigginers luck hahahhaha) na kujiona nimekua master naweza kulifanya soko kama navotaka. Wiki mbili baadae nikapoteza faida zote nilizotengeneza sokoni pamoja na mtaji wangu wote kupotea. Kiukwel niliumia sana lakin mtoto wa kiume nikapiga moyo konde nikatafuta ela nyingine nikaanza kazi. Matokeo yalikua ni yale yale nilipoteza ela zangu zote tena ndan ya mda wa siku mbili tu wale wenzangu watanielewa nikisema (kuburn account) bila shaka maumivu yake pia mnayajua.

Sikukata tamaa japokua nilikua naunguza account kila leo na pamoja na kubadilisha strategy kila siku lakini haikusaidia kitu. Baada ya kipindi kama cha mwaka mmoja hvi nikawa nimepata hasara za kutosha na kiukwl nilianza kuchoshwa na ile hali. Nilikuja kukutana na account ya mtu mmoja instagram (steve mauro) ambaye kwa mara ya kwnza alinifanya nilitazame soko kwa jicho lingine la tofauti. Hapo ndipo nikaamua kujitoa kwa dhati kutafuta elimu ya soko kwnza badala ya kukimbilia sokoni bila mpango.

Miezi kama sita au saba hvi baada ya kujifunza kwa kina huku nikiwa natumia account ya demo ndipo nilianza kuona mwnga katika kile nilichokua nataka nifanye, account yangu ya demo ilikua kwa kasi, na hapo ndipo nikaamua kuingia rasmi tena katika real account. Matokeo yake nilianza kuyaona, faida niliipata na acount yangu ikaanza kukua.

Siwezi sema mm ni tajir sana kama watu wengi wanaofanya forex wanavyojinadi, lakin kiukwel nimepiga hatua kubwa sana katika maisha yangu. Ninauwezo wa kujitegemea mwnyw na bila shaka ni mwananchi mwnye uchumi wa kati... Nawasaidia ndugu zangu ambao bado wanaendelea na masomo yao.., ( kikwel mm niliamua niache, na hii ni historia nyngne tna).

Lengo kuu la kuandika uzi huu kwanza ni kuwatia moyo vijana wote wanaopambana katika maisha haijalishi ni biashara gan unafanya lakin kikubwa usikate tamaa.. wakati wako unakuja. Muamini Mungu muweza yote na fanya juhudi ya kile ukifanyacho.

Pili ningependa kuwasaidia vijana wenzangu ambao pengine wapo katika wakati nilioupitia mm na hawajui nn cha kufanya, hata kama ni msaada wa mawazo nawakaribisha wote ndugu zangu katika bwana

Vile vile kwa atakayekua anahitaji kujifunza juu ya biashara ya forex anaweza kunitafuta telegram @Marketwizard1 na whatsapp kupitia namba 0692529737.

*nilishawah kuandika uzi kama huu kwa bahati mbya ukafutika, vile vile naomba radhi kwa matatizo yoyote ya kisarufi yaliyojitokeza*

"WHAT DOES IT BENEFIT A MAN TO GAIN THE WHOLE WORLD AND LOOSE HIS OWN SOUL???"
Je, Unapiga hela?

Kama jibu ni ndio, then fungua account myfxbook. Show us your porfolio.

Hiyo ndio best way ya kumuaminisha mtu kuwa unapiga pesa....
 
Salute wana JF

Ni matumaini yangu kwamba kila mtu anayetaka kufanya biashara fulan bas hufanya kwa lengo la kupata faida. Leo nataka niongee kuhusu wale tunaofanya biashara ya forex. Najua kwmba watu wengi hukimbilia katika hii biashara kwa kile wanachoamin kwamba watapata utajiri wa haraka haraka (get rich quick). Ukweli ni tofauti na ilvyo dhana ya wengi.., forex sio get rich quick sheme kama watu wengi hasa newbie wa hii biashara wanavyodhani. Ni biashara kama biashara nyingine na inayohitaji nidhamu ya hali ya juu.

Mimi binafsi naeza sema kua mwanzo niliingia katika hii biashara kichwa kichwa, si unajua ile unaona watu wanapost kiasi kikubwa cha fedha na mm nikasema Yes, biashara si ndo hii bhna yan ela za kizembe na rahis kama hzi na kujikuta nimeingia katika hii biashara kichwa kichwa

Kiukwel mwanzon nilianza kupiga viela ela (kuna kile kitu kinaitwa bigginers luck hahahhaha) na kujiona nimekua master naweza kulifanya soko kama navotaka. Wiki mbili baadae nikapoteza faida zote nilizotengeneza sokoni pamoja na mtaji wangu wote kupotea. Kiukwel niliumia sana lakin mtoto wa kiume nikapiga moyo konde nikatafuta ela nyingine nikaanza kazi. Matokeo yalikua ni yale yale nilipoteza ela zangu zote tena ndan ya mda wa siku mbili tu😀😀 wale wenzangu watanielewa nikisema (kuburn account) bila shaka maumivu yake pia mnayajua.

Sikukata tamaa japokua nilikua naunguza account kila leo na pamoja na kubadilisha strategy kila siku lakini haikusaidia kitu. Baada ya kipindi kama cha mwaka mmoja hvi nikawa nimepata hasara za kutosha na kiukwl nilianza kuchoshwa na ile hali. Nilikuja kukutana na account ya mtu mmoja instagram (steve mauro) ambaye kwa mara ya kwnza alinifanya nilitazame soko kwa jicho lingine la tofauti. Hapo ndipo nikaamua kujitoa kwa dhati kutafuta elimu ya soko kwnza badala ya kukimbilia sokoni bila mpango.

Miezi kama sita au saba hvi baada ya kujifunza kwa kina huku nikiwa natumia account ya demo ndipo nilianza kuona mwnga katika kile nilichokua nataka nifanye, account yangu ya demo ilikua kwa kasi, na hapo ndipo nikaamua kuingia rasmi tena katika real account. Matokeo yake nilianza kuyaona, faida niliipata na acount yangu ikaanza kukua.

Siwezi sema mm ni tajir sana kama watu wengi wanaofanya forex wanavyojinadi, lakin kiukwel nimepiga hatua kubwa sana katika maisha yangu. Ninauwezo wa kujitegemea mwnyw na bila shaka ni mwananchi mwnye uchumi wa kati..😊😊. Nawasaidia ndugu zangu ambao bado wanaendelea na masomo yao.., ( kikwel mm niliamua niache, na hii ni historia nyngne tna).

Lengo kuu la kuandika uzi huu kwanza ni kuwatia moyo vijana wote wanaopambana katika maisha haijalishi ni biashara gan unafanya lakin kikubwa usikate tamaa.. wakati wako unakuja. Muamini Mungu muweza yote na fanya juhudi ya kile ukifanyacho.

Pili ningependa kuwasaidia vijana wenzangu ambao pengine wapo katika wakati nilioupitia mm na hawajui nn cha kufanya, hata kama ni msaada wa mawazo nawakaribisha wote ndugu zangu katika bwana

Vile vile kwa atakayekua anahitaji kujifunza juu ya biashara ya forex anaweza kunitafuta telegram @Marketwizard1 na whatsapp kupitia namba 0692529737.

nilishawah kuandika uzi kama huu kwa bahati mbya ukafutika, vile vile naomba radhi kwa matatizo yoyote ya kisarufi yaliyojitokeza

"WHAT DOES IT BENEFIT A MAN TO GAIN THE WHOLE WORLD AND LOOSE HIS OWN SOUL???"

hii ni rahisi unapata signal kila siku na unaanzia hata buku, na mitandao yote unaweka na kutoa pesa
 
Back
Top Bottom