Wanaoendesha “Pikipiki zinazopiga mabomu” wachukuliwe hatua za kisheria waache

We itakua ni mzururaji tena kwa miguu ungekua ata na kavitz Wala usingekaa uyasikie hayo mabomu na ukiendelea yatakuua kabisa ili usiyasikie milele
 
Madereva wanaoendesha Pikipiki zinazopiga mabomu wanachafua Mazingira kwa Kusababisha kelele ziaizo za lazima na usumbufu kwa watu. Hivyo NEMC na Jeshi la Polisi hawa watu wamulikwe na ili waachane na tabia hizo ambazo huleta usumbufu.
Mkuu huku Chugga tumeshawazoea, kumbuka ukikuta dereva bodaboda ana TVS au BOXER hawezi akawa na ujinga huo
 
Hawa watu wa pikipiki ni kero kubwa kama machinga.

Wao wanaamini kuwa wana haki ya kufanya chochote na asilimia kubwa ni wale washamba bush ambao vijijini walikuwa wanajifanya ma bontown

SASA HIVI WAMEKUJA NA MTINDO WA KUWEKA HORN KUBWA ZENYE MLIO WA MAGARI MAKUBWA AU VINGORA VYA AMBULANCE NA KUSABABISHA KERO KUBWA
 
Daah, ukiwa unaendesha ndio utajua raha yake. Wao huita breakdown. Pale unacheza na accerelator pamoja na cratch. Wala hakuna bomu hapo
 
Hawa watu wa pikipiki ni kero kubwa kama machinga.

Wao wanaamini kuwa wana haki ya kufanya chochote na asilimia kubwa ni wale washamba bush ambao vijijini walikuwa wanajifanya ma bontown

SASA HIVI WAMEKUJA NA MTINDO WA KUWEKA HORN KUBWA ZENYE MLIO WA MAGARI MAKUBWA AU VINGORA VYA AMBULANCE NA KUSABABISHA KERO KUBWA
Yaani hapo kwenye king'ora jomonii uuwii
 
kwa hiyo pikipiki yeyote ina uwezo wa kufanya hivyo!
Ndiyo, ni utundu wako tu kucheza na cratch. Ndiyo maana hayo mabomu yanaripuka tu sehemu za watu. Akiwa barabarani peke yake kwanini hayaripuki?

Me nimefanya sana hiyo michezo kwenye pikipiki na bajaji za mizigo kipindi cha nyuma. Now nimekuwa siwezi tena kufanya hivyo
 
Back
Top Bottom