Wanaodaiwa kumuua Padri Mushi Wakamatwa...

Status
Not open for further replies.
Wale police waliokwapua fuko la mshiko pale kariakoo nao sio wakenya kweli? nahisi watakuwa wao nitumieni number ya kamanda kovu nimuulize!
 
Pale mtu anapokuwa na jibu lake na akashadidia kuwa jawabu lake ndio sahihi, it's very difficult kumwelewesha akakuelewa. Lengo la Research ni ku prove a certain hypothesis na lengo la polisi katika uchunguzi pia ni kufanyia kazi a certain lead mpaka atakapoweza kuthibithisha beyond no doubt kuwa uchunguzi wake sahihi na watuhumiwa alionao ndo wahusika wa tukio. Katika habari hii uraia wa watuhumiwa bado umefichwa, kukamatwa kwao Kenya si dalili ya wao kuwa wakenya. Wanaweza kuwa WaTz , Waganda au Raia wa Nchi Nyingine. Na kwa hili obviously ni WaTz kwa kuwa kukabidhiwa Raia wa Nchi ya mwenzio hata akiwa ndie mfanyaji uhalifu ni process ndefu. Muhimu tuweke Imani na Jeshi letu kuwa linafanya kila liwezekanalo kuwatia nguvuni waliofanya mauaji ya kiongozi wetu Fr Mushi. Lakini ikitokea wahusika wakawa tofauti na wale uliowafikiria na kuwa dhania Kabla usihamaki. Kuhamaki kunaonesha dalili ya chuki ulizonazo dhidi ya watu hao ambao ni majirani zako, classmate , mna share ofisi, mnanunuliana bidhaa na mengineyo. Chuki za kidini hazijengi na ikatokea hao wauaji wakawa ni kutokea kule unapodhania basi usiwajumuishe wote kuwa na tabia hizo kwa maana Imani yao pia hairuhusu mauaji (hili ni somo refu na linahitajia nukuu). Itoshe tushukuru kwa kusema kama vile wauaji wa kamanda Barlow walivyokamatwa mapema basi polisi wetu wanaweza na hawa wa Jana ndio nafasi ya ku prove au ku deny hypothesis tulizonazo. Peace to you All

"Kusikupelekeeni Chuki zinazotamalaki mioyoni mwa binaadamu zikawa zinatuzuia kufanya uadilifu, Tufanye Uadilifu kwani Uadilifu ni Karibu ya UchaMungu"
 
umeelewa neno langu la mwisho au ww ndo unaenda haraka zaidi?unaelewa maana ya kutunza?kufadhili? Je unaona raha wa Ethiopia wakikuta wanaenda usemapo?vyovyote vile,yoote si sahihi. Hatupendi kuambiwa ktk taifa ili kila sentensi ina neno kenya. Alaf unaona kawaida tu,ivi inakuwaje ktk taifa makini mtu anaweza kutoka na kuingia bila kujulikana baadae akutwe nje?tuna intelijensia kweli,usalama wa taifa ?wapelelezi?taifa letu linaangamia kwa kukosa maarifa.

Tusubiri wenye taarifa watujuze zaidi, kulikoni tukibaki kubadilishana ''comments'' huku viwango vya kuelewa vikiwa vimetofautiana. Jitahidi kuweka space between words uweze kueleweka zaidi.
 
Mfalme mmoja katika nchi fulani alipoteza fimbo yake, basi akatoa amri kwa mkuu wa polisi fimbo hiyo ipatikane maramoja. Ikapita masaa kadhaa, mkuu wa polisi akamfwata mfalume na kumwelezea kwamba watu 20 wamekamatwa na kukiri kuwa ndio waliomwibia mfalme fimbo yake. Mfalme akamjibu, fimbo nimeipata mke wangu alikuwa ameitunza chumbani! Mkuu wa polisi akabaki kapigwa na butwaa!
 
Hapa kuna maswali mengí yanakosa majibu. Alipoulizwa kamandà Musa kuhusu kukamatwa watuhumiwa hso, alijibu kuwa hana habari kabisa. Tukiunganisha na kauli ya waziri Aboud jana kwenye mazishi ambapo alisema kuwa kifó cha Padri Mushi kimetokana na mapenzi ya Mungu!

Hivi katika mazingira ambayo wauaji walimsubiri jirani kabisa na kanisa na alipotokeza akauawa, mauaji ya aina hiyo ni ya kukusudua.Iweje basi waziri Aboud ayaite mauaji hayo ni mapenzi ya Mungu wakati amri ya 5 ya Mungu inasema usiue?

Ndiyo maana zile tetesi zinazosemá kuwa wapo baadhi ya viongozi wa SMZ wamo nyuma ya mpango huu wa kuwaua viongozi wa kidini. Zinaelekea kuwa na ukweli.

Kama viongozi wa SMZ watalikanusha hilo basi tuone kwanza hatua zinachukuliwa kwa kuondolewa kazini kwa waziri Aboud.

Kama hilo lisipofanyika basi tutarajie hata hiyó ya kukamatwa kwa wakenya kama watuhumiwa wa mauají ikawa ni aina nyingine ya movie kama ile ya Kova na mkenya wake chizi! Tukhmbuke pia Mwai Kibaki yupo nchini kwa ziara ya dharura, inawezekana hií movie ya safari hii main characters wa movie hiyo wakawa Kibaki na JK!!
 
Raia wa kenya! Wakiristo??? Dhaifu anajiamini kwamba atakata mzizi wa fitina kama watuhumiwa watakamatwa!! Hii movie itakuwa nzuri sana zaidi ya ile ya Dr Steven Ulimboka....Duuuuh!! yaani very interested movie!!
 
You can fool all the people some of the time, and some of the people all the time, but you cannot fool all the people all the time.
 
si walisema hawajulikani,sasa huko kenya nani kawatambua? naiona move kama ya ulimboka hapa huku ramadhan igondwe akivuta kiyoyozi kwa raha zake
 
Kamishna wa polisi huko Zanzibar amekataa kukamatwa kwa hawa watu! Sasa hii taarifa waliipata wapi?? Sinema nyingine tena baada ya ile ya Ulimboka!!?
 
hii nchi ya kinafki na kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa nadhan mpaka hao watu wasio julikana waingie ikulu wamuue rais ndo labda siriousness itakuwepo!....manake staki kuamin kwamba vyombo husikaa vimeshindwa kuwatia nguvuni hawa maharamia na ni kwa nn iwe wakenya tu? Na pia kwann Zanzibar tu? Hvi hakuna kabsa nguvu ya dola ilotumika kipindi cha Mkapa kutulza fujo? Au ndo sababu za udin? Hv wanadhan wakristo kukaa kimya ni wapuuzi? Jaman ifke kpindi hata serikali nayo ione aibu mambo haya yakikomaa kwa hakika yanayotokea Nigeria, afganstan, syria, sudan hayatokei kimakosa yalianza hivihivi yakazembewa na sasa yamefka yalipofka! Kama serikari haitayaangalia haya kwa jicho la karibu, Bas Tanzania kama kisiwa cha amani itabaki historia ambayo haitakaa ijirudie kamwe!...
 
Raia wa kenya! Wakiristo??? Dhaifu anajiamini kwamba atakata mzizi wa fitina kama watuhumiwa watakamatwa!! Hii movie itakuwa nzuri sana zaidi ya ile ya Dr Steven Ulimboka....Duuuuh!! yaani very interested movie!!

Ungeandika kiswahili pekee bado tungekuelewa, ilifaa kua Very interesting movie!!! siyo interested movie.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom