Wanandoa wengi wamevaa viatu si vyao (oversize)na kuishia kwenye mateso!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Unaweza ukawa mmojawapo
pole ila usiku wa leo kabla ujaenda kanisani kesho bora ujiangalie vyema ulioa kwa makusudi gani
wapo wengi wameoa ama kuolewa wakiwa na malengo tofautiwapo waliooana
sababu ya umri mkubwa,mali,kualazimishwa,wengine anaOGOPA majukumu na hili linawaumiza sana wanapopewa
mtoto wa mtu na kushindwa kumtunza ama kumhifadhi

sasa haya yote yanaletwa na akukimbilia kuvaa kiatu kisichokutosha,,wapo wengi wamekaa si kwamba awajapata wa kuoa ama kuolewa ni kwamba kila viatu wakitest ama vinawabana ama vinapwea na wengine kuaminikwa kuwa kampuni ya bora bado ipo ,,ipo siku watapata size ya vatu vyao...pengine bado ujaoa uko kwenye mchakato ndugumpendwa wetu naomba uwe makini usije lalamika yesu akupendi la hasha umevaa oversize ...na afadhali ukute vidogo kuliko vinapwaya unawezatamani dunia iongoze na cameroon...nakuomba bado una nafasi mungu akusaidie upate size yaa kiatu chako..najua wengine wanakutana na oversize hadi kwenye manukato lakini uiogope huyo ni wako wa milele

jumapili njema

mancity 3 -qpr 2 ullale nacho hik
 
Hahaha,umetupa kibalio!
Bora kiatu cha ndoa kiwe oversize utaburuza, baba ukipata undersize afu high heels,utajuuta! Haya kalale nacho na ww,lol
 
Back
Top Bottom