Katika imani zetu, kuna namna mbalimbali za kusali/kuswali/kuomba kulingana na imani husika. Kutokana na misingi ya imani zetu, huwa tunaomba kwa ajili ya vitu mbalimbali mfano: kufaulu mitihani, kupata mke/me mwema, kupata kazi/cheo, kabla/baada ya kula, n.k. Kwa wanandoa "halali" kuna jambo wanasahau kufanyia maombi (inawezekana 98%). Jambo ninalozungumzia ni kuomba kabla na baada ya tendo la ndoa maana lile ni tendo takatifu. Je, wewe unafanya hivyo?
...
NB: Hii ni kwa wanandoa halali tu. Haiwahusu waofanya uzinzi!
...
NB: Hii ni kwa wanandoa halali tu. Haiwahusu waofanya uzinzi!