Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 877
- 4,106
Kupotea kwa Halima Mdee na wenzake katika siasa za jukwaani na kwenye mitandao kumetokana na kufutwa kwenye list ya wapigania uhuru
Leo hawa wanasiasa pamoja na uwezo wao mkubwa wa akili hawana mchango wowote kwa Taifa. Wamebaki kimya hakuna anayewaalika wala kuwashirikisha jambo lolote la kisiasa. Wakialikwa sana wanakwenda kwenye harambee na magazeti yakiwaandika siku moja positive wanakaa hadi mwaka uishe.
Wamefikishwa hapa na watu ambao wao kwao nchi na maendeleo siyo agenda, agenda kuu ni familia zao. Wamefikishwa hapa na watu ambao kwa wingi wao leo siyo wanasiasa tena wameshatumbuliwa.
Kupitia wanasiasa hawa upo umuhimu wa wanasiasa wengine wanapopata nafasi yakukubalika walinde heshima yao. Unajitoleaje kulinda heshima ya mtu mwingine wewe ukiwa unadhalilika?