Wananchi wa Chato wajiandaa kumuenzi Rais mpendwa, Hayat Rais John Pombe Magufuli 17/3/2024

images (59).jpeg.jpg
 
Kati ya mambo mengi tu ambayo Wananchi wa kutokea rika zote, kabila zote, kutokankona mbalimbali za Tanzania bila ya kusahau wale wanaotoka vyama vingine vya siasa.

Ni kumuenzi Shujaa huyu Wa Afrika.

Sasa huku wananchi wa Chato wakijiandaa, niwaachie maneno machache aliyoyasema Mwana CHADEMA Peter Msigwa. Nanukuu...


"Pamoja na mapungufu ya Hayati Magufuli lakini kuna mazuri pia tulipaswa kuyaendeleza mfano nidhamu kazini, uoga kwa mali ya umma na kuheshimu wananchi"~Peter Msigwa.
 
Back
Top Bottom