Wanamuita 'Sukari ya warembo' (Diamond), Jionee picha zake za kitambo

Mbona kama domo linaongezeka kutokana na anavyokua, utoton alikuwa na kadomo cha kawaida tu.
 
Hat off for the young man...hii ndio mimi huwa naita 'kutusua'. Sio unazaliwa unakuta mihela kibao kwenye familia halafu unajitia umetusua. Kuanzia leo sitam'criticize' Domo bata zake anazokula...well deserved!!
 
Kwel kabisa.. dizain ya watoto wa balesa wanavotusumbua hapa mjini, wakati wamezaliwa wamezikuta.
 
Hongera Kaka. Angekuwa mwingine kapata umaarufu na uwezo kama wewe angechoma moto picha zote za zamani. Ni vizuri kujua na kujivunia ulikotoka. Sasa najua kwa nini humwachi Romy Jones, that's called loyalty. Jay Z mwenyewe loyalty ilimshinda, aliwatosa washkaji kibao aliokua nao pamoja mtu aliyemlea kisanii Jaz-O. God bless you.
 
Kwel kabisa.. dizain ya watoto wa balesa wanavotusumbua hapa mjini, wakati
wamezaliwa wamezikuta.

Mkuu watoto wa Bhakresa kweli wamezikuta lakini baba yao hajawalea kimayai na kutanua tu. Kwanza wameenda shule na wanapiga mzigo kishenzi kwenye kampuni za baba yao. Hakuna mtoto wa Bakhresa ambaye anatanua tu bila kufanya kazi. Baada ya kazi ndio wanatanua, kitu ambacho watu wengi hufanya.
 
Ni kwel mkuu, ninachosemea hata kama wasinge soma bado wasinge teseka ina mana pesa kwao ndo msing wa maisha yao yaan wametafta pesa kwa kutumia pesa.

binafsi nimesoma ndio tena sana, lakin mpaka sasa sina pesa kwa kuwa sikuzikuta ila ndo natafuta hatimae na mimi Mungu akijalia niweze tembelea hata xtrail au harrier.
 
Back
Top Bottom