Wanamasanga muachege watoto walale mtakufa wanangu!

mgen

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
22,631
8,417
Ni kweli kabisaa imetokea uswazi!
Dingi baada ya kuzamia masanga ya usiku kwa saana akarudi maskani kwake.
Akaanza kudai uroda kwa mamaa. ndipo mamaa akamshauri poa, ila acha watoto walale vizuri.
Dingi kwa vile masanga yalihamia kichwa cha chini, akafosi.
Na mamaa akaona akubali yaishe.
Mechi ikaanza kwa kishindo, wakati goli lilipo anza kupatikana, vilio vikasikika hadi mtoto mmoja akaamka. Alipo iona ile hali akainuka akachukua kisu na kumkita baba yake cha **** pyuu!(Jee kisu kingezama katikati kwenye mköýè?)
Acheni ugomvi! acheni ugomvi! mtoto alibwaka
Mamaa akamkumbusha unaona mambo yako ya mipombe!
Dingi anaugulia nyumbani manake kashindwa kupata pf3 utajieleza nini polisi.
 
Hapo kwenye red sijaelewa kabisa.
 
huyu mtoto ni wa umri gani mpaka awe na ujasili wa kuchukua kisu..........!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom