WanaJF! HAYA YAMETOKEA MTAA WANGU {songombingo ya jamaa na mbwa}

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,348
3,219
Haya yamejiri alfajiri ya leo hp mtaani kwangu yakwamba jamaa mmoja kuliwa na mbwa baada ya jamaa kulewa na kuingia anga la mbwa wa mzungu mmoja jrn yake,na mpk sikio moja la kulia kukatiwa chini kbs na baada ya hapo jamaa kapelekwa hosptal ya Mount Meru akiwa hoi bin taaban huku alikoacha sikio nayo ikawa kitoweo kwa BATA,lakini cha kushangaza ndg yake {KAKAYE} hakudiri hata kumpatia msaada wowote ingali alimwona mdogo wake akiwa hoi. Je? Kwa hili WanaJF huyu KAKA m2 kw maelezo niliowadokeza kwa ufupi anastahili kuwepo kwny huu ulimwengu kweli?
 
Nanimebahatika kupata baadhi ya picha ya jamaa alivyochakazwa na mbwa ila cjui ku2ma. Je? Ni2me vp? Naombeni mwongozo wenu WanaJF na na2mia simu aina ya NOKIA N73. Itawezekana ku2ma?
 
Back
Top Bottom