Wanafunzi wa UDSM waliwahi kuchangia matibabu ya Dkt. John Magufuli

Hii yote ni kwasababu serikali ya CCM imewaumiza Sana Watanzania,

Watanzania walikuwa wanasubiri siku ifike

Tazama waTanzania wanavyo Tema nyongo zao bila aibu.

Watanzania bado wanaandamana kweny nafsi zao,bado wana visasi Kwa viongozi wao.
Acha uongo hakuna mtanzania mwenye akili timamu anaweza kumuombea mabaya au kufulahia pale mwenzie anapatwa na matatizo, ni mwehu na mjinga anaweza kufanya hivyo ukiwemo wewe.
 
Kweli wewe zumbukuku, kabla yake barabara hazikuwepo au ametoa hela zake mfukoni?
Hivi ww unakitu gani ambacho hata ndugu tu watakukumbuka? Unaanzaje kuleta dharau kwa jembe letu! Tunayo machungu wengine, msisababishe tuanze kuwazaba makofi mfyuuuuu!
 
We unafikiri watu ambao wamestaafu halafu mafao hawalipwi kwa wakati muafaka na wanamajukumu kibao na Marehemu anasema pesa ziko za kutosha na uchumi unapanda 7% watajisikiaje,

Bob Marley " Them Belly Full, while we......

Huenda maombi ya wengine yamejibiwa sasa wako ktk kumshukuru Mungu.
 
Nani alietoa fedheha, mbona una generalize, why do u want people to think like you. Aya ligonjwa limekufa, kasherehekee basi, as if anything will change, minyumbu bhana
What changes is that mlietaka afe bado yupo alive and kicking na aliyetaka kummaliza ndio katangulia. Hilo halitobadilika kamwe na ni funzo kwenu wanafiki kwamba anayepanga fate ni Mungu pekee sio binadamu kisa tu ana cheo kikubwa.
 
Acha uongo hakuna mtanzania mwenye akili timamu anaweza kumuombea mabaya au kufulahia pale mwenzie anapatwa na matatizo, ni mwehu na mjinga anaweza kufanya hivyo ukiwemo wewe.
Mimi siyo mnafiki.

Mimi nilikuwa adui namba moja Kwa serikali iliyokuwa inajiita serikali ya magufuli
 
View attachment 1729018

Aliyekuwa Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. P Mlama aliwahi kuchangisha fedha za matibabu ya Dkt. John Pombe Magufuli.

Prof. Mlama alieleza kuwa Mwanafunzi wa Shahada ya Uzamili katika Sayansi, John Magufuli anasumbuliwa na Ugonjwa wa 'Hypertropic Cardiomyopathy'

Wanafunzi waliombwa michango ili mwenzao (Pombe Magufuli) akafanyiwe upasuaji nchini Uingereza.

Nakala inayosambaa kupitia Mitandao ya Kijamii inadaiwa ni ya tangazo ambalo lilichapishwa Mwaka 1992
Kwahiyo! Mnahangaika kuharamisha Korona, Waziri Mkuu wa Uingereza, Trump na Prince Philip walipata Korona na hawakuona aibu kujulikana, huu ni ugonjwa wa kawaida hautakiwi kuharamishwa.
 
View attachment 1729018

Aliyekuwa Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. P Mlama aliwahi kuchangisha fedha za matibabu ya Dkt. John Pombe Magufuli.

Prof. Mlama alieleza kuwa Mwanafunzi wa Shahada ya Uzamili katika Sayansi, John Magufuli anasumbuliwa na Ugonjwa wa 'Hypertropic Cardiomyopathy'

Wanafunzi waliombwa michango ili mwenzao (Pombe Magufuli) akafanyiwe upasuaji nchini Uingereza.

Nakala inayosambaa kupitia Mitandao ya Kijamii inadaiwa ni ya tangazo ambalo lilichapishwa Mwaka 1992
Oh my,he was very vulnerable to his and our enemies.They "might"have done sometning to the heart gadget he was using hasa ukizingatia kwamba anything electrical can be manipulated by remote control.The technology is there!
 
..mtu aliyesaidiwa matibabu namna hii akaelekeza bunge limnyime Tundu Lissu stahiki zake za matibabu.
Fedha ya umma sio fedha ya michango. Fedha ya umma Ina sheria na kanuni ktk matumizi. Ndio maana hata chuo pamoja na kuwa na pesa za bajeti yao hawakuwa na uwezo kutumia pesa ya hiyo, wakaongozwa kuomba mchango. Ndugai kwa kujua hili aliongoza wabunge kuchangia matibabu.
 
..mbona Askofu alipewa ndege ya serikali toka Kcmc kumleta Muhimbili, lakini Tundu Lissu akanyimwa usafiri huku akiwa mahututi karibia kukata roho?

..Je, kuna kanuni na sheria za kutoa ndege ya serikali kwa Askofu, lakini kumnyima mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani bungeni?

..Pia kwanini jeshi la Polisi halifanyi uchunguzi kuwabaini waliotaka kumuua Tundu Lissu? Ni nani alizuia uchunguzi usifanyike? Ni nani alikataa maombi ya kushirikisha wachunguzi toka nje ya nchi?
 
Back
Top Bottom