Joycefull
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 770
- 391
hata walimu walipokosea haikupaswa kurekodiwa n.a. kurushwa mitandaoniTunapoelekea huku itafika kipindi mtoto anakukosea, wewe mzazi unamrekodi unamrusha Instagram
hata walimu walipokosea haikupaswa kurekodiwa n.a. kurushwa mitandaoniTunapoelekea huku itafika kipindi mtoto anakukosea, wewe mzazi unamrekodi unamrusha Instagram
mwl anafundisha walio madarasani si waliojificha mitaani n.a. wala sio jukumu Lao kuwafuata huko mtaaniHata hivyo waalim walikuwa wapi hadi ifikie.hivyo? Hawafundishi
sheria ishabadilika adhabu hazitakiw kila m moja alee mwanae m wenyew na haki za mtoto zizingatiweNi udhaifu mkubwadana kwa hao walimu kulets ishu kama hii kenyr mitandao. Ili iweje?Kamasheria za shule wanazo,mnategemea nani awape muongozo wa maamuzi?.Afterall tuna uhakika gani clip hii sio maigizo?
Ni udhaifu mkubwadana kwa hao walimu kulets ishu kama hii kenyr mitandao. Ili iweje?Kamasheria za shule wanazo,mnategemea nani awape muongozo wa maamuzi?.Afterall tuna uhakika gani clip hii sio maigizo?
hata walimu walipokosea haikupaswa kurekodiwa n.a. kurushwa mitandaoni
unataka kuniambia hapo ulipofika hakuna nguvu ya mwl ?ndio maana nakwambia walimu hawana maadili ya ualimu, kwani wamerekodiwa na mwalimu mwenzao
Kweli kabisa mkuuKila upande unajitahidi kupata point muhimu, itafika mahala tutaletewa hadi video za ngono toka pande zote mbili, kwa kuwa kila upande unataka kuonyesha ama kuumbua upande mwingine kwa uovu inao ufanya, mheshimiwa waziri husika hebu fuatilia kwa makini huu mnyukano "TEACHERS V/S STUDENTS, katika viwanja vya "MITANDAONI".
iki wakatuumizie watoto wetu kwingine?Walimu wale wa Mbeya SEc walipewa adhabu kubwa mno, walikosea lakini walikuwa provoked nadhani wangepewa adhabu nyingine na sio kuwaachisha chuo moja kwa moja adhabu kandamizi sana ile
Sasa naona walimu na wadau mbalimbali wanapost makosa ya wanafunzi kuonyesha upande wa pili ulivyo
Kosa la hao wanafunzi haliwezi kuwafikisha polisi,
Kwa sababu
Kwanza wako chini ya 18 wangekuwa 18+ walitakiwa washitakiwe kwa kutumia madawa ya kulevya kinyume cha sheria
Pili utovu wa nidhamu wa mwanafunzi hauwezi kuwa kesi ya kufika kwa waziri wa elimu.
Kwa hiyo hapo iko hivi;
Walimu wapeleke taarifa kwa mkuu,
Mkuu amwite mzazi,
Wajadiliane, wakielewana na mtoto akaomba kusamehewa aendelee na shule, hata kama ni kwa mashart sawa
Akija kurudia afukuzwe shule,
Hizo ndizo tunazoweza kuita busara juu ya jambo kama hilo;
Wala hatupaswi kulilinganisha na lile la Mbeya,
lile la mbeya ni shambulio la kudhuru mwili, kwa upande wa sheria maana wale walimu ni18+ na nikukosa maadili ya kazi kwa upande wa wizara.
Naona walimu wanalipa kisasi..!
Jamaa anasema kabisa, "tutapeleka kwenye mitandao..!"
Wa kulaumiwa ni WANASIASA UCHWARA namna walivyo handle issue ya Mbeya.
Watanzania tuwe wakweli. Kinacholaaniwa kwa wale waalimu ni kitendo cha kumfanyia ukatili uliopitiliza yule mwanafunzi badala yakuchukua hatua zinazostahili. Hivi huyo mwanafunzi angekuwa mtoto wako au mdogo wako ungejisikiaje? Mbona hawa waalimu waliowakamata wanafunzi na viroba hawakuchukua hatua ya kujaribu kutenganisha vichwa na viwiliwili vya hawa wanafunzi kama wale walivyokuwa wanataka kutenganisha mwili na roho? Wametumia busara. Hata kama ni wanafunzi wamemfanyia unyama mwalimu lazima kitendo hicho kilaaniwe kwa nguvu zote. Issue hapa ni kulaani ukatili wa binadamu kwa binadamu mwingine.Hapa ndo utaona jamii ilivyo hizo lawama watapewa walimu wao kama wamechangi
Ukiona hivyo jua waalimu wamegoma kiaina.Watanzania tuwe wakweli. Kinacholaaniwa kwa wale waalimu ni kitendo cha kumfanyia ukatili uliopitiliza yule mwanafunzi badala yakuchukua hatua zinazostahili. Hivi huyo mwanafunzi angekuwa mtoto wako au mdogo wako ungejisikiaje? Mbona hawa waalimu waliowakamata wanafunzi na viroba hawakuchukua hatua ya kujaribu kutenganisha vichwa na viwiliwili vya hawa wanafunzi kama wale walivyokuwa wanataka kutenganisha mwili na roho? Wametumia busara. Hata kama ni wanafunzi wamemfanyia unyama mwalimu lazima kitendo hicho kilaaniwe kwa nguvu zote. Issue hapa ni kulaani ukatili wa binadamu kwa binadamu mwingine.
Wanafunzi, waalimu, wazazi wote wanywa virobawanafunzi na wazazi wao ni wanywa viroba, tuwaite ili iweje??
Huo muda mchafu wa kupigizana makelele na wanywa viroba hatuna! OVER.