Wanafunzi kuandamana

trplmike

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
701
775
Wanafunzi wa tanzania wametishia kuandamana baada ya kukoseshwa mitihani, wakati majibu yote waliyanukuu kutoka kwa viongozi wao wa Nchi<BR>
1.swali: kwanini tz ni maskin
jibu: sijui<BR
2.swali: kwa nini wanafunzi wanapata mimba
jibu: kwa sababu ni viherehere.
3. swali: Tanzania ni muungano wa nchi ngapi
jibu: Zimbambwe, Pemba na Tanganyika
4 swali: Tanzania ilipata uhuru mwaka gani
jibu: 11964
 
5. Swali: nani kahusika kumteka dk. Ulimboka
Jibu: sailensa
6. Swali: kwa nini umetaja zimbabwe kama sehemu ya jamhuri ya muungano wa tz
Jibu: jasti siripu ovu ze tangi
 
Back
Top Bottom