Wanafikiria zaidi misosi kuliko ngono....kuna ukweli?

SMU

JF-Expert Member
Feb 14, 2008
9,616
7,863
Women Think About Food More Than Sex:

getimage.aspx

Women think about food a lot—as in, more than they think about sex. A recent survey shows that while 25% of women think about food every half-hour, only 10% think about sex that often. When it comes to men, 5% think about sex once a minute and 36% find their minds wandering to it every 30 minutes. But even though women are thinking about food, they're probably not enjoying it: 25% say they're always concerned about their weight, the Daily Mail reports.

Even more depressing: More than 60% of women say they don't like eating in front of their partners, and 13% say they've chosen a "healthier" option while eating out instead of what they actually wanted. (Even so, 15% also admitted to eating junk food secretly, and 10% admitted to lying about it.) All of this comes to a head in the bedroom: Nearly 50% of women in relationships say they feel uncomfortable getting undressed.

Source: www.newser.com
 
Mi nawaonaga wana vurugu tu,uko na mtu mara anataka hiki ukimletea wala hali, anadokoadokoa tu,nimeshiba, haipiti nusu saa nataka kile,nacho ni hivyohivyo na ndio maana wa kwangu ilikuwa kabla ya mtoko tunakula ugali kwanza tukifika huko ni vinywaji tu, na akiuliza na mimi namuuliza kwani hukushiba ugali?
 
Umenikumbusha mbali.....zamani tukiwa chuo ilikuwa nadra sana kuona msichana anakula ugali canteen!
 
Mi nawaonaga wana vurugu tu,uko na mtu mara anataka hiki ukimletea wala hali, anadokoadokoa tu,nimeshiba, haipiti nusu saa nataka kile,nacho ni hivyohivyo na ndio maana wa kwangu ilikuwa kabla ya mtoko tunakula ugali kwanza tukifika huko ni vinywaji tu, na akiuliza na mimi namuuliza kwani hukushiba ugali?

wallah una manyanyaso wewe.......kulishana ugali ndio nini
 
Hahaha! yaani nimecheka mpaka machozi yananitoka ugali na mtoko wapi na wapi we paka sio tu mnyanyasaji bali ni katili.
 
Mi nawaonaga wana vurugu tu,uko na mtu mara anataka hiki ukimletea wala hali, anadokoadokoa tu,nimeshiba, haipiti nusu saa nataka kile,nacho ni hivyohivyo na ndio maana wa kwangu ilikuwa kabla ya mtoko tunakula ugali kwanza tukifika huko ni vinywaji tu, na akiuliza na mimi namuuliza kwani hukushiba ugali?
hahahahahahahaha ya kweli haya mpwaaaaaaaaaaaaaaaa?
 
Back
Top Bottom